Viongozi wetu wana akili timamu kweli?

Viongozi wetu wana akili timamu kweli?

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,037
Reaction score
168,677
Charles D. B. King - Wikipedia
images (23).jpeg

TIL Former Liberian President, Charles King, is listed in the Guinness Book of Records for the most fraudulent election reported in history, having won the 1927 election with 234,000 votes in a country with 15,000 registered voters
 
Duh Bujibuji huyo alivunja record kabisa ndo maana aliingia kwenye hilo lijitabu
 
Last edited by a moderator:
Aliwaona wananchi wake wote ni mambumbumbu na hawajui kitu kabisa
na bado aliendelea kuwatawala licha ya huo udanganyifu
Machafuko kwenye nchi zetu za Kiafrika hayatokoma hadi tutakapo futilia mbali kutoka kwenye fikra zetu huu uroho wa madaraka
 
Duh ndo aliyewafunza CCM hii michezo ya marehemu kupiga kura.
Atakuwa ni ROLE MODAL WA CCM
joely uroho wa madaraka hauko kwenye jina la chama, mizizi yake imemea kwenye fikra zetu.
Tukiing'oa mizizi hii tutaona CCM na vyama vyote wakitaka uchaguzi huru na wa haki. Tutaona watu wakifurahia kushindwa na kukuali matokeo bila pingamizi lolote
 
Last edited by a moderator:
Machafuko kwenye nchi zetu za Kiafrika hayatokoma hadi tutakapo futilia mbali kutoka kwenye fikra zetu huu uroho wa madaraka

Mkuu Bujibuji madaraka matamu na ndo maana unaona wanarithishana tuu mke na watoto na wajukuu zao na wanajitengenezea mtandao ambao hata wakiondoka madarakani bado wana nafasi ya kuingilia mambo kwenye serikali inayotawala au wameacha watu watakaotetea maslahi yao na ndo maana wanaweka vifungu vya kutoguswa kwenye katibazao as if ni miungu watu
 
Nothing lasts forever, kuna haja ya kuzikomboa fikra zetu. Watu weusi tunadharaulika kwa sababu ya tamaa zetu wenyewe
 
Mkuu Bujibuji kuzikomboa fikra ni kuondoa ile hali ya wananchi wanahongwa vitenge na kanga na pilau na pombe au na vishilingi eflu tano siku ya uchaguzi ndo anajua hiki ni chama cha kuchagua na mgombea wetu ni huiyu ambaye hawatamuona mpaka miaka mitano iishe
Tuondoe fikra za uvyama tuifikirie nchi zetu zaidi kujua kuwa tunawachagua viongozi watakaotuletea maendeleo na kupigania haki na usawa na watakaogawa cake ya taifa kwa watu wote bila kujali rangi au kabila au kupendelea walikotoka
Viongozi ambao wanaweka maslahi ya nchi na wananchi mbele na sio ya kwao na familia zao
Kuondoa dhana kuwa kiongozi anayetoa ahadi milioni kidogo ni kiongozi wakati tunajua kiuhalisia hakuna hata moja itakayotekelezwa
 
Last edited by a moderator:
ni kama CCM wanavyoiba kura zanzibar,mtwara,lindi,pwani,tanga,dodoma,singida na tabora kila chaguzi
 
Well said Mr Rocky
Mkuu Bujibuji kuzikomboa fikra ni kuondoa ile hali ya wananchi wanahongwa vitenge na kanga na pilau na pombe au na vishilingi eflu tano siku ya uchaguzi ndo anajua hiki ni chama cha kuchagua na mgombea wetu ni huiyu ambaye hawatamuona mpaka miaka mitano iishe
Tuondoe fikra za uvyama tuifikirie nchi zetu zaidi kujua kuwa tunawachagua viongozi watakaotuletea maendeleo na kupigania haki na usawa na watakaogawa cake ya taifa kwa watu wote bila kujali rangi au kabila au kupendelea walikotoka
Viongozi ambao wanaweka maslahi ya nchi na wananchi mbele na sio ya kwao na familia zao
Kuondoa dhana kuwa kiongozi anayetoa ahadi milioni kidogo ni kiongozi wakati tunajua kiuhalisia hakuna hata moja itakayotekelezwa
 
Last edited by a moderator:
234,000 votes out of 15,000 registered voters!!ha ha ha lazima uingie kwenye guesnes ili wajuu zako waje wakuone jinsi gani babu yao alikua mpuuzi
 
Back
Top Bottom