Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni miaka 4 sasa toka MoDewji alipoachiliwa baada ya kutekwa kwa siku kadhaa na WATU WASIOJULIKANA. Ule utawala wa Shetani wa Chato haupo tena, MoDewji ni wakati mwafaka sasa akafunguka yote namna...
10 Reactions
104 Replies
7K Views
1-Tangu lini mtu anayelala mlango wazi usiku akawa mwenye furaha? 2-Tangu lini mtu akaufurahia Umaskini na kujivunia wingi wa Madeni? 3-Hivi tangu lini mtu mwenye umaskini wa kipato Njaa,Ukosefu...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Tukitaka Taifa letu liwe mahali salama, cha kwanza ni lazima liwe na uongozi mzuri. Na kazi ya kuhakikisha Taifa linakuwa na uongozi mzuri, ni la sisi wananchi. Wananchi hatustahili kuwa chawa wa...
19 Reactions
81 Replies
4K Views
Mlipiga sana kelele miaka ya nyuma baada ya ripoti ya CAG kuwa inaleta tashwishwi juu ya ufisadi kufanyika. Mlikuwa mnapaza sauti na kupayuka kuwa kuna upigaji mkubwa, hasara za ATCL na matumizi...
4 Reactions
84 Replies
4K Views
Mbunge mstaafu wa viti maalum kupitia Chadema mh Suzan Lyimo amesema Serikali ya awamu ya 5 iliturudisha nyuma sana. Source: Kipindi cha Malumbano ITV
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Nafahamu tu: (a). Nyongeza ya mishahara ilisimama mpaka tulipomaliza ujenzi wa barabara nchini - walitulia kimyaa; (b). Kikokotoo kimepita - wao wametulia kimyaa; (c). Nyongeza ya mishahara kwa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
HAMTAKI KUJIINGIZA KWENYE SIASA BASI ACHENI WALIOJIINGIZA WALE WAO NA WATOTO WAO Na, Robert Heriel Waacheni warithishane madaraka, waacheni wapeane vyeo. Mlitaka wafanyaje? Wao ni wanasiasa na...
12 Reactions
47 Replies
3K Views
wale wote wanaolalamika bei ya vyakula na nafaka imependa bei waziri ameamua kutoa kauli ya mwisho kuwa hakuna kufunga mipaka kwasababu ya bidhaa za nafaka kuuzwa nje ya nchi amesema niwakati wa...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Naandika kwa heshima taadhima kabisa kukuomba umuondoe katika wizara ya Fedha Phd Mwigulu Mchemba. Ukijaribu kuona huyu bwana ameweza kukuingiza mkenge mara mbili kwenye suala la tozo. Mwaka...
14 Reactions
40 Replies
3K Views
Tangu kuanza kwa mfumo vyama vingi Tanzania mwanzoni mwa miaka ya 1990, mchakato wa kutafita Rais umekuwa ukifanyika tangu Mwaka 1995 na unaendelea kila baada ya miaka mitano. Tujikumbushe hali...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ugonjwa wa Covid-19 umeibuka tena China kwa speed ya 5G . Waziri wa afya wajulishe watanzania mapema cha kufanya tusisubiri gharika hadi ije. Ubalozi wa Tanzania china umepiga kimya ila Hali...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Nchi 135 zimepiga kura kuunga mkono na kutetea mipaka ya kinchi ya Ukraine, isipokuwa nchi 5 zimepiga kura kupinga . Na nchi 35 hazikupiga kura ya kuunga mkono au kukataa. Miongoni mwa nchi hizo...
19 Reactions
144 Replies
10K Views
Leo wataongea na vyombo vya Habari. ================= Hotuba nzima ilikuwa ni kumjibu Mnyika na CHADEMA badala ya kuzungumzia ripoti ya Kikosi Kazi. "Tumesikiliza taarifa ya @ChademaTz...
4 Reactions
77 Replies
6K Views
Gazeti la Mwananchi limenukuu kitabu alichoandika mtumishi wa Idara ya Mambo ya Nje ya Marekani kikielza jinsi washirika wa Rais wa 11 wa Ufikipino Madam Carry Aquino alivyohujumiwa na washirika...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Ama kweli atakuwapo aliyeturoga. Kwamba kuna wanaokenua watuhumiwa kuuwawa wakiwa mikononi mwa polisi? Kwa hakika safari yetu kuelekea haki kwa wote ingali bado kuanza.
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Muungano wa vyama vya siasa vya upinzani 14 nchini umetangaza kuunga mkono ripoti Kikosi cha kazi kilichoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kutafuta na kuchakata maoni ya wadau...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Tangu Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kuzungumzia suala Tozo la miamala naona kampeni kubwa inafanyika ndani ya CCM kutaka kumfukuza uwaziri Dk. Mwigulu Lameck Nchemba kwa kile kinachoonekana...
4 Reactions
44 Replies
4K Views
IQ ya mtu mweusi ,maarifa, n.k, vinaongezeka kadri unavyo-move kwenda North ya Bara la Afrika ingawa si kwa kila nchi na si kwa kila kitu. Ila kwa ujumla, utagundua picha ni hiyo na inajidhirisha...
11 Reactions
118 Replies
12K Views
Wanabodi, Mengi yamejadiliwa kuhusu jinsi ya kutatua tatizo la shirika la bima ya afya Tanzania NHIF kufilisika lakini je tuna taarifa za kutosha zinazoweza kutuwezesha kufanya maamuzi sahihi...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…