Baada ya kupata takwimu Serikali ihakikishe inapanga bajeti kulingana na watu

sitaki hela

Member
Oct 10, 2022
73
87
Mh, Rais ameshatoa Takwimu sahihi za sensa kulingana na vyanzo mbalimbali na utaratibu uliofuata, Sasa kilicho Baki ni jukumu la Serikali kuhakikisha inapanga bajeti yake kulingana na idadi ya watu, shida moja tuliyo nayo sisi watazania ni kupinga Kila jambo, zoezi limeisha, tuzidi kumpa kiongozi wetu moyo wa kulitumikia Taifa
 
Mh, Rais ameshatoa Takwimu sahihi za sensa kulingana na vyanzo mbalimbali na utaratibu uliofuata,Sasa kilicho Baki ni jukumu la serikali kuhakikishainapanga bajeti yake kulingana na idadi ya watu,shida moja tuliyo nayo sisi watazania ni kupinga Kila jambo,zoezi limeisha,tuzidi kumpa kiongozi wetu moyo WA kulitumikia Taifa
IMG-20221031-WA0154.jpg
 
Ccm mbona wanaleta siasa kila kitu? Inachukiza na other side inaumiza! Mbaya zaidi wananchi wapo wapo tu kweli WaTanzania ni mbwa mijalaana
 
Back
Top Bottom