scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,736
Ndio kwanza kumekucha kwenye miaka mitano ya kikatiba bado nina miaka yangu mitatu kamili.
Mlilia nchi imefungwa mtangulizi wangu ameua utalii, mazao hayatoki ndani bei inawaumiza wakulima, sasa nimefungua kaeni kwa kutulia.
Mkadai mtangulizi wangu hapendi kusafiri kwa sababu hajui kingereza, na hatafuti uhusiano na nchi zengine, mwenzenu kingereza najua, Vasco dagama nimekuja ngoja nisafiri nitafute ugali wanangu, kaeni kwa kutulia
Alijiita mzalendo mkadai ni fisadi mimi mzalendo wa kweli nimekuja, kaeni kwa kutulia.
Aliwatumbua ambao hawakutosha kwenye nafasi zao mkasema ni kichaa, aliwahi kulazwa milembe, mwenye akili zangu nipo nimewarudisha mzigoni, kaeni kwa kutulia.
Alipokuwa akisisimama njiani kusikiliza shida za watu mkasema anatafuta popularity, mwenzenu sitafuti popularity shida zote malizeni huko.
Et mnalia maji sijui Umeme, hapo bado mpaka myaite maji mmaa
Ndo kwanza miaka miwili tu, bado niponipo kwanza.
Na kwa vile nimefanya yale mlikuwa mkiyataka nina imani mtaniongezea mingine ili itimie kumi niwafungulie nchi.