Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisalimiana na wananchi waliojikusanya barabarani wakati wa ziara yake Mkoani Geita. Wananchi wa mkoa wa Geita wamejitokeza kumpokea Rais Samia Suluhu kwa...
1 Reactions
3 Replies
876 Views
Huo ndio ukweli uliodhihirika leo mkoani Geita,kwenye ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan. Shaka Hamdu Shaka, katibu mwenezi wa CCM taifa.Ametabanaisha rasmi umuhimu,ubora pamoja na ubunifu...
8 Reactions
17 Replies
1K Views
Leo katika maadhimisho ya baba wa taifa hayati Julius Kambarage Nyerere amefanyiwa ibada na viongozi mbalimbali mkoani Kagera akiwemo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania SAMIA SULUHU HASSAN...
2 Reactions
92 Replies
5K Views
RAIS SAMIA NI PUMZI MPYA YA MAENDELEO Shaka asema Kasi yake katika kutekeleza miradi ya maendeleo inatoa matumaini makubwa Amesisitiza kazi nzuri inayofanywa na serikali ya awamu ya sita huku...
2 Reactions
2 Replies
698 Views
Serikali imesema itafanya jitihada za uhamasishaji wa usomaji wa vitabu nchini. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. James Mdoe wakati akifunga...
1 Reactions
4 Replies
897 Views
Kwahiyo Rais Samia hadi sabuni kupanda zinatoka Ukraine na Urusi? Nimeuliza maana kila kitu unasingizia ukraine na Urusi
16 Reactions
69 Replies
3K Views
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA amesema sasa yuko tayari kurejea nchini Tanzania baada ya kuwa nje ya nchi kwa takribani miaka mitano. Tundu Lissu amesema kwa sasa kilichochobaki ni maandalizi yake...
17 Reactions
119 Replies
7K Views
Ni hivi majuzi,Serikali hii ya CCM chini ya Rais Samia ilitangaza kufuta bei ya kuunganisha umeme wa REA kule vijijini. Kutoka ile ya 27,000/= mpaka 320,000/=. Sasa Makamba mbele ya Rais anatamka...
7 Reactions
39 Replies
3K Views
Kwanini aliwatema watu Kama Abdulwahid Sykes Bibi Titi Na baadhi katika serikali yake Nawasilisha
7 Reactions
98 Replies
5K Views
Mkalimani anatakiwa kuongea verbatim, neno kwa neno kile anachoongea yule anayemsikiliza. Na huo ndio ukalimani proffessional! Mkalimani HATAKIWI kuongeza au punguza maneno ya mtoa hotuba...
16 Reactions
78 Replies
6K Views
Hawa jamaa nawashangaa sana kumlaumu Rais Samia kuwa anafanya mambo kinyume na Mwendazake na kwamba anajaribu kuharibu wanachokiita Legacy ya Mwendazake! Binafsi najiuliza leo hii Mama angemuru...
15 Reactions
74 Replies
6K Views
Soma pia>>> Do African political activists actually fight for democratic change or they simply keep alive a well-known old saying that "It's Our Turn to Eat"? Shikamooni wakubwa zangu wote wa...
8 Reactions
172 Replies
23K Views
Do African Political Activists sincerely fight for Democratic Change or they simply keep alive a well-known old saying "It's Our Turn to Eat"? Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums...
15 Reactions
321 Replies
21K Views
Rais samia akiwa Washington D.C amesema Tanzania kisiasa tupo Vizuri. Hali ya Kisiasa Tupo Stable,Hali ya Kisiasa iko Nzuri, tunachukua Hatua za kufanya Vyama vyote vya Siasa vikae Pamoja...
11 Reactions
107 Replies
8K Views
Kumsema vibaya marehemu asiyeweza kujitetea Siyo jambo jema Mungu ambariki sana Rais Samia kwa kusukuma mbele zaidi gurudumu la maendeleo Chadema subirini hapo hapo Ufipa st na Siasa zenu mfu...
3 Reactions
11 Replies
808 Views
Ndugu zangu Kuna watu wanaleta ujuaji Sana hapa nchini, Kuna watu wanafikiri kila kitu ni siasa, Kuna watu wanafikiri kila kitu ni sawa na wanavyowaza, kuna watu wanamchukulia Rais Kama raia wa...
8 Reactions
101 Replies
4K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimsalimia Bibi Suzana Magufuli (Mama Mzazi) wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake Chato Mkoani...
10 Reactions
31 Replies
4K Views
Angekua na "uelewa" japo Mdogo angeshauri tuhamie Zambia na sio Burundi. Zambia Raisi ni Mtumishi wa Wananchi, ni mnyenyekevu, amezuia matumizi ya magari ya kifahari kwa Mawaziri (Wakati yeye ana...
15 Reactions
62 Replies
4K Views
Shule ya Sheria ya Tanzania inaongoza kwa wanafunzi kufeli ukilinganisha na Uganda na Kenya. Kati ya wanafunzi 633 ni wanafunzi 26 walifaulu ambayo ni 4.1%. Kenya, wanafunzi 290 wamefaulu kati ya...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Hawa Watoto wa Chadema kuna wakati wanakera sana Unahoji kiti cha Rais kuingizwa Kanisani? Bavicha Bure kabisa
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…