Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nabii Suguye wa kanisa la WRM amesema Mungu amemtokea na kumuonesha viongozi wakubwa watatu wanaomuhujumu Rais wetu mama Samia. Nabii Suguye amewataka viongozi hao waachame na mipango yao miovu...
19 Reactions
137 Replies
21K Views
Fedha za miradi ya maendeleo za TASAF ndani ya kata Hiyo, viongozi wamegawana wao kwa wao na kuendeleza miradi Binafsi na sio ile ya maendeleo, Wazee wa kata Hiyo wamepuuzwa na kunyimwa fedha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hongera Mhe. Rishi Sunak, Waziri Mkuu mteule wa Uingereza na karibu tena Afrika Mashariki. 🇹🇿 #africa #tanztrust #tanzania #eastafrica
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Jengo hilo la kisasa la Idara ya Maji (Pump house) lipo katika kijiji cha Itete Njiwa Wilayani Malinyi , Mkoani Morogoro. Je Wananchi mnayaona matunda mazuri ya Tozo ?
12 Reactions
17 Replies
3K Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akihudhuria vikao vya kikatiba vya Chama Cha...
1 Reactions
1 Replies
834 Views
Ndugu zangu kwa miaka mingi na kwa kipindi kirefu na kwa chaguzi nyingi vijana wa kitanzania wamekuwa wakijitokeza kwa kiasi kidogo Sana kupiga kura na kushiriki katika uchaguzi, Japo wakati...
5 Reactions
136 Replies
8K Views
Kipindi cha awamu ya 5 cha mhe hayati Rais Magufuli tuliona ukosoaji mkubwa kutoka kwa viongozi wa upinzani dhidi ya utawala wa awamu ya 5 licha ya magumu yaliowakuta wapinzani. Ni kinyume na...
0 Reactions
12 Replies
726 Views
Katika ulimwengu wa elimu ya uongozi, ukiachana na sifa nyinginezo, moja ya sifa ambayo kiongozi hapaswa kuikosa ni Imani au sema falsafa yake . Falsafa hapa kirahisi inamaanisha vile ambavyo...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Aliyemteua Makamba ana kila sababu za kumtumbua suala la umeme limekuwa kero nchini, haiwezekani Rais afumbie macho suala hilo ! Waziri anakuja na maneno ya matengenezo kila siku mbona kipindi...
10 Reactions
58 Replies
3K Views
Mwaka huu serikali chini ya uongozi thabiti wa Rais Samia Suluhu Hassan imewezesha utiaji saini mkataba wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kutoka Tabora hadi Isaka wenye thamani ya takribani...
0 Reactions
1 Replies
488 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya Ziara ya Kitaifa nchini China kuanzia tarehe 2-4 Novemba 2022. Hii ni kufuatia Mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
AliWaachia "IKULU" na Mafaili yake yote! Aliwaachia "TISS" na watendaji wake wote! Aliwaachia TAKUKURU na watendaji wake wote! Aliwaachia POLISI na watendaji wake wote! Aliwaachia CAG na watendaji...
28 Reactions
114 Replies
4K Views
Wanachama wa CHADEMA, jana walionyesha kutoridhika na kukasirishwa na sababu za kuahirishwa kesi ya wabunge 19 wa viti maalumu waliofukuzwa uanachama wa chama hicho. Kesi hiyo iliahirishwa kwa...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT.. Ukame mkali umesababisha Kukauka kwa mabwawa wa Umeme ikiwemo mto mkubwa wa Yangtze na kusababisha mgao mkali wa Umeme Nchini China.. Aidha wakulima wanaozalisha 75%...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
HONGERENI sana Viongozi na Wanachama na Wafuasi wote wa CHADEMA kwa namna mnavyopambana ktk SIASA za NCHI hii licha ya Maadui mlionao Kuanzia SERIKALI Ccm na Vyama vyake TANZU. Uamuzi wa...
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga amepiga marufuku biashara ya kubeti (mabonanza) amewaagiza sungu sungu au mgambo kuyakamata mabonanza hayo kwakuwa yanachangia watu kutokulima na kufanya kazi! Mimi...
4 Reactions
36 Replies
3K Views
Mheshimiwa rais na team yako hebu angalia kwa jicho lingine hili suala Hata kama mwenye shibe hamkumbuki mwenye njaa jitahidi kuwaangalia hawa wananchi wa chini Leo hiyi mbolea tunauziwa mfuko...
2 Reactions
6 Replies
874 Views
Yesu alipo kuwa apa duniani ndugu zake walimkataa kuwa sio Kristo ambaye alitabiriwa na manabii. Eti kisa Kristo hawezi kuzaliwa katika familia ya ki maskini wao waliamini kuwa Mungu atamleta...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni taratibu zinazofanana na kutofautiana kwa mazingira tu. Tofauti ni pale kwa wenzetu, kiongozi anapokubali kuyashindwa majukumu anajiuzulu. Wakati huku kwetu suala la kushindwa majukumu sio...
0 Reactions
7 Replies
834 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…