Tanzania inaongoza afrika mashariki kwa huduma bora za internet na bei ndogo

UGANDA

Member
Jul 24, 2017
71
75
Huu ni Utafiti uliofanyika hivi Karibuni na kubaini Afrika Mashariki kwa sasa ni Tanzania ndo inaongoza kwa huduma bora za Internet na zenye gharama Nafuu. Pongezi kwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, Pongezi kwa Wizara ya Mawasiliano chini ya Waziri Nape Nnauye na Pongezi kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).
Screenshot_20221001-104533_Drive.jpg
 
Kifupi wenye mamlaka wanataka nchi yetu ilingane au izidi nchi nyingine? Mbona kila walati kuilinganisha nchi hii na nyingine kwenye masuala ya vifurusi?
 
Huu ni Utafiti uliofanyika hivi Karibuni na kubaini Afrika Mashariki kwa sasa ni Tanzania ndo inaongoza kwa huduma bora za Internet na zenye gharama Nafuu. Pongezi kwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, Pongezi kwa Wizara ya Mawasiliano chini ya Waziri Nape Nnauye na Pongezi kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).
images05.jpg
 
Back
Top Bottom