Uchaguzi 2020 Prof. Kabudi bila mbeleko Kilosa ubunge mgumu kwake. Warabu wa Kilosa wanamzidi kutamka majina ya vijiji vya Kilosa

DT125

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
239
250
Ziara ya Rais ya Kilosa iligeuka kama kampeni ya ubunge Kilosa kumnadi Prof. Kabudi. Wakati mawaziri wenzake wakieleza mafanikio ya wizara zao katika kipindi cha miaka 5 inayomalizika haikuwa hivyo kwa waziri Kabudi

Prof Kabudi alijikita kutaja majina ya vijiji vya Kilosa tena kwà kukosea matamshi, Kabudi anatafuta jimbo hilo hata Rais anaonekana kumsaidia pale alipompatia kazi ya kushughulikia malalamiko ya wananchi yaliyo nje ya wizara yake. Prof Kabudi hajui mipaka ya jimbo lake, hana nyumba jimboni hapo, hana ndugu anayemjua hapo labda aanze kuwatafuta, hata akiambiwa ataje jina la jirani yake Kilosa wala balozi hawajui.

Prof. Kabudi sidhani hata watoto wake kwenye wasifu wao kama wanajitambulisha kama wenyeji wa Kilosa. Itoshe tu kusema afadhari kuchagua mwarabu wa Kilosa kuliko Prof. Kabudi. Huyu alidai aliokotwa jalalani na Rais itoshe aendelee kuwa mbunge wa jimbo la Jalalani.
 

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,029
2,000
Kwa kuwatumia Tume ya uchaguzi isiyo huru na kuwatumia Jeshi la Polisi,ambao wao wanaamini kuwa wajibu wao mkubwa ni kuwalinda watawala waliopo wasitoke madarakani
Achana na Tume huru wewe

Mwaka huu haponi mtu tutashinda kwa mbinu

Mwaka huu tutatumia kitu kinaitwa"SHIKWAMBI"

Haponi mtu bungeni labda Zitto na Mbatia tu watarudi

Tunambinu nyingi mwaka huu tunatumia Shikwambi majimbo ya upinzani

Tutashinda kwa mbinu

Tutashinda kwa mbinu iwe jua au mvua
 

iamokay

JF-Expert Member
Jul 13, 2019
754
1,000
Kwani kuendelea kumtumia Kabudi kwenye uwaziri bila kumpa jimbo hailipi?

Au tunampango wa kumpa uwaziri mkuu?
Maana waziri mkuu ndio lazima awe mbunge wa kuchaguliwa.

Vinginevyo muone uwezekano wa kupeana peana hizo chance bungeni
 

Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
21,638
2,000
Kwani kuendelea kumtumia Kabudi kwenye uwaziri bila kumpa jimbo hailipi?

Au tunampango wa kumpa uwaziri mkuu?
Maana waziri mkuu ndio lazima awe mbunge wa kuchaguliwa.

Vinginevyo muone uwezekano wa kupeana peana hizo chance bungeni
Vijana Sasa Hivi Sijui Tutazame Wapi
Chama Dola Ni Shida Sana
Hatupumui
 

Mudawote

JF-Expert Member
Jul 10, 2013
7,380
2,000
Tutashinda kwa Mbinu iwe chafu au nzuri

Tutashinda kwa mbinu

Tunatumia neno "SHIKWAMBI" Maana yake shinda kwa mbinu iwe jua au Mvua

Sisi ni wazee wa shikwambi


Kabudi atashinda tutatumia SHIKWAMBI
Acha uhuni, tunashinda kwa halali kwa box ya kura
 

pureView Zeiss

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
3,926
2,000
Achana na Tume huru wewe

Mwaka huu haponi mtu tutashinda kwa mbinu

Mwaka huu tutatumia kitu kinaitwa"SHIKWAMBI"

Haponi mtu bungeni labda Zitto na Mbatia tu watarudi

Tunambinu nyingi mwaka huu tunatumia Shikwambi majimbo ya upinzani

Tutashinda kwa mbinu

Tutashinda kwa mbinu iwe jua au mvua
Anti GUSSIE bado unashikishwa ukuta au uliacha?
Naona hii michezo unayofanya imekuathiri akili
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom