Yesu alipo kuwa apa duniani ndugu zake walimkataa kuwa sio Kristo ambaye alitabiriwa na manabii.
Eti kisa Kristo hawezi kuzaliwa katika familia ya ki maskini wao waliamini kuwa Mungu atamleta...
Ni taratibu zinazofanana na kutofautiana kwa mazingira tu. Tofauti ni pale kwa wenzetu, kiongozi anapokubali kuyashindwa majukumu anajiuzulu. Wakati huku kwetu suala la kushindwa majukumu sio...
Levinus Kidanabi , ambaye ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilayani Bariadi , amehukumiwa Kifungo cha Miaka 7 Jela , kwa kinachodaiwa kuwa ni TUHUMA ZA KUMKASHIFU RAIS SAMIA MITANDAONI .
Sina...
Habari Wakuu,
Inafika hatua naanza kujiuliza hawa watu wanaondoka katika mazingira ya kawaida tu au kuna system inawaondoa kwa kutumia mbinu zilizoenda shule?
Yaani Bwana yule na watu wake wa...
Wanabodi,
Nchi zote zinazoheshimu katiba, zinaendeshwa kwa mujibu Katiba, sheria, taratibu na kanuni na sio kwa kauli za viongozi tuu ambazo kauli nyingine zinakwenda kinyume cha katiba, sheria...
Katikati hapo tuliaminishwa Aweso ni waziri mchapakazi anayeleta matokeo chanya.
Ajabu iwe mijini na hata huko vijijini hali ya upatikanaji wa maji ni ya kusuasua.
Binafsi siyo muumini wa...
Kila siku huwa tunaambiwa na wapenda mamlaka ya Rais kwamba "Kauli ya Rais ni Sheria".. Hivi kauli ya Rais ili iwe sheria inatakiwa iwe na vigezo vipi ama kila akisemacho Rais ni sheria!!??
Kuna wakati mh Gambo aliwahi kusema vijana wa uvccm wakizeeka wanakuwa wachawi, maana yake ni kwamba Wana Fikra za kizee
Kiukweli Chadema ndiyo chaguo la kizazi kipya japokuwa Ukweli huu...
Kama title inavyojieleza, hivyo ndivyo ilivyo.
Kama kiongozi wa nchi ni chaguo la Mungu, nchi hiyo itabarikiwa na itastawi. Hakuna sababu ya kusingizia mabadiliko ya tabia nchi, vita nk!
Binafsi...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema serikali itaendelea kuhakikisha ina imarisha sekta ya uchakataji wa bidhaa za nafaka Zanzibar.
Ameyasema hayo...
Kiwango cha posho ya Tsh 5000 kwa siku kwa mwanachuo kwa mazingira ya sasa kwa Tanzania, ni kiwango kinachoweza msaidia kama anaakili ya kupanga vizuri bajeti yake. Kama wanachuo wanataka kuishi...
MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), umesema kila mwezi huwalipa Sh. bilioni 60 wastaafu wa mfuko huo.
Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma wa Mfuko huo, James Mlowe, alisema...
Inavyoonekana harakati za kudai mageuzi ya kweli kupitia chadema zimeingia kwenye zama ngumu sana kuwahi kutokea katika taifa letu.
Kwa kadri ccm inavyobadilibadili ma dj wake na midundo ya...
Mkuu
Bei ya debe la mahindi kwenye baadhi ya vijiji nchini ni 25000/= hadi sasa, watu wameshaanza kula kwa kununua unga kwa kilo sh.1700 hadi sasa na hii ni Oktoba hatujui January hali itakuwaje...
To be honest Huu uongozi ni Sahihi kwa ustawi wa Taifa .
Nipo DSM naona miradi ya kuchagiza uchumi ikianzishwa , simaanishi madaraja no hapa nazungumzia Mambo muhimu tu.
Vijana wanapambana life...
Kasim Kasim Kasim Kasim Majaliwa nimekutaja mara nne , Una mapungufu yako ya kuwa obdient sana kwa aliyekuchagua yeyote Ila kazi yako naikubali sana
Naona Cross broad ya Kikwete na Mkapa !!!!
May...
Kuna taarifa nimesoma mahali juu ya upatikanaji wa maji. Mwaka huu mvua za Vuli hazijanyesha kabisa imeathiri sana upatikanaji wa maji katika mikoa ya pwani na Dar es saalam.
Tatizo lililopo si...