Lowassa akishindwa Uchaguzi Mkuu 2015, kuna watu watalia mara mbili

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,894
20,367
Wadau,

Nimetafakari sana na hakika nawahurumia sana baadhi ya watu. Wakati Lowasa akiwa CCM, walijipambanua kuwa chaguo lao ni Lowasa. Tena wakaunda mitandao mingi kama Friends of Lowasa, 4U Movement nk. Hawa piga ua walikuwa wanaamini kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM ni Lowasa hivyo wakawa wanatumia muda mwingi kumnadi.

Baada ya Lowasa kukatwa na CCM, watu hao walilia sana na kusaga meno. Hata hivyo, kilio chao kilitulia baada ya Lowasa kuhamia CHADEMA. Wengi wao ambao wapo kwenye mitandao ya kijamii wakaenda huko kama vile nyumbu. Huku wakitaraji kuwa Lowasa ndiye Rais ajaye

Kutokana na upepo kuvuma vibaya, huku Lowasa akikimbiwa na kundi kubwa la wapiga kura, watu hao ambao kwa sasa wanajipambanua kwa kundi la Ulipo Tupo watalia tena kwa mara nyingine. Tena kilio cha safari hii hakina wa kuwafuta machozi. Maana baada ya kipigo atakachopata Lowasa, kundi hilo watapoteana kabisa.

Siku zi nyingi ukweli huu utadhihiri
 
tusubiri oktoba 25 mambo yatakavyokuwa. Eeeh Mungu tupe uzima
 
Kwa uzi wa kijinga hivi bosi wako hatukupa buku 7 leo,

Kajipange tena kisha urudi kivingine bila ya hvy utakufa njaa
 
Huenda pia chadema ikafa kabisa na ACT ndio kikawa chama kikubwa cha upinzani Tanzania.Hapo chadema ndio watalipa fidia ya kuwa kigeugeu kwa kuwaambia watu fulani ni mafisadi na baadae kusema watu hao hoa waliowaita mafisadi eti watamtetea mtanzania mnyonge!
 
Nyumbu hawajiulizi ni kwanini Sumaye na Kingunge wamezamia huku bila kutaja Chama walichojiunga! Wanajua wazi kilio cha Nyumbu kipo njiani!
 
Wadau,

Nimetafakari sana na hakika nawahurumia sana baadhi ya watu. Wakati Lowasa akiwa CCM, walijipambanua kuwa chaguo lao ni Lowasa. Tena wakaunda mitandao mingi kama Friends of Lowasa, 4U Movement nk. Hawa piga ua walikuwa wanaamini kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM ni Lowasa hivyo wakawa wanatumia muda mwingi kumnadi.

Baada ya Lowasa kukatwa na CCM, watu hao walilia sana na kusaga meno. Hata hivyo, kilio chao kilitulia baada ya Lowasa kuhamia CHADEMA. Wengi wao ambao wapo kwenye mitandao ya kijamii wakaenda huko kama vile nyumbu. Huku wakitaraji kuwa Lowasa ndiye Rais ajaye

Kutokana na upepo kuvuma vibaya, huku Lowasa akikimbiwa na kundi kubwa la wapiga kura, watu hao ambao kwa sasa wanajipambanua kwa kundi la Ulipo Tupo watalia tena kwa mara nyingine. Tena kilio cha safari hii hakina wa kuwafuta machozi. Maana baada ya kipigo atakachopata Lowasa, kundi hilo watapoteana kabisa.

Siku zi nyingi ukweli huu utadhihiri

pilipili usioila inal
 
Si mbaya na wewe ukaweka hali itakavyokuwa ikiwa mambo yatakuwa Vice Versa, yaani siku hiyo brother nitakukaribisha Bukoba uje tuangalie fursa za biashara, maana hiyo nafasi uliyonayo utaiachia ndani ya Muda mfupi. Au bado unaweza kusimamia miradi ya Lawyer mbunge(hapa nadhani tunaelewa mimi na wewe). Wewe ni gamba ambaye simchukii sijui kwa nini japokuwa ulimpa shit......jamaa. Kama vipi nitakupigia simu ikiwezekana Tu BET
 
Hv lakini tuache ushabiki tu naomba mtu aniambie ni vipi mashetani ccm wanaweza kushinda. Narudia tena,kwa lipi?
 
Wengi watasononeka Tz kuendelea kuwa koloni wa wachache tena wenzetu hata hawana huruma na watu wao
 
Wadau,

Nimetafakari sana na hakika nawahurumia sana baadhi ya watu. Wakati Lowasa akiwa CCM, walijipambanua kuwa chaguo lao ni Lowasa. Tena wakaunda mitandao mingi kama Friends of Lowasa, 4U Movement nk. Hawa piga ua walikuwa wanaamini kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM ni Lowasa hivyo wakawa wanatumia muda mwingi kumnadi.

Baada ya Lowasa kukatwa na CCM, watu hao walilia sana na kusaga meno. Hata hivyo, kilio chao kilitulia baada ya Lowasa kuhamia CHADEMA. Wengi wao ambao wapo kwenye mitandao ya kijamii wakaenda huko kama vile nyumbu. Huku wakitaraji kuwa Lowasa ndiye Rais ajaye

Kutokana na upepo kuvuma vibaya, huku Lowasa akikimbiwa na kundi kubwa la wapiga kura, watu hao ambao kwa sasa wanajipambanua kwa kundi la Ulipo Tupo watalia tena kwa mara nyingine. Tena kilio cha safari hii hakina wa kuwafuta machozi. Maana baada ya kipigo atakachopata Lowasa, kundi hilo watapoteana kabisa.

Siku zi nyingi ukweli huu utadhihiri

.
mimi kitakacho nisikitisha ni ccm kurudi madarakani
 
Akishinda Lowassa itakuwaje mkuu? Kundi hili watafanyaje? Ukiweza niambie na wewe utakuwaje?

Wadau,

Nimetafakari sana na hakika nawahurumia sana baadhi ya watu. Wakati Lowasa akiwa CCM, walijipambanua kuwa chaguo lao ni Lowasa. Tena wakaunda mitandao mingi kama Friends of Lowasa, 4U Movement nk. Hawa piga ua walikuwa wanaamini kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM ni Lowasa hivyo wakawa wanatumia muda mwingi kumnadi.

Baada ya Lowasa kukatwa na CCM, watu hao walilia sana na kusaga meno. Hata hivyo, kilio chao kilitulia baada ya Lowasa kuhamia CHADEMA. Wengi wao ambao wapo kwenye mitandao ya kijamii wakaenda huko kama vile nyumbu. Huku wakitaraji kuwa Lowasa ndiye Rais ajaye

Kutokana na upepo kuvuma vibaya, huku Lowasa akikimbiwa na kundi kubwa la wapiga kura, watu hao ambao kwa sasa wanajipambanua kwa kundi la Ulipo Tupo watalia tena kwa mara nyingine. Tena kilio cha safari hii hakina wa kuwafuta machozi. Maana baada ya kipigo atakachopata Lowasa, kundi hilo watapoteana kabisa.

Siku zi nyingi ukweli huu utadhihiri
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom