Halmashauri kuu ya CCM yateua Wagombea wa nafasi ya Uenyekiti Kwenye Wilaya zote Bara na Visiwani

CM 1774858

JF-Expert Member
May 29, 2021
4,984
4,083
UTEUZI WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA.

Orodha ya majina ya walioteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CCM wilaya kwa mujibu wa Katiba ya CCM ya mwaka 1977 toleo la mwaka 2022 ibara ya 82(1) ambapo mikutano mikuu ya wilaya itafanyika nchini kote tarehe 01 -02 Oktoba, 2022.

#CCMImara
#KaziIendelee

IMG-20220928-WA0024.jpg

IMG-20220928-WA0025.jpg
IMG-20220928-WA0026.jpg
IMG-20220928-WA0026.jpg
IMG-20220928-WA0031.jpg
IMG-20220928-WA0033.jpg
IMG-20220928-WA0034.jpg
IMG-20220928-WA0033.jpg
IMG-20220928-WA0034.jpg
IMG-20220928-WA0035.jpg
IMG-20220928-WA0036.jpg
IMG-20220928-WA0041.jpg
IMG-20220928-WA0040.jpg
IMG-20220928-WA0039.jpg
IMG-20220928-WA0038.jpg
IMG-20220928-WA0037.jpg
 
Attachments

  • IMG-20220928-WA0027.jpg
    IMG-20220928-WA0027.jpg
    75.8 KB · Views: 5
  • IMG-20220928-WA0029.jpg
    IMG-20220928-WA0029.jpg
    80.7 KB · Views: 6
  • IMG-20220928-WA0030.jpg
    IMG-20220928-WA0030.jpg
    85.6 KB · Views: 6
UTEUZI WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA.

Orodha ya majina ya walioteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CCM wilaya kwa mujibu wa Katiba ya CCM ya mwaka 1977 toleo la mwaka 2022 ibara ya 82(1) ambapo mikutano mikuu ya wilaya itafanyika nchini kote tarehe 01 -02 Oktoba, 2022.

#CCMImara
#KaziIendelee

View attachment 2370183
View attachment 2370185View attachment 2370186View attachment 2370186View attachment 2370190View attachment 2370195View attachment 2370197View attachment 2370200View attachment 2370203View attachment 2370205View attachment 2370206View attachment 2370207View attachment 2370208View attachment 2370209View attachment 2370210View attachment 2370211
 
Kada kama kada naona juhudi zako kk Mungu akubariki uendelee kulihudumia hili Taifa
 
Orodha ya wala rushwa na watafuna pesa ya umma. Ukisikia mikopo ya serikali kwa vijana na akina mama, imeliwa, una uhakika viongozi wa CCM hawawezi kukosekana. Ukisikia sijui Escrow, viongozi wa CCM lazima wawe vinara. Kuna laana kubwa kwenye hiki chama. Badala ya viongozi wa chama kuwa mfano kwa uadilifu, wanakuwa mfano katika maovu.

Team kama hizi za CCM zinapopangwa,wazalendo wa kweli wanajua hasara watakayoipata kupitia hao watu.
 
Ungekuja hata na ushahidi mmoja tu,
 
Ungekuja hata na ushahidi mmoja tu,
Hukumbuki yule mwenyekiti wa CCM wa mkoa aliyekuwa miongoni mwa waliotafuna pesa ya Escrow?

Hujamsikia RC wa Dar akilalamika kuwa 40 bilioni iliyotolewa kwaajili ya mikopo ya vijana, Mwenyekiti wa CCM alichota milioni 300?
 
Story tu hizi mkuu
 
Back
Top Bottom