Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Miaka kadhaa iliyopita (1980s) Rais wa nchi moja jirani aliyekuwa madarakani alienda ziarani Marekani na Waziri wake wa mambo ya nje (Kwa sasa wote wapate ku RIP). Wakiwa huko walifanya mkutano na...
5 Reactions
45 Replies
5K Views
Salaam Wakuu, Jeshi la Polisi Tanzania limekuwa likihangaika kutafuta Kikosi kilichokua kikiwaua na kuwachinja viongozi wa CHADEMA bila mafanikio. Baada ya Albadiri kusomwa, sasa wameanza...
6 Reactions
28 Replies
4K Views
Ikumbukwe, hata Hayati alimtema huyo mtu baada ya kugundua siyo mwaminifu na anao uraia wa USA na Tanzania. Hoja hapa ilikuwaje Samia alishupaza kichwa na kumteua mtu asiye mwaminifu kwa Taifa...
19 Reactions
145 Replies
15K Views
Wilaya ya Tunduru ni miongoni mwa wilaya sita (6) za Mkoa wa Ruvuma. Wilaya ya Tunduru ina majimbo mawili Tunduru Kusini na Tunduru Kaskazini. Jana tar 3 Oktoba 2022 Mkuu wa Wilaya...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
PILIKA PILIKA ZA TAKRIBANI MWAKA MZIMA WA CHAGUZI ZA CCM KUANZIA VIKAO, MIONGOZO HATIMAYE CHAGUZI NDANI YA MASHINA, MATAWINI, KATA HATIMAYE WILAYA ULIGOTA TAREHE 02/10/2022 NA SASA KINACHOSUBIRIWA...
0 Reactions
2 Replies
553 Views
Kamanda wa Polisi Mkoa Ruvuma ACP MARCO CHILYA akionesha baadhi ya silaha zilizosalimishwa na raia wema baada ya Notisi ya msamaha wa usalimishaji wa silaha kwa hiari zinazomilikiwa kinyume cha...
0 Reactions
16 Replies
905 Views
Gazeti la Raia Mwema limenukuu Tundu Lissu akidai kwamba kitendo cha Tulia Ackson cha kuhamasisha vurugu huku akiwa ameshiba ni UCHOCHEZI ambao haupaswi kunyamaziwa Chanzo : Raia mwema
7 Reactions
12 Replies
2K Views
Bashungwa, Waziri kijana, ambaye ilitarajiwa "damu iwe inachemka" awe anapanda na kushuka,anakaba huku na kule, ameonekana Mzee kuliko Waziri Mkuu. Waziri Mkuu anaenda Arusha, anaenda Singida...
3 Reactions
49 Replies
4K Views
BREAKING Mchambuzi mashuhuri wa masuala ya Kisiasa na Kiuchumi na aliyekuwa Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) bwana Ibrahim Jeremiah achukua fomu ya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mara nyingi wabunge wa kuteuliwa nchini hupewa nafasi hiyo ili wahudumu kama mawaziri. Inapotokea wakatenguliwa katika nafasi zao kama Mulamula bado wataendelea kubaki kama wabunge lakini wakiwa...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Hawa jamaa kweli watakuwa wametuibia lakini findings za kamati hizi kuhusu viwango vya madini na hasara tuliyopata, mimi binafsi zinanipa mashaka sana na ninaona tunaweza kuja kuumbuka hapo...
21 Reactions
108 Replies
10K Views
Wasaalam wanabodi, Miaka ya nyuma ile barabara tulikuwa tunaitumia vizuri tu. Akaja mtu na mawazo yake ya kujiimarishia ulinzi akaamua kuifunga bila taarifa zozote. Sasa kwa kuwa ni awamu ya...
11 Reactions
22 Replies
2K Views
Ndugu zangu Jana October 3/2022 mh Rais Samia alikuwa anawaapisha viongozi aliowateua katika mabadiliko madogo aliyoyafanya katika Balaza la mawaziri, Ambayo siku zote hulenga katika kuboresha...
0 Reactions
2 Replies
629 Views
Naam ama kwa hakika watu wanalamba asali aisee, wanakula kwa urefu wa kamba zao...ukiwaskia wahusika sasa kwenye majukwaa. "VIJANA CHEZENI MICHEZO ILI KUJENGA AFYA BORA...BADALA YA KUJIUNGA NA...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Hakika sikutarajia kiongozi wa mhimili wa bunge angeweza kuhutubia wananchi na kutoa kauli za uchochezi kama alivyofanya Spika wa Bunge Tulia Ackson. Maneno kama "Nyooka nae," "Shughulika nae" ni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Huyu jamaa alitesa sana watu. Sasa hivi na yeye anateseka, he found karma very early. Tujifunze kutenda Mema!!
21 Reactions
136 Replies
10K Views
Mapema Leo wakati Rais Samia yupo Tegeta jimbo la Kawe kwa Mchungaji Gwajima akiongea na wananchi na wakazi wa Kawe waliojitokeza kumsikiliza ameongea mengi lakini kati ya hayo ni pale aliposema...
15 Reactions
273 Replies
29K Views
SHAKA Hamdu Shaka amesema upo umuhimu wa viongozi wapya kujengewa uwezo ili kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi ile kuleta matokeo chanya, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi...
4 Reactions
12 Replies
611 Views
Ndugu zangu Sote tunafahamu kuwa secta ya kilimo katika nchi hii imeajiri na kubeba kundi kubwa Sana la watanzania, Ni secta ambayo ndio pumzi ya familia na Kaya nyingi, Ni secta inayotegemewa na...
5 Reactions
89 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…