Dr Jafo: Ukame mkali unaotunyemelea unasababishwa na Mabadiliko ya Tabia nchi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,984
142,002
Waziri wa Mazingira Dr Jafo amesema utabiri wa hali ya hewa unaonyesha maeneo mengi ya nchi yatapata mvua za msimu chini ya 50%

Dr Jafo amesema hii imesababishwa na Jamii kushindwa kulinda Vyanzo vya Maji na uhifadhi wa mazingira

Wananchi wanashauriwa kuchukua tahadhari dhidi ya Mabadiliko ya Tabia nchi

Source ITV Habari
 
Back
Top Bottom