Kwa siku za hivi karibuni kuna matukio kadhaa yanaonesha rais wetu mpendwa anasumbuliwa na kitu. Mwanzoni mwa urais tulipata matumaini sana na alijitahidi kuja na kauli za kujenga na matumaini kwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kongamano la Pili la kumuenzi aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa leo tarehe 14 Julai, 2022...
Kweli alipambana akasomesha wananchi wake na akahakikisha kuwa taifa linakuwa na umoja na mshikano.
Lakini ukweli kuwa aliharibu uchumi wa taifa na kuliacha masikini huwa hauwekwi wazi.
Hayati...
Katika zama hizi za mapinduzi ya sayansi na teknolojia moja ya changamoto kubwa Katika nchi zinazoendelea haswa barani Afrika ni suala la ajira na maslahi kwa watumishi. Hili suala limekuwa ni...
Kama ccm ndio hawa, basi upinzani una safari ndefu sana kuchomoza katika nchi hii.
Nilijiuliza nini kiliwasukuma hawa watu kuanzisha taasisi nyingine kwa jina na malengo yanayoelekeana, ila...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Kilele cha Maadhimisho ya Mbio za Mwenge katika uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini Mkoani Kagera leo tarehe 14 Oktoba, 2022...
Mwaka 2020 nilisikia kiongozi mmoja wa upinzani alitamka neno hili "Eti ni vizuri kupunguza majukumu kwa raisi"
Alikuwa ni Tundu Lissu mimi sio mshabiki wake lakini juu ya jambo hili niliona yupo...
Mwanza. Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema huenda angekuwa chawa wa Rais wa kwanza wa Tanzania, Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere kama angekuwa...
OPERESHENI ONDOA WAVAMIZI KATIKA BONDE LA WAMI/RUVU imeanza ambapo Wafugaji wanaodaiwa kuwa ni wavamizi wamekutwa na ng’ombe zaidi ya 400 kwa siku ya leo tarehe 14-10-2022.
Wameondolewa katika...
Siku ya Leo Watanzania Duniani Kote wanaungana kuadhimisha Kumbukumbu ya Miaka 23 ya Kifo cha aliyekuwa Rais Wa Kwanza wa Tanganyika na Baadaye Tanzania, Mwalimu Julius K. Nyerere
Mwalimu...
Pamoja na kuwa Barabara ya Ubungo—Kimara (stop over) zimepigwa X jioni hii hadi usiku huu. Wananchi wamepewa siku 30 waondoke kupisha upanuzi wa barabara.
Pia kuanzia Kimara Bucha mpaka Kimara...
Nawashangaa sana viongozi wetu. Eti wengi wanasema hawataki kuchagua upande kati ya Urusi na Ukraine, hata kwenye mambo ya kura wanajitoa. Huu ni uoga na unafiki usiokubalika kwa viongozi wa nchi...
Mihemko ni mingi. Inaondoa akili na uungwana. Pia chuki na wivu miongoni mwa vijana ni kubwa sana, hususan kwa wenzao waliobahatika kuonwa na mamlaka, maskini hatupendani ndiyo shida yetu.
...
Fedha hizo ni hasara iliyotokana na kushuka kwa bei ya kilo ya Pamba kwenye soko dunia mwaka 2019 kisha Serikali ikatangaza bei ibaki Tsh. 1,200 kutoka Tsh. 900 na kwamba Serikali itafidia hasara...
Niseme tu kwa kipindi cha Jpm sidhani kama angekubaliana na situation ile ila huyu Mama hata sielewi uongozi wake,moja ya madudu kumbe kwenye mashule ndio wahandisi wa majengo ????
...
Kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na mwanafunzi wa Shule ya Sheria kwa Vitendo (Law School of Tanzania – LST), Alexander Barunguza, ambayo ameiomba mahakama iruhusu mwenendo wake utangazwe...
Vijana wameonesha uzalendo kwa kutembea kwa miguu kutoka Dar es Salaam hadi Kagera kuhudhuria kilele cha mbio za Mwenge na kumuenzi Baba wa Taifa.
Vijana hao wametumia siku 30 kufika Kagera na...
Ndugu zangu ni miaka Sasa Tangia Baba Wa Taifa Hayati Baba wa Taifa atutoke, Hakika lilikuwa Ni pigo kubwa Sana kwa Taifa letu kuondokewa na Baba Wa Taifa Mlezi wa Taifa, maktaba ya Taifa, Rejea...
Binafis Nina pingana na Kauli aliyoitoa Mh Raisi Leo tarehe kumi na nne 14/10/2022 katika kilele Cha siku ya mwenge Mkoani kagera,ambapo ametaka suala la kutoa na kupokea rushwa liwe mjadara wa...