MANKA MUSA
JF-Expert Member
- Jul 9, 2014
- 923
- 1,101
Huenda waliomuona Mwalimu Nyerere mpaka leo hawafiki robo ya kizazi tulichonacho hii leo.
Hata humu JF tukisema kuna forum ya waliokuwepo enzi za mwalimu tutabakia na wachache wengi tutawahesabu kuanzia Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli.
Haya tunayoambiwa juu ya Nyerere yapo kitabuni na alikuwepo enzi ya mfumo wa chama kimoja akajenga misingi ambayo leo tunaishi na kusherehekea.
Ni vingi vya kumsimulia Nyerere ila ni nani leo anataka kuwa kama Nyerere….?
Hapa ndiyo kizazi cha leo kinaandika historia mpya ya Mama wa Taifa 17 March 2021 tarehe ambayo wengi wanaikumbuka kwa historia ya tofauti.
Kwanini tusimuandike Mama wa Taifa na Mapinduzi ya diplomasia na uchumi kuanza mageuzi mapya ya haki na usawa katika maendeleo.
Kwa Mara ya kwanza ndani ya Afrika Mashariki tulimpokea kiongozi Mkuu wa nchi Mwanamke hali hii inatosha kutoa morali kwetu sote tuliandike jina la Mama wa Taifa.
Wengi wetu hatulifahamu kosa la Bibi Titi ni lipi kwenda korokoroni ila tunaweza kuandika upya historia ya Rais Samia Suluhu hassan kama mama wa Taifa.
Wapo Wanawake waliofanya mengi mazuri ila Samia anawazidi sifa na kupokea jina la Mama wa Taifa.
N.B mfumo dume wenye wivu msichangie. Nyie mnatakiwa kwenda kulilia chooni.