Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu Watanzania wenzangu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,Nawasalimu kwa dhati.Pia nawapa pole wote waliotangulia mbele ya Muumba wao kwa vifo vya kinyama vilivyotokea.Mungu...
1 Reactions
10 Replies
868 Views
Mahakama ya ICC inasaidia sana kutunza amani Afrika Raila Odinga, mgombea urais katika uchaguzi wa Kenya uliopita amekiri aliogopa kushtakiwa ICC ndio maana hakuleta vurugu awamu hii ICC imekuwa...
1 Reactions
6 Replies
762 Views
Ile kesi maarufu ya wale wanawake wa shoka kina mdee na wenzake vs chadema, imeingia sura mpya. Chadema wakaa kisiki, Waangukia pua........ Hii kesi wengi waliona kabisa kuwa mdee na wenzake...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Majambazi wanalitesa sana taifa letu. Mtu anaye kuwa na ushahidi wa kumiliki silaha haramu na kujifanya anapambana na polisi basi hao sharp shooters wafanye kweli kabla hajavuta triger awe...
1 Reactions
2 Replies
567 Views
Serikali yagoma kumkabidhi CAG hesabu za MeremetaNa Ramadhan Semtawa LICHA ya Bunge kuitaka serikali iwasilishe hesabu za Kampuni ya Meremeta kwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Samia Suluhu Hassan - Rais Nimezungumza na Waziri wa afya tusitishe kwanza ujenzi wa vituo vya afya, kwa sasa tuimarishe huduma kwanza pamoja na kuwekeza vifaa tiba ikiwemo pia kujenga nyumba za...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwasasa mikoa yote Tanzania na wilaya zake chaguzi kwa nafasi tofauti tofauti zinaendelea kama ambavyo anavyopaswa kufanyika. Lakini kuna kitu hakipo sawa kwa baadhi ya wanachama wanao wania hizi...
0 Reactions
1 Replies
765 Views
Meremeta: Mradi wa kifisadi uliokomba dhahabu na kukwapua benki Jun 22, 2017 by Joseph Mihangwa in Makala JE, haikusemwa na Wahenga kwamba, ukishangaa ya Mussa, utastaajabu ya Firauni? Usemi huu...
3 Reactions
10 Replies
4K Views
Nimesoma hii habari kuwa Tanzania ni nchi ya pili katika kuamini ushirikina nikashtuka sana. Lakini ni ukweli usiopingika kwamba hata mikoa inayoaminika kwa ushirikina haina maendeleo kivile mikoa...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Mpaka leo Marekani inakalia kwa nguvu sehemu kubwa tu ya ardhi ya Syria na wanachimba mafuta huko kwa kuwatumia waasi!! Hutawasikia umoja wa mataifa ukilalamikia hilo!! Marekani iliingia Syria kwa...
1 Reactions
3 Replies
718 Views
Umewahi kujiuliza ni kwanini baba husifiwa kuwa shujaa na kichwa cha familia? Tena kichwa chenye sifa ya kiuongozi ndani yake ambacho ni tegemeo la wote katika familia na jamii. Kisha ukapata...
0 Reactions
0 Replies
716 Views
Huu ni Utafiti uliofanyika hivi Karibuni na kubaini Afrika Mashariki kwa sasa ni Tanzania ndo inaongoza kwa huduma bora za Internet na zenye gharama Nafuu. Pongezi kwa Serikali ya Awamu ya Sita...
0 Reactions
7 Replies
754 Views
Mfumo wa Utawala wa hii nchi ni Centralized kwa maana kwamba maamuzi yote yanafanyika juu then ndio yanaanza kushuka chini na hakuna maamuzi yanayo anzia chini kupanda juu. Wakija wawekezaji...
0 Reactions
1 Replies
486 Views
Habari za Leo wataalamu na wabobezi wa fani mbalimbali. Niende Moja kwa Moja kwenye Maada. Naomba mwenye waraka/Mwongozo wa muundo wa kiutumishi (job schemes) unaosimamiwa na wizara husika...
0 Reactions
2 Replies
597 Views
Suala la Parking fee kwa kweli naanza kuamini kuna upigaji mkubwa! Kitendo cha kutokuweka karatasi kwenye gari mara baada ya kupiga picha si kitendo cha uu gwana kabisa! tunaibiwa sana sana sana...
10 Reactions
25 Replies
3K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka leo Jumamosi tarehe 01 Oktoba, 2022 amekuwa sehemu ya mamia ya washiriki katika mbio za NMB zilizofanyika viwanja vya...
0 Reactions
0 Replies
446 Views
Sisi Waafrika, na zaidi Watanzania, huenda ubinadamu wetu haujakamilika. Mataifa ya watu wenye akili za hali ya juu, wanajua kuwa uhai na usalama wa mtu ndiyo kipaumbele cha kwanza cha Serikali na...
23 Reactions
40 Replies
3K Views
Leo hii bei ya nafaka kama mchele na unga imepaa maradufu kabla ya ya huyu mkuu wa nchi kuingia madarakani. Kabla ya kuingia madarakani mchele ulikuwa ukiuzwa sh 1200 kwa kilo . Sasa hivi Mchele...
12 Reactions
32 Replies
2K Views
Majuzi juzi wabunge walikuwa wanashangaa ndoa kuvunjika kwa wingi kwa muda mfupi na wanaume wengi kukimbia ndoa zao, Lakini hawajiulizi ni kwa nini inakuwa hivi, Dume kama Dume, kawaida yetu...
2 Reactions
2 Replies
827 Views
Kiwango chenu cha upumbavu watanzania ni kuona Dr Gwajima anatolewa wizara Afya. Binafsi sina shida kwa sasa Ummy Mwalimu akiwa hata Rais, Makamu au Waziri Mkuu. Lakini kiwango changu cha ujinga...
29 Reactions
135 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…