Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

==== Dar es Salaam. Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) anayemaliza muda wake Jenerali Venance Salvatory Mabeyo ametaja kifo cha Rais wa awamu ya tano John Magufuli, na matukio...
24 Reactions
123 Replies
12K Views
Mwanamama wa shoka Nusrat Hanje ameibwaga CHADEMA, ukweli usiopingika huyu mwanamama ni genius sana. Huko mbeleni kama chama chetu CCM ikiona inafaa basi tumchukue huyu Nusrat. Hoja...
8 Reactions
130 Replies
11K Views
Yaani kuna watu ni Wabunge lakini njia waliyopita hadi kufika Dodoma ilijaa mizengwe, hekaheka, vitisho na misukosuko mingi Mungu wa mbinguni awape wepesi kwa kweli Sabato njema!
0 Reactions
6 Replies
500 Views
WanaJf, Hi! Nchi ya Rwanda na DRC ni majirani zetu kabisa na ni washirika wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Hata hivyo matukio ya usimikaji na ufadhili wa kundi la M23 unaofanywa na nchi ya Rwanda...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, Huwa najiuliza Sana, hivyi hawa wanasiasa wanaoiba hela za serikali, kwa mgongo wa miradi, wanajua kuwa Moto upo ??? Na dhambi ya wizi itawapeleka motoni??? Hivyi wanasahau...
0 Reactions
1 Replies
394 Views
" Mtembea bure si sawa na mkaa bure"
10 Reactions
94 Replies
6K Views
Nimpongeze Rais Samia kwa kuamua mradi wa Gesi asilia uendelee leo katika pekenyuzi zangu nimekutana ripoti nzuri kutoka stanbic nimeona si vibaya tukashare hapa kwa uchambuzi mdogo nilioufanya...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Kama Katibu mkuu Mnyika peke yake aliweza kuratibu utaratibu Wote kuanzia Chadema, NEC hadi Bungeni na Nusrat Hanje akawa mbunge basi kuna tatizo kubwa kuliko tunaloliona Kuna Siku chama cha...
0 Reactions
11 Replies
841 Views
Mara nyingi sisi watumishi wa Mungu tunaponena jambo badala mtusikilizie basi mnajikita kutuangalia Kaliba zetu, kwamba we mtu uliyekuwa hujasoma utaniambia nini, mtu mwenye maskini tu...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Ni kuhusu kadhia ya kutokupandihswa madaraja kwa wanataaluma. Suala la academic promotions kwa chuo kikuu cha taifa cha Zanzibar (SUZA) ni la kusikitisha na kufedhehesha. Mchakato unachukua muda...
0 Reactions
2 Replies
546 Views
Ndugu zangu Rais Samia ameirejesha heshima ya Tanzania Kimataifa, Sasa Tanzania inazungumzwa na kuandikwa kwa Mazuri, Sasa kurasa za mbele za magazeti Ni juu ya fursa ambazo Tanzania imezipata...
7 Reactions
87 Replies
4K Views
Nimekuwa nikijiuliza swali hili kila mara bila kupata jibu, ni kwanini kila mwaka ripoti ya CAG inabainisha wizi wa mabilioni ya shilingi serikalini, bila ya kuchukuliwa hatua yoyote, je ni...
4 Reactions
13 Replies
833 Views
Kupitia katika ripoti mbalimbali za kiuchumi katika Bara la Afrika zinaonyesha hali ya ukwasi (Utajiri) kwa Tanzania ni dola bilioni 67.78 za kimarekani Kuingia katika nafasi ya 10 nchi...
2 Reactions
9 Replies
6K Views
Kasema Tanzania kuna Ziwa Nyasa, Tanganyika, Ziwa Victoria lakini tunadai kuna upungufu wa maji na kuna mgao Dar na Mwanza. Eti Jangwa la Kalahari huko Botswana maji yapo hakuna mgao. Anasema...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Utafiti Mpya Tulioufanya kwa zaidi ya miezi 6 unaonyesha kwamba, Nusrat Hanje aliyewahi kuwa Katibu wa BAVICHA TANZANIA, ambayo ndio Taasisi Bora Kabisa ya Vijana Barani Africa na baadaye...
21 Reactions
101 Replies
9K Views
Leo Tarehe 3/11/2022 kesi ya Wabunge Mamluki wasio na Chama baada ya kutimuliwa na kuvuliwa uanachama wa Chadema , inaendelea tena Kama kawaida Wakili Msomi Peter Kibatala anaongoza Jopo la...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Mbunge wa jimbo la Kisesa wilayani Meatu - mkoa wa Simiyu aanika bungeni madudu Ripoti ya CAG. ===Fungua kiambatanisho.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Antony Mtaka anatajwa sana kwenye mbio za urais mwaka 2025 hasa ukizingatia ni kiongozi mnyenyekevu na mchapakazi sana tangu alipokuwa Simiyu, Dodoma na sasa Njombe. Ni...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso Leo tarehe amefika ofisi za RUWASA sehemu ya uchimbaji visima na ujenzi wa mabwawa (DDCA) na kutoa maelekezo mahususi kwa Taasisi hiyo kwa kushirikiana na Bonde...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakati nchi ikiwa kwenye changamoto lukuki, mfumuko wa bei, hakuna maji, hakuna umeme, hakuna mikopo watoto wa vyuo hawajalipwa pesa cha ajabu viongozi wakuu na mawaziri waandamizi wako nje ya...
19 Reactions
51 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…