Mbichi huko. Taarifa ni kuwa kuna fujo na mapigano ndani ya ukumbi uliopo ndani ya ofisi za ccm. Kuna mkutano wa kumchagua mwenyekiti wa CCM wilaya.
Muda mfupi uliopita nimeona gari ya polisi wa...
Wakuu,
Hadi anatia huruma, haki ya Babu, na Bibi!
Yaani toka ashike uongozi zimefika hotuba zaidi ya Mia nne (ambazo ni rasmi) na bado kwa muda uliobaki sijui zitafikia ngapi!
Jamani hivi ni...
Haya ni baadhi ya mambo yaliyogusiwa kwenye Maadhimisho haya ya Miaka 25 ya Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika (WiLDAF);
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi WiLDAF -...
Mkuu wa zamani wa Jeshi la Ardhini la Uganda Muhoozi Kainerugaba ambaye pia ni Mtoto wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni, leo October 19,2022 amerejea tena kauli yake ya kuwahamiza Vijana wa Afrika...
Ndio maana tunaona, baadhi ya wapinzani wakitumika na watawala,ili kuwapindua wapinzani wenzao,kwenye vyama vyao halali....tatizo "Tumbo"
Ndio maana tunawaona,wale waliotuaminisha kuwa...
Ccm inajisufu na kujitutumua kuwa ni chama kikubwa sana Afrika, kwa kuangalia historia wafuasi na mtindo wake wa kubadili viongozi wao kwa njia ya amani na utulivu.
Hata hivyo makusudi makubwa ya...
Napenda mabadiliko ya kweli. Sipendi uswahili wa kiswahili. Yaani porojo zisizofaa.
Mara mwanaChadema anachangisha michango kwa kutumia akaunti yake ya M pesa nihakikisha inakufa.
Nitahakikisha...
Hili linanishangaza! Hivi siku hizi wale Tiss waliompatia taarifa Rais mwendazake na yeye kukosa kifua kuzisema hadharani, kwa vitendo wameenda wapi?
Au siku hizi wanaripoti kwa Kassimu Majaliwa...
Nimeshaangaa sana Kusikia ETI VYAMA vya SIASA VISUBIRI kwanza Mabadiliko ya Sheria ndipo Viruhusiwe Kufanya Mikutano ya Hadhara.
Najiuliza Mbona CCM inafanya MIKUTANO ya HADHARA kwa nini...
Tanzania ya enzi za Nyerere ikiheshimika kila pembe ya dunia haipo tena. Tanzania hiyo ilikuwa na misimamo yake iliyojulikana na isiyotetereka.
Uhuru wa Tanzania hiyo haukuwa na maana yoyote bila...
Hebu tujiulize " Kodi tunayolipa ni kwa matumizi gani?"
Tunamfahamu fika kuwa serikali ina vyanzo vingi vya mapato ambayo yanachangia miradi ya maendeleo. Vyanzo hivi ni pamoja na mapato...
Mh Makamba sijawahi kuona wafanyakazi wako wazembe mkiwawajibisha kwenye ziara zako zakusikiliza kero za wananchi nafikiri ndio sababu wakandarasi wakishirikiana na wakaguzi Kabla ya miradi ya REA...
Wakuu
Tamko la SERIKALI kuhusu utoro kazini KWA walimu wamelipokea,LAKINI changamoto ZAO ni nyingi Sana na serikali imeshindwa kuzitatua,wanadai Katiba mpya Ili achaguliwe kiongozi atakae tatua...
Samia Hassan- "Punguzeni kuzaana"
Shaka Hamdu-" Endeleeni kuzaana"
Tushike lipi......
Katika moja ya hotuba zake huko Geita.tulimsikia akisema...
"Punguzeni kuzaana"
Lakini nimekumbuka kuwa,mi...
SHAKA: MAENDELEO, RAIS SAMIA NI KULWA NA DOTO
Asisitiza ajenda ya maendeleo kwa wananchi ipo katika mikono salama, Watanzania waendelee kumuunga mkono
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya...
JANUARY MAKAMBA AWE KIPIMO CHA MAWAZIRI WA RAIS SAMIA
OKTOBA 12, 2022, nilihudhuria mkutano wa Waziri wa Nishati, January Makamba na waandishi wa habari. Mada ni “Clean Cooking” – “Upishi...
Ingekuwa enzi za mwendazake Maguful maneno yangekuwa mengi oooh hajui kiinglish.....oooh sijui nini lakin pale Ikulu leo waalikwa wamemuomba Rais Ruto azungumze kwa Kiswahili
Ruto amesema Gesi...
Kisa Cha DC Jenerali Ulimwengu Na RC Mary Chipungahelo ' Mary Chips'-
Ndugu zangu,
Hoja hii imeibuliwa na Mjumbe wangu Rose-Chiku Rukkiyah mapema leo asubuhi. Niliahidi kuleta jukwaani kisa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizima Majenereta na kuzindua umeme wa Gridi ya Taifa kwa Mkoa wa Kigoma kwenye hafla iliyofanyika Kasulu Mjini tarehe 17 Oktoba...
KIGOMA WAMPA MAPOKEZI YA KIHISTORIA RAIS SAMIA SULUHU, ANATAJWA KUWA NDIO KIONGOZI ALIYEVUTA WATU WENGI ZAIDI LAKE TANGANYIKA
Wananchi wa mkoa wa Kigoma wampa mapokezi makubwa Rais wa Jamhuri...