Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nadhani huu ndio Mshangao wa kwanza kwangu tangu mwaka huu uanze , na hasa kama mlalamikaji ni Bananga . Bananga ni Mwanaccm ambaye ameishi na kukulia kwenye mazingira ya ccm , chama ambacho...
21 Reactions
50 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichokutana...
12 Reactions
53 Replies
4K Views
Wakati Magufuli anatenga zaidi ya trillion mbili kwa ajili ya kuchimba na kupanua bandari ya Mtwara, Dar ,Tanga na ile ya Kalema Chadema walipinga na kuita hayo ni matumizi mabaya ya pesa za...
12 Reactions
47 Replies
4K Views
Baada ya kifo cha JPM, Mbunge wa jimbo la Kisesa Mh Luhaga Mpina, anatupa faraja sana Kwa jinsi anavyoumizwa na ukali wa maisha Kwa wananchi, amejitoa mhanga ili kutetea masilahi ya nchi...
28 Reactions
89 Replies
7K Views
Wanasema barabara ya kuzimu imesakafiwa kwa nia njema. Watu wanaopinga mauaji yanayofanywa na polisi kwa washukiwa wa uhalifu wana nia njema sana. Na ni kweli kuna polisi waovu na wanatakiwa...
11 Reactions
54 Replies
3K Views
Diwani wa Zamani wa Njombe kupitia Chadema , George Sanga na wenzake leo anatimiza miaka 2 kamili Jela , kwa makosa ya uongo ya Mauaji aliyobambikiwa na watawala wa awamu ya 5 , ili kumkomoa kwa...
10 Reactions
35 Replies
3K Views
Huo ndio Ukweli hakuna cha wizi wa kura wala nini Vyama vya Upinzani hata kuweka Wagombea nusu tu ya Majmbo yote nchini hawawezi halafu wanatamba eti bila Polisi ndio wataishinda CCM Upinzani...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
SAKATA la ndugu wa Richard Bukombe mkazi wa Miyuji jijini Dodoma, aliyefariki dunia kwa madai ya kugongwa na gari la Jeshi la Magereza limechukua sura mpya baada ya wanafamilia kumtaka mkuu wa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Rais mpya wa Kenya amesema nchi yake inakimbiliwa na wawekezji kwasababu kuna demokrasia na hivyo mustakabali wake unatabirika. Uchaguzi uliyopita umeithubitishia dunia kwamba Kenya Ina misingi...
14 Reactions
71 Replies
4K Views
Kuna upotofu Fulani ulianza toka enzi za Raisi aliyependa kuabudiwa JPM na sasa umekuwa ndio utaratibu. Utasikia Raisi Katoa PESA kadhaa mara Raisi katafuta PESA kuafanya kitu kadhaa. Hivi Rais...
4 Reactions
14 Replies
964 Views
Ni kama vile mikakati ya gizani ya Wamarekani inaenda kutimia Thamani ya US Dollar inazidi kuimarika kila Dakila hulu Chinese Yuan, Pound sterling na Euro zikipumulia mashine Tutegemee misaada...
3 Reactions
10 Replies
964 Views
MARAIS WA AFRIKA KUPAKIWA KWENYE BUS NI DHIHAKA? Na Abbas Mwalimu (0719258484). Jumatatu tarehe 19 Septemba, 2022. Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu viongozi wa Afrika kupakiwa kwenye usafiri...
12 Reactions
115 Replies
7K Views
Unajua ukicheki jinsi inchi za Ulaya wanavyoziongoza itoshe kusema Afrika sisi tuna wafalme kabisa, sio marais. Ulaya rais anaweza kufanywa chochote akizingua. Afrika rais anaweza kutufanya...
0 Reactions
3 Replies
694 Views
RAIS SAMIA KUMALIZA CHANGAMOTO YA HUDUMA YA MAJI MJINI MTWARA Serikali imetoa shilingi bilioni Kumi na Tisa kwa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira mjini Mtwara (MTUWASA) ili kufumua mfumo...
0 Reactions
10 Replies
705 Views
Standard Bank Group, benki ya kimataifa na yenye ushawishi katika ufadhili wa miradi mikubwa ya maendeleo barani Afrika imesema ujenzi wa Bomba la Kusafirisha Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki...
0 Reactions
0 Replies
703 Views
Wakati wa siasa za mwanzo wa vyama vingi na kabla kidogo ya kuanza mfumo wa vyama vingi awamu ya pili, James Mbatia alionekana kuwa mwanasiasa shupavu na kama ungemuona miaka hiyo, siasa zake...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndo ukweli! Kwa sasa hakuna hoja tena, ni kujifariji na kujifariji na kujisariji na kujifariji kwa kutumia mgongo wa Mungu. Ukiuliza tundu lissu anafanya nini ughaibuni? Utasikia 'chadema mpango...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakubwa nisaidieni kwamba ni kwanini watanzania walio wengi hawazijui haki zao kwa namna mbalimbali hii inakuwaje?
0 Reactions
0 Replies
250 Views
Ikumbukwe kuwa Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya ndiye mwenye Serikali pale wilayani. Kitendo cha kupata Wenyeviti wa CCM wa Wilaya ambao ni Wasomi kwa mara ya kwanza tangu chama kiasisiwe...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Nimemsikia Rais wa Zanzibar akieleza kwamba eti waombe kibali Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia waislam wanapoenda Hija. Nimeshtushwa na hili ombi kwani Zanzibar...
22 Reactions
229 Replies
17K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…