Kwanini CCM iliwaacha wagombea bora ikatuletea Magufuli?

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,728
Reaction score
62,876
Kwanza naomba nikiri kuwa binafsi sikumchagua rais John Pombe Magufuli ingawa nilijua atashinda, sababu ni moja tu hakuwa mgombea bora.

Baada ya jina la Magufuli kupitishwa na mkutano mkuu wa CCM kuwa mgombea, wazo la kwanza lililonijia kichwani ni kuwa wajumbe wa CCM walijali maslahi ya chama zaidi kuliko nchi, kuwa walichoangalia wao ni chama kwanza kibaki salama lkn si kuteua mgombea bora ili aje kuwa kiongozi wa watanzania wote na sio kiongozi wa CCM.

Nikajiuliza, Usalama wa Taifa ulikuwa wapi kuzuia hili lisitokee, najua wasingeweza kupinga hadharani kutokana na maadili ya kazi lkn walikuwa na uwezo wa kuzuia kwa vile walijua fika udhaifu wa Magufuli.

Nilitaraji CCM watuletee watu kama Balozi Mahiga, Asha Migiro au Membe wazoefu wa diplomasia za kimataifa. Nilitegemea watuletee watu waadilifu wasio na doa kama kina Agustino Ramadhan, Mizengo Pinda, mama Samia au Shein, angalau basi wangetuletea jasusi la kimataifa kama Kitine kupambana na hujuma za majirani zetu kwenye soko huria la uchumi.

Hivi kweli CCM walishindwa vipi kuteua angalau mmoja bora kati ya hawa wagombea 38 waliojitokeza?

1. Bernard Membe
2. Balozi Mstaafu Agustine Mahiga,
3. Mizengo Pinda,
4. January Makamba,
5. Balozi Amina Said Alli,
6. Profesa Mark Mwandosya
7. Mama Samia Suluhu
8. Jaji Mstaafu Agustino Ramadhan,
9. Asha Rose Migiro.
10.Dk. Ali Mohamed Shein,
11.Dk. Hassy Kitine.

TUJISAHIHISHE, muda bado upo tusirudie makosa tena hapo 2020 tutajuta.

Mawazo huru kutoka kwa mwanaJF mzoefu Quinine.
 
Nikajiuliza, Usalama wa Taifa ulikuwa wapi kuzuia hili lisitokee, najua wasingeweza kusema hadharani kutokana na maadili ya kazi lkn walikuwa na uwezo wa kuzuia kwa vile walijua fika udhaifu wa Magufuli.

Nilitaraji CCM watuletee watu kama Balozi Mahiga, Asha Migiro au Membe wazoefu wa diplomasia za kimataifa. Nilitegemea watuletee watu waadilifu wasio na doa kama kina Agustino Ramadhan, Mizengo Pinda au Shein, angalau basi watuletee jasusi la kimataifa kama Kitine kupambana na hujuma za majirani zetu kwenye soko huria la uchumi.

7. Jaji Mstaafu Agustino Ramadhan,
8. Asha Rose Migiro.
9. Dk. Ali Mohamed Shein,
10.Dk. Hassy Kitine.

Kwann chadema ilinunuliwa na mtu waliyetuaminisba kuwa n fisad kwa takriban 10 yrs na kubadil gia angan kumpa ridhaa ya kugombea urais ikiwatelekeza makada wake jangwan??
 
Kwanza naomba nikiri kuwa binafsi sikumchagua rais John Pombe Magufuli ingawa nilijua atashinda, sababu ni moja tu hakuwa mgombea bora.

Baada ya jina la Magufuli kupitishwa na mkutano mkuu wa CCM kuwa mgombea, wazo la kwanza lililonijia kichwani ni kuwa wajumbe wa CCM walijali maslahi ya chama zaidi kuliko nchi, kuwa walichoangalia wao ni chama kwanza kibaki salama lkn si kuteua mgombea bora ili aje kuwa kiongozi wa watanzania wote na sio kiongozi wa CCM.

Nikajiuliza, Usalama wa Taifa ulikuwa wapi kuzuia hili lisitokee, najua wasingeweza kusema hadharani kutokana na maadili ya kazi lkn walikuwa na uwezo wa kuzuia kwa vile walijua fika udhaifu wa Magufuli.

Nilitaraji CCM watuletee watu kama Balozi Mahiga, Asha Migiro au Membe wazoefu wa diplomasia za kimataifa. Nilitegemea watuletee watu waadilifu wasio na doa kama kina Agustino Ramadhan, Mizengo Pinda au Shein, angalau basi watuletee jasusi la kimataifa kama Kitine kupambana na hujuma za majirani zetu kwenye soko huria la uchumi.

Hivi kweli CCM walishindwa vipi kuteua angalau mmoja bora kati ya hawa wagombea 38 waliojitokeza?

1. Bernard Membe
2. Balozi Mstaafu Agustine Mahiga,
3. Mizengo Pinda,
4. January Makamba,
5. Balozi Amina Said Alli,
6. Profesa Mark Mwandosya
7. Jaji Mstaafu Agustino Ramadhan,
8. Asha Rose Migiro.
9. Dk. Ali Mohamed Shein,
10.Dk. Hassy Kitine.

TUJISAHIHISHE, muda bado upo tusirudie makosa tena hapo 2020 tutajuta.

Mawazo huru kutoka kwa mwanaJF mzoefu Quinine.
Nina furahi kuona kuwa hata Chadema wana amini kuwa Rais bora lazima atoke CCM .....Huyo unae muona si bora wana CCM tulimuona ni bora..kuliko hao ulio wataja...
Usijali lakini baada ya 2025 tutawaletea bora mwingine pengine atatoka kwa hao unao waona bora...Lakini kwa sasa kwetu Magufuli ni bora kabisa na alipatikana kwa demokrasia.

KIDUMU CHAMA BORA CHA MAPINDUZI
 
Ni vigumu sana kuona kosa ukiwa ndani ya system bali tulio nje ya system.
 
Kwanza naomba nikiri kuwa binafsi sikumchagua rais John Pombe Magufuli ingawa nilijua atashinda, sababu ni moja tu hakuwa mgombea bora.

Baada ya jina la Magufuli kupitishwa na mkutano mkuu wa CCM kuwa mgombea, wazo la kwanza lililonijia kichwani ni kuwa wajumbe wa CCM walijali maslahi ya chama zaidi kuliko nchi, kuwa walichoangalia wao ni chama kwanza kibaki salama lkn si kuteua mgombea bora ili aje kuwa kiongozi wa watanzania wote na sio kiongozi wa CCM.

Nikajiuliza, Usalama wa Taifa ulikuwa wapi kuzuia hili lisitokee, najua wasingeweza kupinga hadharani kutokana na maadili ya kazi lkn walikuwa na uwezo wa kuzuia kwa vile walijua fika udhaifu wa Magufuli.

Nilitaraji CCM watuletee watu kama Balozi Mahiga, Asha Migiro au Membe wazoefu wa diplomasia za kimataifa. Nilitegemea watuletee watu waadilifu wasio na doa kama kina Agustino Ramadhan, Mizengo Pinda, mama Samia au Shein, angalau basi wangetuletea jasusi la kimataifa kama Kitine kupambana na hujuma za majirani zetu kwenye soko huria la uchumi.

Hivi kweli CCM walishindwa vipi kuteua angalau mmoja bora kati ya hawa wagombea 38 waliojitokeza?

1. Bernard Membe
2. Balozi Mstaafu Agustine Mahiga,
3. Mizengo Pinda,
4. January Makamba,
5. Balozi Amina Said Alli,
6. Profesa Mark Mwandosya
7. Mama Samia Suluhu
8. Jaji Mstaafu Agustino Ramadhan,
9. Asha Rose Migiro.
10.Dk. Ali Mohamed Shein,
11.Dk. Hassy Kitine.

