Makampuni ya simu wametengeneza Cartel?

Makampuni ya simu wametengeneza Cartel?

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
5,504
Reaction score
14,131
Ukiangalia trend ya kupandisha gharama za vifurushi ni kwamba hizi kampuni zimekuja pamoja au zimeungana ili kukamua Watu. Wameunda Cartel na usishangae hata wanaweza kuta wanachangishana pesa za kuwapoza watu.

Haiwezekani speed ya kupandisha gharama iwe kubwa kiwango hiki asiee na ni kampuni zote.

Tukisema mtu kama Nape anapewa Bahasha tutakuwa tunakosea?
 
Kampuni hizi ni cartel ...ziko tatu
Wanahakikisha hakuna mwingine anaingia kushindana nao...

Hazilipi Kodi stahili ..
Walipolazimishwa kuuza hisa DSE wakahujumu mchakato..

Na aliekuwa major shareholder wa Vodacom sasa ndio mmiliki wa tigo
Obviously wamewaweka mfukoni baadhi ya Viongozi..

Wanakamua sasa to the maximum wanajua soon technology mbali mbalimbali za satellite internet zinaweza sambaa...
 
Yes, wameunda umoja
Wanakula kwa urefu wa kamba zao. Kwa bahati mbaya kamba za wanaokamuliwa na hawa wezi, yaani sisi wananchi, hazina urefu wowote kwa hiyo tunaliwa tukiwa tumesimama pale pale. Kweli hii serikali hii sa CCMK imeamua pesa za kununulia V8 za kutembelea wazururaji kama akina Shaka Zulu hazikosekani, ziko pale pale!
 
Kampuni hizi ni cartel ...ziko tatu
Wanahakikisha hakuna mwingine anaingia kushindana nao...

Hazilipi Kodi stahili ..
Walipolazimishwa kuuza hisa DSE wakahujumu mchakato..

Na aliekuwa major shareholder wa Vodacom sasa ndio mmiliki wa tigo
Obviously wamewaweka mfukoni baadhi ya Viongozi..

Wanakamua sasa to the maximum wanajua soon technology mbali mbalimbali za satellite internet zinaweza sambaa...
Rostam Aziz anamiliki Vodacom,Tigo na Zantel. Huyu ni muhuni na muhujumu uchumi. Nape na January Makamba hawana uwezo wa kumfanya kitu zaidi ya kuwa mameneja masoko wake wanaomtetea dhulma zqke
 
Wakuu tunarudishwa kwenye zama za ujima asee...itafika mahali kutumia internet itakua kama anasa...
jamaa wameamua kutukamua mpaka mifupa wandugu ...ukigeuka huku unakutana na tozo dah..
hapa niko namalizie process za mwisho nihamie burundi wakuu
 
Rostam Aziz anamiliki Vodacom,Tigo na Zantel. Huyu ni muhuni na muhujumu uchumi. Nape na January Makamba hawana uwezo wa kumfanya kitu zaidi ya kuwa mameneja masoko wake anayemtetea dhulma zqke
 
Attachments

  • 20220717_224949.jpg
    20220717_224949.jpg
    143.7 KB · Views: 12
Rostam Aziz anamiliki Vodacom,Tigo na Zantel. Huyu ni muhuni na muhujumu uchumi. Nape na January Makamba hawana uwezo wa kumfanya kitu zaidi ya kuwa mameneja masoko wake anayemtetea dhulma zqke
Secret Agent wa CIA East and Central Africa akishirikiana kwa karibu na Secret Agent mwenzie King of Msoga Kingdom
.Naona mission yake ya kumsimika Ruto pale Kenya,kaimaliza salama baada ya Ile ya Tanzania kulipasua jiwe kufanikiwa na kumsimika Bi.Kidawa Msafiri Kafiri.
Hapa tufunge mkanda tu,hamna namna.
 
Ukiangalia trend ya kupandisha gharama za vifurushi ni kwamba hizi kampuni zimekuja pamoja au zimeungana ili kukamua Watu. Wameunda Cartel na usishangae hata wanaweza kuta wanachangishana pesa za kuwapoza watu.

Haiwezekani speed ya kupandisha gharama iwe kubwa kiwango hiki asiee na ni kampuni zote.

Tukisema mtu kama Nape anapewa Bahasha tutakuwa tunakosea?
Acha watukamue mpaka akili zikae sawa
 
Hii nchi sasa hivi kila mtu anajipigia tu, ukienda kwenye shule binafsi hali ni hiyo hiyo, ukija kwenye vifurushi ndio usiseme, yaani hakuna wa kumsemea mwananchi, tuliowapa dhamana wanahangaika na matumbo yao tu ..
Mliowapa dhamana ai waliojipa dhamana? Tanzania kuna kiongozi anapewa dhamana na mwananchi? We uliona wapi?
 
Ukiangalia trend ya kupandisha gharama za vifurushi ni kwamba hizi kampuni zimekuja pamoja au zimeungana ili kukamua Watu. Wameunda Cartel na usishangae hata wanaweza kuta wanachangishana pesa za kuwapoza watu.

Haiwezekani speed ya kupandisha gharama iwe kubwa kiwango hiki asiee na ni kampuni zote.

Tukisema mtu kama Nape anapewa Bahasha tutakuwa tunakosea?
Hatuwagomei ndio maana
 
Back
Top Bottom