Mwalimu Nyerere hakupenda rushwa na Watanzania wengi hawapendi rushwa japo kuna taasisi za serikali zimeendekeza rushwa.
Kwa kuwa JF ipo kwa ajili ya mawazo huru, naomba kwa uhuru wa mawazo yetu...
1. Tatizo kubwa la Tanzania ni uongozi mbaya. Huu ni uongozi usiojua nini muhimu kufanya kwanza na lipi liwe namba mbili. Baya zaidi wengine katika viongozi kwa kweli hawajui kabisa nini la...
Tuna Nyerere Day kuenzi mambo makubwa aliyotufanyia Nyerere (legacy) kama vile Uhuru wa nchi yetu pamoja na umoja na mshikamano
Lakini Nyerere pia alikuwa na mapungufu makubwa yaliyopelekea nchi...
Usije ukadhani Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya, Manispaa, Majiji eti wanakula bata kutokana na unyeti wa nafasi zao...Ni nafasi ngumu sana na haina maslahi (kwa miaka hii) tofauti na watu...
Habari ndugu wanajamii.Kuna benki inajiita ya kilimo tanzania hawa jamaa sijuhi wanakopesha wakulima wa nchiiii gani??Au ipo kisiasa na kimtego kuadaa wananchii.
Ukienda pale watakwambia uende...
HOTUBA YA MHE. DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI KWENYE MKUTANO MKUU WA TAIFA WA CCM, DODOMA, TAREHE 23 JULAI, 2016...
Ziara ya Rais ya Kilosa iligeuka kama kampeni ya ubunge Kilosa kumnadi Prof. Kabudi. Wakati mawaziri wenzake wakieleza mafanikio ya wizara zao katika kipindi cha miaka 5 inayomalizika haikuwa...
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu tunakuomba usafishe genge la wabunge wa mwendazake aliowajaza Bungeni mwaka 2020 kwa ajili ya kazi ya kubadili katiba Ili aweze kutawala milele.
Magufuli aliingiza...
Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini imeridhishwa na uhakika wa upatikanaji wa umeme wa gesi katika kituo cha kufua umeme cha Kinyerezi II ambacho kinazalisha megawati 240 ambazo zinaingizwa...
Kila mtu ajipe muda aende Makao Makuu CHADEMA siku za kazi, atakachokiona kama ni mpenda mabadiliko anaweza kulia. Nje pale Kuna walinzi wawili na anaweza kuwepo Afisa mmoja tu mara nyingi...
Katika nchi yetu kuna sheria za ajabu sana, mojawapo ni hii ya kumlinda Rais Mstaafu kutokana na makosa aliyoyafanya akiwa Rais. Habari juu ya Ufisadi uliofanyika katika awamu ya tatu ya Uongozi...
Huenda waliomuona Mwalimu Nyerere mpaka leo hawafiki robo ya kizazi tulichonacho hii leo.
Hata humu JF tukisema kuna forum ya waliokuwepo enzi za mwalimu tutabakia na wachache wengi tutawahesabu...
Wakuu Hawa Mawaziri hawana Huruma na Utafunaji Wa Fedha za Umma.
Kuna haja Gani ya Kuwa na Timu ya Mawaziri Nane Kwa Ajili ya Kutatua Migogoro ya Ardhi Nchini?
Nakumbuka Wakati wa Mzee Jpm...
Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema kwa kutuamsha wote tukiwa SALAMA saliminin,lakini pia hata Kwa wale wenye changa moto afya Tumwombe Mungu wetu sote awaponye na kuwarejeshea...
Salamu Za Rambirambi za Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa JMT Ndugu Samia Suluhu Hassan kufuatia
kifo Cha Mbunge wa Jimbo la Amani Mheshimiwa Maalim Mussa Hassan Mussa kilichotokea leo...
Rais Samia akishiriki Makabidhiano na uzunduzi wa Chuo cha Ufundi Stadi na Huduma Kagera, leo Oktoba 13,2022
Muonekano wa Majengo ya Chuo cha Ufundi Stadi na Huduma (VETA) kilichopo, Burugo...
Ndugu zangu Hivyo Ndivyo Hali Ilivyo kwa Sasa, Kasi ya Rais Samia kuwatumikia watanzania wa makundi yote,vyama vyote, Rika zote, jinsia zote, Kanda zote, Dini zote,makabila yote,maeneo yote na...
Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Mussa Hassan Mussa Silima, Mbunge wa Jimbo la Amani Zanzibar amefariki dunia leo 13/10/2022 nyumbani kwake Zanzibar na taratibu za maziko...