Maji yapo, tatizo Uongozi

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
6,165
7,092
Hili swala Maji ni Kama laana kwa viongozi wetu. Kiufupi, viongozi wamelaaniwa.

Wala hawawezi kuelewa mambo ya msingi. Kwa teknolojia ya sasa Maji ya mto ni kwa matumizi ya kilimo cha umwagiliaji (Irrigation) sio matumizi ya maji ya kunywa. Mito hukauka.

Maji ya kunywa yapo ardhini, baharini na au kwenye maziwa.

Kwa hapa nchini maji toka ardhini yapo Dodoma. Kuna visima kule mzakwe na mdemo. Visima vilichimbwa wakati wa mkoloni nadhani viliongezwa.

Hapa Dar serikali ilichimba kogamboni ambayo sasa ndio yameamliwa yaingizwe kwenye mfumo wa dawasa. Serikali ikiamua kuchimba maji ya ardhini, table water maji yanatosha kabisa. Nasema Tena maji yapo, tatizo uongozi.
 
HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
9,927
20,673
Hili swala Maji ni Kama laana kwa viongozi wetu. Kiufupi, viongozi wamelaaniwa.

Wala hawawezi kuelewa mambo ya msingi.
Kwa teknolojia ya sasa Maji ya mto ni kwa matumizi ya kilimo cha umwagiliaji (Irrigation) sio matumizi ya maji ya kunywa. Mito hukauka.

Maji ya kunywa yapo ardhini, baharini na au kwenye maziwa.

Kwa hapa nchini maji toka ardhini yapo Dodoma. Kuna visima kule mzakwe na mdemo. Visima vilichimbwa wakati wa mkoloni nadhani viliongezwa.

Hapa Dar serikali ilichimba kogamboni ambayo sasa ndio yameamliwa yaingizwe kwenye mfumo wa dawasa.
Serikali ikiamua kuchimba maji ya ardhini, table water maji yanatosha kabisa.
Nasema Tena maji yapo, tatizo uongozi.
Mbona linajulikana Hilo Ccm Kuna zero brain Watupu.

Hata huku Kivule na Majohe maji watu wanapata Safi na kunywa kwa kutumia visima vilivyo chimbwa na watu tu sasa Serikali inakwama wapi!
 
2 Reactions
Reply
Top Bottom