Iundwe Tume ichunguze hadaa zilizofanyika wakati wa awamu ya 5

Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
16,559
41,077
Wote wenye akili timamu na uelewa wa kutosha, walifahamu kwa uwazi kabisa kuwa taarifa ile kuwa Acacia walikuwa wanadaiwa kodi ya sh. Trilioni 360, walijua kuwa ni uwongo na hadaa ya hali ya jui.

Thamani ya mauzo ya dhahabu yote toka migodi yote ya dhahabu nchini Tanzania tangu migodi hiyo ianze uzalishaji, ilikuwa haifikii shilingi trilioni 360.

Ingewezekana vipi kampuni moja idaiwe kodi ya sh. Trilioni 360? Ile ilikuwa ni dhaharau kubwa kwa umma. Hawa watu waliwaona Watanzania hawana akili, ni watu wa kumeza uwongo wa kila aina toka kwa watawala.

Kama msemo wa wenye hekima unavyonena, njia ya mwongo ni fupi. Sasa Kabudi na Mwigulu wamelazimika kukiri hadharani kuwa waliudanganya umma.

Katiba yetu inatamka wazi kuwa umma ndiyo mamlka ya juu kuliko mamlaka zote. Hawa walioudanganya umma, na wapo hai, waachwe tu kwa uovu huo walioufanya? Hili moja wamekiri wazi kuwa walidanganya, je waliudanganya umma kwa mambo mangapi?

Leo hii tuna vijana wengi, hasa ndani ya UVCCM wamejazwa ujinga na kutetea mambo mengi ya uwongo na ujinga kutokana na uwongo waliolishwa na hawa watawala. Madhara haya waliyoyapata hawa vijana wa UVCCM kiasi kwamba wengi wao wanapojadili hoja za uchumi, uwekezaji, demokrasia au utawala bora, wanaonekana kama ni watu wenye uelewa duni kabisa, watafidiwa vipi kwa haya madhara waliyoyapata? Na nani atalipia?

Angalao ili kuweza kuwaondoa ujinga kutoka katika mioyo na akili, hasa za vijana wa UVCCM ambao kiufahamu wameharibiwa kutokana na kudanganywa na watawala, kuundwe tume itakayochunguza na kitoa taarifa ya wazi juu ya mambo yote ambayo watawala waliwadanganya wananchi, ili watu wautambue ukweli kuliko kuendelea kuishi kwenye ujinga na hadaa walizolishwa kwa muda mrefu.

Pia oundwe sheria kali, ambayo itamfanya kila kiongozi mwongo kutumikia jela. Na viongozi wanaowaharibu vijana kifikra na kimaadili, wasiwe na mbadala wa adhabu, zaidi ya kifungo.

Mmoja amesikika huko Mbeya akiwahamasisha vijana wa UVCCM kufanya uovu. Viongozi kama hawa wanaowaharibu vijana mahali pao salama palitakiwa kuwa jela.
 
Aundiwe tume mtu ambaye dunia nzima inafaham aliifikisha nchi uchumi wa Kati tangia ipate Uhuru mmerogwa nyie
 
Hakika
 
Shida ya mtanzania kutojua anataka nini na kwa wakati gani.
 
Nyie hata waume zenu jogoo akishindwa kupanda mtungi ili wawapande mnamsingizia awamu ya tano.
 
Na yule aliyetuhadaa na "maisha bora kwa kila mtanzania" naye yupo tu.

Kabudi ndiye alikua icon wa kulaghai watu awamu ya 5.

Kitendo cha kumuita jiwe mungu na kuwa jiwe alimtoa jalalani vinadhihirisha alivyo mnafiki
 
Wote wenye akili timamu na uelewa wa kutosha, walifahamu kwa uwazi kabisa kuwa taarifa ile kuwa Acacia walikuwa wanadaiwa kodi ya sh. Trilioni 360, walijua kuwa ni uwongo na hadaa ya hali ya jui.