TUJISAHIHISHE, muda bado upo tusirudie makosa tena hapo 2020 tutajuta.

Mawazo huru kutoka kwa mwanaJF mzoefu Quinine.
Mkuu sababu umeshaisema mwenyewe, CCM walitaka chama kibaki Salama/madarakani, Na dio madhumuni ya chama cha siasa, Kwa maana hiyo hao 11 ulio wataja wasingekiacha chama salama.
Unategemea upate sababu nyingine?
 
Ch
Kwanza naomba nikiri kuwa binafsi sikumchagua rais John Pombe Magufuli ingawa nilijua atashinda, sababu ni moja tu hakuwa mgombea bora.

Baada ya jina la Magufuli kupitishwa na mkutano mkuu wa CCM kuwa mgombea, wazo la kwanza lililonijia kichwani ni kuwa wajumbe wa CCM walijali maslahi ya chama zaidi kuliko nchi, kuwa walichoangalia wao ni chama kwanza kibaki salama lkn si kuteua mgombea bora ili aje kuwa kiongozi wa watanzania wote na sio kiongozi wa CCM.

Nikajiuliza, Usalama wa Taifa ulikuwa wapi kuzuia hili lisitokee, najua wasingeweza kupinga hadharani kutokana na maadili ya kazi lkn walikuwa na uwezo wa kuzuia kwa vile walijua fika udhaifu wa Magufuli.

Nilitaraji CCM watuletee watu kama Balozi Mahiga, Asha Migiro au Membe wazoefu wa diplomasia za kimataifa. Nilitegemea watuletee watu waadilifu wasio na doa kama kina Agustino Ramadhan, Mizengo Pinda, mama Samia au Shein, angalau basi watuletee jasusi la kimataifa kama Kitine kupambana na hujuma za majirani zetu kwenye soko huria la uchumi.

Hivi kweli CCM walishindwa vipi kuteua angalau mmoja bora kati ya hawa wagombea 38 waliojitokeza?

1. Bernard Membe
2. Balozi Mstaafu Agustine Mahiga,
3. Mizengo Pinda,
4. January Makamba,
5. Balozi Amina Said Alli,
6. Profesa Mark Mwandosya
7. Mama Samia Suluhu
8. Jaji Mstaafu Agustino Ramadhan,
9. Asha Rose Migiro.
10.Dk. Ali Mohamed Shein,
11.Dk. Hassy Kitine.

TUJISAHIHISHE, muda bado upo tusirudie makosa tena hapo 2020 tutajuta.

Mawazo huru kutoka kwa mwanaJF mzoefu Quinine.
chaguo lako la mgombea number moja linaonyesha criteria zako hazipo sahihi, Na ndio maana alikatwa lakini Kama tunaongelea mapenzi yako sawa , akili ni nywele kila mtu ana zake hata number nne??? Number Tisa ???? Nk nk , number kumi number Mbili number 8 sawa labda kilicho gomba ni umri Na Dr Shein alikuwa anafaa zaidi Kwa ndugu zetu wa ZnZ . Ni Mpemba wa Kwanza kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Matukufu ya ZNZ
 
Kingunge said'huyu anafaa kuwa nyapala na sio rais`mwisho wa kunukuu!
Baada ya kusema hayo, hatukumsikia tena mpaka kifo chake kilipo fika - kilicho sababishwa na kushambuliwa na mbwa wake mwenyewe. Wakati mwingine kuweni na akiba ya maneno. Usije ukalipwa hapa hapa duniani kwa kuchongewa na mdomo wako.
 
