Dodoma. Rais Samia Suluhu Hassan ametangazwa na Jumuiya ya Kimataifa ya Watetezi na Amani kuwa mshindi wa tuzo mbili za kimataifa ikiwemo ya amani duniani 2022.
Tuzo nyingine aliyotangazwa kuwa...
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeanza mchakato wa ujenzi wa bomba la gesi kutoka Ntorya hadi Madimba lenye urefu wa kilomita 35.
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC)...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akiwa katika kiti cha Tanzania wakati wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola unaofanyika...
#Hivi mnamdanganya nani? Kama siyo kuwaonea wananchi!
Rais Magufuli leo Jumatatu 14/10 atafanya ziara wilayani Ruangwa.
Ajabu ni kwamba wananchi wa vijiji vya wilaya hiyo wameamrishwa jana...
Majukumu ya Mwenyekiti wa Mtaa
Atakuwa ndiye Mkuu wa Serikali ya Mtaa;
Atakuwa na wajibu wa kuitisha na kuongoza mikutano yote ya Halmashauri ya Mtaa, pamoja na Mikutano Mikuu ya Mtaa. Lakini...
Michezo, Sanaa na Utamaduni kwa sasa ni Sekta inayo ajiri Vijana wengi kwa hapa Tanzania. Miaka ya nyuma Michezo, Saana na Utamaduni ilikuwa ni sehemu ya burudani na kutafuta umaarufu, haikuwahi...
Filamu ya Tanzania Royal Tour, imeelezwa kuchangia kupandisha thamani ya madini ya Tanzanite.
Bei ya madini ya Tanzanite na uhitaji wa madini hayo umeongezeka maradufu baada ya filamu ya Royal...
Habari Watanzania wenzangu,
Kuna jambo ambalo naamini viongozi wetu huwa wanalipuuza wakifika kwenye viti hivyo.
Japo Tanzania ina utajiri mwingi sana, lakini Watanzania asilimia kubwa ni fukara...
Utasikia vijana wa CHADEMA wapo Twitter kulalama bila kutumia political sense of morals.
Utasikia wanakomalia mambo ya ajabuajabu tu bila hata kujali juu ya mambo ambayo yatakipaisha chama chetu...
Bado sijaona mantiki kwa sababu CCM ina wanachama chungu nzima kwanini sasa wengine wanapewa nafasi mbili mbili?
Hakika ubunge 2025 sijui itakuwaje!
Alhamis Ubarikiwe sana
Kuna engine / vichwa vya treni vilikuwa bandarini na serikali ikadanganya kwamba havina mwenyewe.
Vichwa vya treni ni mitambo ya thamani kubwa sana na mara nyingi kama sio zote huundwa kwa...
Nchi yetu ina tabia ya kuhabarisha mambo makubwa nusunusu kama vile sisi tunaohabarishwa hatuna akili ya kuhoji na kudadisi.
Profesa Kabudi wakati anakiri kuwa alidanganya (kwa makubaliano na...
Hawa ni viongozi wawili ambao wote ni wakuu wa mihimili 2 katika nchi, wote ni wa chama kimoja, wote walikuwepo tangu enzi za Hayati JPM, wote walikuwa ni "Makamu" kipindi cha Hayati JPM, na wote...
Habari wana JF, nimeipitia hii ripoti kwa umakini nlichogundua ni kweli kuna uwezekano mkubwa data zilikuwa zinaongezwa kidogo tukawa hatustahili 360 trilioni ,Lakino ukichukulia makinikia haiwi...
Wadau Suala la Tril.360 kama KODI zilizotakiwa kulipwa na Kampuni ya Madini ya Barrick nina Hakika lilizungumzwa Katika VIKAO vya BARAZA la MAWAZIRI.
Leo kuna MTU anajitokeza na Kusema zile...
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeanza mchakato wa ujenzi wa bomba la gesi kutoka Ntorya hadi Madimba lenye urefu wa kilomita 35.
Mchakato huo umeanza kwa kufanya mkutano wa...
Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Hassan Moyo ameingilia kati mgogoro wa ardhi kati ya wakazi wa Kijiji cha Mgera Kata ya Kiwele, Wilayani Iringa na Mwenyekiti wa kijiji hicho, Lucas Mgata kwa kuzuia...
Inakuwaje wadada wameongoza maandamano kwenye nchi yenye sheria, msimamo mkali?
Imekuwaje hadi sasa wameendelea na hayo maandamano bila kujali nani atakufa au madhara gani yatatokea?
Je, kupitia...
Hakika hii nchi ina viongozi wa ajabu sana. Nimeshangazwa na kauli ya Waziri wa Fedha kuwa serikali ya Tanzania imeachana na madai ya kodi ya tril. 360, kodi zilizotakiwa kulipwa na kampuni ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki ufunguzi wa Mkutano wa World Innovation Summit for Health 2022 Multaqa Centre - Doha Qatar leo tarehe 04 Oktoba, 2022...