Baraza la Mawaziri 1963
Julius K. Nyerere 41 years old,
President of Republic of Tanganyika
Rashidi Mfaume Kawawa, 34 yrs
Vice-President
Sheikh Amri Abedi Kaluta, 39 yrs
Minister of Justice...
Serikali kutoa Sh102.3 bilioni kwaajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT).
Chuo kikuu cha sokoine kilianzishwa mwaka 1984 hadi leo wasomi wake...
Ndio kwanza kumekucha kwenye miaka mitano ya kikatiba bado nina miaka yangu mitatu kamili.
Mlilia nchi imefungwa mtangulizi wangu ameua utalii, mazao hayatoki ndani bei inawaumiza wakulima, sasa...
Wakuu kwema?
Kila nikiangalia sura ya Rais wa Kongo, mheshimiwa Tshisekedi naona anahitaji msaada wa kila namna juu ya vituko vinavyofanywa na waasi wa M23 pale nchini Kongo. Inaonekana wao kama...
Mabasi 750 Yaendayo Haraka yanatarajiwa kuanza kufanya kazi katika barabara ya Mbagala jijini Dar es Salaam, Machi 2023.
Mradi huo ambao ni awamu ya pili unatarajiwa kuanza na mabasi 750 kutokana...
Akichangia bajeti ya wizara ya ujenzi na uchukuzi leo bungeni, Mbunge wa Ukonga amesema licha ya Rais Samia kuonya mkandarasi mmoja kupewa tenda nyingi kwa wakati mmoja, Wizara husika iliipa...
Alhamisi ya wiki hii, Oktoba 27, 2022, Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete ameshiriki shughuli ya ufunguzi wa Daraja la Mto...
Kulijua hilo mpaka uwe na AKILI KUBWA Kukijua hicho Chama cha UPINZANI TANGANYIKA ni Rahisi sana Viorodheshe Vyama vyote Angalia MISUKOSUKO ya kila CHAMA iliyopitia na inayoendelea kupitia kutoka...
Kumekuwa na Juhudi nyingi kufuta Mazuri yaliyofanywa na Hayati Magufuli,Jitihada hizi zinaonekana waziwazi hasa kutokutambua mchango wake kwenye Miradi aliyoiacha,
Katika Daraja jipya la Wami...
Mtapigwa Kama ngoma, mtaishi maisha magum Kama wachawi, inchi hii ya Watu wote mda utaongea , Linda taifa na sio vyama Mungu atapunguza adhabu zenu ,kamwe usipate laana KWA ajili ya Watu wengine...
Kwa mfano Nassari alipewa burungutu la fedha akachimbe Visima yeye akadai kachimba ila havikutoa maji na muda mfupi baadae akahamia CCM
Visima vile vya Chadema vingekuwa na mchango mkubwa wakati...
Ndugu zangu miaka kadhaa iliyopita hakika chama hiki kilijizolea umaarufu mkubwa Sana hasa kwa kundi la vijana, Vijana walijiona fahari Sana kujiita makamanda, vijana wengi hasa wa vyuo vikuu na...
Ni tarehe 26/08/2022
Andiko langu la pongezi na onto kwa kijana wetu mpendwa ambae binafis ni kijana mwenzake lakini lazima nimwoneshe yakuwa aliko teuliwa kwenda Kuna vichaka vya wachawi kwa...
Chama cha ACT Wazalendo kimependekeza Serikali ichukue mkopo wa Sh10 trilioni kwenye benki za maendeleo ili kusambaza maji nchi ili kumaliza kabisa changamoto ya upatikanaji wa maji
Chama hicho...
Sasa hivi nchi nzima tuna ukame ambao haujakuwpo kwa miaka kama kumi hivi.
Ukame huu unaleta athari mbili kuu, ukosefu wa maji ya matumizi ya binadamu na hvile vile kukosekana kwa maji ya kutosha...
Na WyEST,
DAR ES SALAAM.
Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imepongeza Wizara ya Elimu na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kwa kuwa na mfumo wa kielektroniki wa usahihishaji...
"JPM"aliongea na Wananchi Papo kwa Papo bila chenga!
SSH hataki Maswali wala Taarifa toka kwa Wananchi kule anakopita.
JPM Aliongea kero husika na kwa wakati husika,Je! Samia anaogopa nini?
JPM...
Kipindi Cha ukoloni waafrica tulikuwa tunapigana sisi kwa sisi halafu mzungu ananyakua Mali kirahisi Sana. Mfano mango Sina dhidi ya mango meli halafu mzungu anapita kirahi.
Mangungo akalaghaiwa...
Hata TANU ilipokuwa inapambana ili kupigania uhuru wa Tanganyika ilihakiiisha kuwa na ofisi na matawi kila ofisi kila mkoa na kila wilaya.
ACT Wazalendo wameonyesha kuwa wakipewa dhamana ya kuwa...
Kwa mda wa miaka mitano tu Kila mmoja kaonja joto la jiwe, si mkuli, si graduate, si mfanyabiashara, mwajiliwa wa serikali na binafsi. Wote tulikuwa tunasubili Kila siku matamko yake tu as if nchi...