mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 4,345
- 9,312
Mheshimiwa rais na team yako hebu angalia kwa jicho lingine hili suala
Hata kama mwenye shibe hamkumbuki mwenye njaa jitahidi kuwaangalia hawa wananchi wa chini
Leo hiyi mbolea tunauziwa mfuko
Shilingi elfu thelathini urea alafu hapo hapo tunasema ni mbolea ya ruzuku na bora ingepatikana kwa urahisi lakini imekuwa too much watu wanalala kwenye maduka ya mbolea yote wawahi foleni siku ya pili
Na foleni yake ni kubwa
Hiyo ni mkoa ruvuma
Hivi viongozi wangu wa nchi hiyi mnakwama wapi mbona mnaleta siasa kwenye maisha ya watu na vipi? Likitokea balaa la njaa hivi kuna mwananchi gani ambaye atawaeleza na mtaweza kumtawala
Tufikie kipindi tuwe na utu sio kujali matumbo yenu tu hizo sheli mnazojenga na magari mnayonunua kwa kificho siku mwananchi akiamua yake hamta ona umuhimu wake
Leo hiyi nchi ya Msumbiji mbolea ni shilingi elfu arobaini na ina mchanganyiko wa aina zote za mbolea kwann msiruhusu wafanya biashara wachukue huko walete ndani
Kulikoni haya yanayoendelea?
Na mnajua huu ndio msimu wenyewe lengo lenu hasa ni nini?
Kwanini mnaleta siasa kwenye maisha ya watu?