Thamani ya mauzo ya dhahabu yote toka migodi yote ya dhahabu nchini Tanzania tangu migodi hiyo ianze uzalishaji, ilikuwa haifikii shilingi trilioni 360.

Ingewezekana vipi kampuni moja idaiwe kodi ya sh. Trilioni 360? Ile ilikuwa ni dhaharau kubwa kwa umma. Hawa watu waliwaona Watanzania hawana akili, ni watu wa kumeza uwongo wa kila aina toka kwa watawala.

Kama msemo wa wenye hekima unavyonena, njia ya mwongo ni fupi. Sasa Kabudi na Mwigulu wamelazimika kukiri hadharani kuwa waliudanganya umma.

Katiba yetu inatamka wazi kuwa umma ndiyo mamlka ya juu kuliko mamlaka zote. Hawa walioudanganya umma, na wapo hai, waachwe tu kwa uovu huo walioufanya? Hili moja wamekiri wazi kuwa walidanganya, je waliudanganya umma kwa mambo mangapi?

Leo hii tuna vijana wengi, hasa ndani ya UVCCM wamejazwa ujinga na kutetea mambo mengi ya uwongo na ujinga kutokana na uwongo waliolishwa na hawa watawala. Madhara haya waliyoyapata hawa vijana wa UVCCM kiasi kwamba wengi wao wanapojadili hoja za uchumi, uwekezaji, demokrasia au utawala bora, wanaonekana kama ni watu wenye uelewa duni kabisa, watafidiwa vipi kwa haya madhara waliyoyapata? Na nani atalipia?

Angalao ili kuweza kuwaondoa ujinga kutoka katika mioyo na akili, hasa za vijana wa UVCCM ambao kiufahamu wameharibiwa kutokana na kudanganywa na watawala, kuundwe tume itakayochunguza na kitoa taarifa ya wazi juu ya mambo yote ambayo watawala waliwadanganya wananchi, ili watu wautambue ukweli kuliko kuendelea kuishi kwenye ujinga na hadaa walizolishwa kwa muda mrefu.

Pia oundwe sheria kali, ambayo itamfanya kila kiongozi mwongo kutumikia jela. Na viongozi wanaowaharibu vijana kifikra na kimaadili, wasiwe na mbadala wa adhabu, zaidi ya kifungo.

Mmoja amesikika huko Mbeya akiwahamasisha vijana wa UVCCM kufanya uovu. Viongozi kama hawa wanaowaharibu vijana mahali pao salama palitakiwa kuwa jela.
NAUNGA MKONO HOJA
 
Aundiwe tume mtu ambaye dunia nzima inafaham aliifikisha nchi uchumi wa Kati tangia ipate Uhuru mmerogwa nyie
Uchumi wa kati! Tr. 360 tumeambiwa ilikuwa mbinu ya majadliano. Kuna muda tuu tutaambiwa uchumi wa kati ilikuwa mbinu ya.... (Kabudi amalizie)
 
Aundiwe tume mtu ambaye dunia nzima inafaham aliifikisha nchi uchumi wa Kati tangia ipate Uhuru mmerogwa nyie
Lengo ni kuwaokoa walipharibiwa akili ambao mpaka leo, wamebakia katika ujinga japo aliyewaharibu, hayupo. Marehemu hashtakiwi, lengo ni kuwaokoa walionasa katika tope la ujinga na unafiki uliosababishwa na hadaa za watawala.
 
Nyie hata waume zenu jogoo akishindwa kupanda mtungi ili wawapande mnamsingizia awamu ya tano.
Kwani hujamsikia Kabudi alivyokiri? Wewe Cremia si miongoni mwa waliokuwa wakipiga vigelegele na mapambio mengi jinsi akina Kabudi walivyofanya kazi tukufu itakayoliletea Taifa zaidi ya trilioni 300 ambazo wakiamua kila raia anaweza kupewa gari aina ya Noah?
 
Back
Top Bottom