Kwanini napingana na Rais: Tatizo la kupokea rushwa lisiwe Agenda ya Kitaifa maana si Watanzania wote tunakula rushwa?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Binafis Nina pingana na Kauli aliyoitoa Mh Raisi Leo tarehe kumi na nne 14/10/2022 katika kilele Cha siku ya mwenge Mkoani kagera,ambapo ametaka suala la kutoa na kupokea rushwa liwe mjadara wa kitaifa uku akionesha yakuwa Takukuru na Zaecca hawafanyi au hawatimiz wajibu wao ipasavyo?
Ni sababu zifatazo zanifanya nimpinge;

Mosi naona anakimbia wajibu wake wa kuhakikisha mtu yoyote katika Taifa Ili anaposhindwa kutimiza wajibu wake apishe wengine Kwa mamlaka aliyo nayo yeye kama Raisi Kwa maana ya kuwafukuza kazi wazembe.
Nitatoa mfano mkurugenzi wa Zaecca alipoambiwa na yule aliyemteua yakuwa anaona hatimizi wajibu wake hadharani yule bwana hakuona umuhimu wa kumwomba radhi zaidi na haraka kesho yake alimtandika libarua lizito aliyekuwa analalama hadharani yakuwa hataki kusumbuliwa chukua linafaso lako, Raisi alipokea na nadhani kateua mwingine huo ni upuuuzi Kwa nn hasiye timiiza wajibu husimtoe akakaa pembeni?

Pili siku SI nyingi, niliwai kuleta Uzi hapa nikisema nasilitika kupokea rushwa kutoka kwa kamanda wa Takukuru, nilishanbuliwa na nikili wazi Uzi ule ulinifanya nimchukie bwana mmoja uwa anaandika sana makala zake za pwagu na pwaguzi, yaani GENTYCINE sijui nimepatia jina lake?maana alichangia Uzi ule Kwa kuniambia yakuwa heti niwe makini Takukuru wanaweza nifanyie sijui Nini Kwa mpalange(very..........)popote alipo.

Nilikuwa na maana kubwa sana na nashukuru Leo Mh Raisi amewambia watu WA Zaecca na Takukuru wajitafakari kabla ya kunyoosha kidore Kwa taasisi nyingine. Liko jambo hapo.

Tatu, SI watanzania wote tunakula na kupokea rushwa au TUNATOA rushwa Ili,haliko sawa wara rushwa wametakwa juzi na Takukuru ingawa nao walisaau kujitaja sisi vijana wa kitanzania tunalazimishwa kutoa na kupokea rushwa na hata tunapo RIPOTI Kwa Takukuru Wana vimujisha Siri, tufanye Sasa?
Tunaomba mjadara wa rushwa mjitafakkari watu wafatao;

Kwanza watumishi wa halimashauri zote nchini, Pili watumishi kwenye wizara mbalimbali, Watumishi wa majeshi hasa polisi,mahakama,na hasa wanasiasa. Katika vyama vya siasa lazima tukubaliane yakuwa ccm inatakiwa kuunganishwa kwenye mjadara. Sababu ya nne kumpinga Raisi ni;

Ukosefu wa uwazi Kwa serikali yake, mikopo imekuwa mingi kisingizio ni miradi ya maendeleo hapo Kuna kichaka kikubwa Cha matumizi fedha za umma mabaya,Kodi tunalipa ila matumizi yake yamekuwa ya ovyo ovyo sana ameshindwa kufanya kama mtangulizi wake ameturudishia mfumo mbovu wa matumizi ya fedha za umma

Sababu ya Tano, kubadili mfumo kutoka mfumo WA heshima Kwa. Wanyonge kwenda heshima Kwa watawala ambao ni wateule wake,hii SI sawa Magufuli alituheshimisha wangonye wee unatumbukiza katika shimo la taka

Kwa kuanzia naanzia hapa naomba na. Wenzangu mnakubaliana na Mimi mwongeze hoja za kumpinga Raisi,tukiweza kumpinga Leo hata 2025 tutamwonesha ukweli wa Ili kupitia boksi la kura.
 
Ukisoma Uzi huu tatafuta Uzi wangu wenye kichwa Cha habari; kilio cha Raisi Mwinyi ni kilio Cha ovyo soon Raia Samia nae Ataanza kulia na tutaanza kujutia Muungano.
 
Rushwa unatakiwa kuwa mjadala kwa kitaifa kwa sababu rushwa inasababisha ukosekanaji wa usawa katika upatikanaji wa huduma hususani hospitalini hivyo ili kuleta usawa kwenye huduma ni lazima tupige vita kisababishi ambacho ni rushwa. Nimetolea huduma za hospitali kama sehemu ambapo rushwa inaweza kumuathiri mtu moja kwa moja.

Pili, rushwa inatakiwa ikemewe vikali na ni jukumu la kila mmoja kulikemea na hivyo ili ukemeaji uzae matunda ni vema ukawekwa mjadala wa kitaifa juu ya suala hili.

Moja ya nyufa hatari sana ambazo mwalimu enzi za uhai wake alitukemea kama tusipouziba mapema ni rushwa hivyo ni vema ufa huu uzibwe mapema kabla ya madhara ya kuangukiwa na ukuta hayajatufika na ifanyike kwa kuweka mjadala wa kitaifa.

N
 
Back
Top Bottom