Bado unawaza usalama wa taifa? Chombo kilicho chini ya raisi anaweza kukitumia atakavyo, kifupi raisi anaye kuwa madarakani kwa mujibu wa katiba yetu nimungu mtu, watu hamtaki kulijua hili badilisheni katiba kesho anaweza kuwekwa yeyote na tukaufyata, matokeo ya uraisi hayapingwi mahakamani huu ni msumeno unao chinja wapinzani
 
Kwanza naomba nikiri kuwa binafsi sikumchagua rais John Pombe Magufuli ingawa nilijua atashinda, sababu ni moja tu hakuwa mgombea bora.

Baada ya jina la Magufuli kupitishwa na mkutano mkuu wa CCM kuwa mgombea, wazo la kwanza lililonijia kichwani ni kuwa wajumbe wa CCM walijali maslahi ya chama zaidi kuliko nchi, kuwa walichoangalia wao ni chama kwanza kibaki salama lkn si kuteua mgombea bora ili aje kuwa kiongozi wa watanzania wote na sio kiongozi wa CCM.

Nikajiuliza, Usalama wa Taifa ulikuwa wapi kuzuia hili lisitokee, najua wasingeweza kupinga hadharani kutokana na maadili ya kazi lkn walikuwa na uwezo wa kuzuia kwa vile walijua fika udhaifu wa Magufuli.

Nilitaraji CCM watuletee watu kama Balozi Mahiga, Asha Migiro au Membe wazoefu wa diplomasia za kimataifa. Nilitegemea watuletee watu waadilifu wasio na doa kama kina Agustino Ramadhan, Mizengo Pinda au Shein, angalau basi watuletee jasusi la kimataifa kama Kitine kupambana na hujuma za majirani zetu kwenye soko huria la uchumi.

Hivi kweli CCM walishindwa vipi kuteua angalau mmoja bora kati ya hawa wagombea 38 waliojitokeza?

1. Bernard Membe
2. Balozi Mstaafu Agustine Mahiga,
3. Mizengo Pinda,
4. January Makamba,
5. Balozi Amina Said Alli,
6. Profesa Mark Mwandosya
7. Jaji Mstaafu Agustino Ramadhan,
8. Asha Rose Migiro.
9. Dk. Ali Mohamed Shein,
10.Dk. Hassy Kitine.

TUJISAHIHISHE, muda bado upo tusirudie makosa tena hapo 2020 tutajuta.

Mawazo huru kutoka kwa mwanaJF mzoefu Quinine.
Uliwahi kukaa ukajiuliza kwanini mwanachama au kiongozi yoyote ndani ya CDM anakuwa na mawazo yanayo kinzana na Mbowe anaonekana MSARITI??ZZK,Kitila Mkumbo,Chacha Wangwe,Dr Slaa,Watanzania hawatokuja wajisahihishe mwaka 2020 kwa huu undumila kuwili wa Freeman Mbowe,aliwatumia akina Dr Slaa kuzunguka Tanzania kutuaminisha kuwa Baba Rich ni fisadi mkubwa,cha kushangaxa tu baada ya kutemwa CCM Mbowe akampigia magoti eti aje CDM ili awe mgombea Urais,kumbuka katiba ya CDM inasema hivi ili uwe na sifa ya kugombea nafasi yoyote ndani ya chama shariti uwe umekaa ndani ya chama kwa mda usiopungua miez 6 lakini cha kushangaza Mbowe alivunja Katiba, Kwa kipindi kile mwaka mmoja kabla ya uchaguzi CDM ilikuwa imekubalika sana na rika zote hapa Tanzania nikiwemo na mimi,CCM itaendelea kushika hatamu miaka hata 50 mbela kwa sabab upinzani wamelala usingizi na hakuna wakuwaamusha tena, leo hii John Mnyika na Msingwa wakikutana na Baba Rich wanaona aibu kwa jinsi walivyokuwa wanamtukana Mzee wawatu,na kwa sasa ndo kashikiria mpini pale CDM
 
Back
Top Bottom