Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Redirect
Inawezekana hili hulijui na ndio maana nimekusanua, nafahamu kwamba una mipango mingi sana ya Ulaya na Marekani, Makonda atakuponza uonekane ndiye unafadhili Mauaji anayofanya Jiepushe na Mtu...
0 Reactions
Replies
Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa wito kwa Jaji Mkuu wa Tanzania kuelezea umma sababu kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu kutopangiwa tarehe ya...
2 Reactions
27 Replies
801 Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda kuwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha 2026/27, leo Mei 04, 2026
0 Reactions
2 Replies
134 Views
CCM imepagawa na uchaguzi mkuu mwakani.. Bado haijiamini licha ya kufanya maandalizi mengi ya mbinu chafu kushinda CCM na viongozi wake wote wanatambua hawapendwi kabisa Tanganyika na huko...
27 Reactions
66 Replies
19K Views
Ukisoma vizuri Katiba utaelewa ninachosema Mfumo wa vyama vingi (Ibara ya 10 ya Katiba) unaruhusu vyama kushiriki uchaguzi, lakini chama kinachoshinda ndicho kinaunda serikali. Rais, akiwa...
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Natoa angalizo. Haya yanayoendelea ni dalili mbaya sana. Public figure internationally kama Tundu Lissu analetwa mahakamani kimya kimya! Ifunguliwe kesi Mahakama ya Afrika ya haki za binadamu...
16 Reactions
52 Replies
803 Views
“Ezulwini Palazzo” is the newest luxury and biggest tourism attraction infrastructure constructed by a company under Inyatsi Group after being contracted by the Eswatini Government. South African...
1 Reactions
0 Replies
133 Views
Kama ilivyo ada hapa jamvini kupashana habari moto moto zinazojiri nchini, leo kuna mabadiliko mapya kwenye moja ya Taasisi nyeti za Serikali. Taarifa iliyotolewa leo Tarehe 3 Mei, 2026 na...
2 Reactions
8 Replies
353 Views
Mama asimulia jinsi alivyoshuhudia kijana wake Damour Nyakairo akichukuliwa na watu saba waliofika nyumbani kwao na Landcruiser Nyeupe. Akizungumza na The Chanzo leo Mei 02, 2026, Lilian Swai...
4 Reactions
25 Replies
752 Views
Kwanza nakupongeza kuandaa concert ya maana kwa ajili ya MwanaChadema Prof Jay. Nilikuwa nije Dar ili niweze kuhudhuria . Kuna dharula ilitokea na nikafika dar nimechelewa sana. Hivyo sikuweza...
6 Reactions
5 Replies
316 Views
Ukitafakali kwa undani Mwenyezi Mungu hana muda wa kuhangaika na mambo ya duniani, yeye ni Mtakatifu ktk Mambo ya Mbinguni tu. Hahangaiki na mambo ya ulimwengu huu, uki mess up imekula kwako...
16 Reactions
137 Replies
2K Views
Wamekutana wauaji wanapongezana Regional despots are sanitizing each other, we'll fight on. It's still an illegitimate regime.
2 Reactions
0 Replies
100 Views
Tangu mzanzibari aongoze Tanganyika akaiiibia na kupelekwa kwao, hakuna maana tena ya muugano. Nashangaa kuona nchi zinazodai kuungana zina uraia pacha upande mmoja wakati upande wa pili...
1 Reactions
2 Replies
147 Views
  • Redirect
Hiii ni lahana kubwa na mkosi mkubwa kwa wachaga. Baada ya chief maliele miaka zaidi ya 70 kupita Sasa ardhi ya mkoa wa Kilimanjaro inaaenda kuzikwa mwili usio na kichwa kwa mara ya pili. Ili si...
1 Reactions
Replies
Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais Wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame Kufanya Ziara ya Siku moja Nchini siku ya kesho. Ambapo katika ziara hiyo atakutana na kufanya mazungumzo na Rais wetu Mpendwa na...
2 Reactions
10 Replies
297 Views
  • Redirect
Hivi wachaga mna Nini? Najiuliza kama wewe uhusiki na kututeka na kutuua mbona wenye mamlaka ya kutulinda wameshindwa na Bado wawavalisha chupi la chuma kwa kuendelea kuwalipa mishahara kutoka...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Utekaji umerudi kwa kasi.. Mauaji ya waliotekwa umerejea rasmi https://www.facebook.com/share/v/1KKK8xb32K/
3 Reactions
Replies
Views
Ujio wa Raisi Kagame una maana kubwa sana kidiplomasia na unadhihirisha ushupavu wa Mama Katika anga za kimataifa , Hongera sana Mh Mama Samia kwa kuendelea kuifungua Tanzania kimataifa. Ujio wa...
0 Reactions
3 Replies
205 Views
Wanabodi, Declaration of interest: Mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, niliyeamua kujikita katika kuandika habari za kimaendeleo. Uzi huu sio wa kutetea ujinga na upuuzi wa...
14 Reactions
249 Replies
27K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…