Habari kubwa leo ni ajali ya ndege ya Precision iliyotumbukiwa Ziwa Viktoria huko Bukoba.
Nilichoguswa ni wale wananchi ambao hawakujali uwezo wao mdogo wala upeo wao, lakini kwa moyo walijitosa...
Nasema kodi tena kwa sababu tulikuwa na kodi ya kichwa, ikaitwa kodi ya maendeleo baadaye Utawala wa Mkapa ukaifuta. Mifugo pia ililipiwa kodi na kwa wale wakongwe, kulikuwa na kodi ya baiskeli...
Ninaandika barua hii nikibubujikwa na Machozi Mimi kama Mzazi lakini nasitika kuona vyombo vya Dola ikiwemo ofisi ya mkurugenzi, wilaya Moshi vijijini, Mkuu wa Wilaya kutotimiza wajibu wao...
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, anacheza blame game. Kwa kagera hii itamtoa nje ya mchezo.
Ni kweli Mkoa una changamoto, namshauri akae na wadau wa Mkoa. Waone mikakati na mbinu za kuukomboa Mkoa. Muda...
Natoa Pole kwa Familia zilizopoteza ndugu zao, Majeruhi wanaopatiwa matibabu Hospitali ya rufaa Bukoba na Watanzania kwa Ujumla, kwa ajali ya Ndege iliyotokea Jana tarehe 6 Novemba, 2022
Matukio...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa tangazo la kufuta vijiji vyote vinavyopatikana ndani ya mipaka ya pori tengefu Loliondo ili kupisha hatua ya kupima upya maeneo hayo...
Kuvaa viatu vya mpambanaji na mtu wa vita, yapaswa na wewe uwe mtu wa vita ikiwezekana Mara mbili yake, kama alikuwa haruhusu sharubu zake ziguswe, kwa wewe iwe marufuku hata kusogelewa tu na...
Bunge ni moto
Dr Kigwangala amesema Waziri wa Elimu Prof Mkenda amelidanganya Bunge kwamba Bodi ya Mikopo imekuwa inamdharau
Spika Tulia amzuia Dr Kigwangalla kwa sababu kabla ya kuongea Bungeni...
Nafasi ya serikali katika kulinda usalama wa wananchi wake ni mdogo sana. Inawezekana, serikali inaongoza kwa namna ambavyo wananchi wake wanataka.
Laiti kama wananchi wanahitaji mabadiliko na...
Ni ushauri tu kwa Waziri wa Habari na Tehama
Kila baada ya Dakika 30 BBC wanaonesha ndege ya precision air iliyozama Bukoba na kuitolea Maelezo mbalimbali
Waziri Nape ingilia Kati tafadhali ili...
Ukitembelea Twita kila mfuasi, mwanachama na Mwanachama wa CHADEMA anaponda wavuvi kutoa msaada ya kuokoa.
Hivi kuna ubaya gani raia kusaidia kufanya maokozi?
Mbona hata huko USA na Ulaya...
Taarifa za Uhakika kutoka kwenye Jopo la Wanasheria wa Chadema, zinaonyesha kwamba mmoja wa mashahidi Muhimu watakaohitajika kutoa ushahidi Kwenye kesi inayokikabili chama hicho dhidi ya Wabunge...
Serikali haistahili kupokea salamu za rambirambi kwa namna yeyote ile. Licha ya kukumbwa na majanga kama haya lakini serikali imejaa anasa tupu badala ya kufanya maandalizi ya vyombo vya uokozi...
Dunia Iko sehemu mbaya ya uhaba wa nishati, chakula, kupanda kwa maisha na kukaribia vita vya nukilia kutokana na vita na vikwazo dhidi ya Russia.
Wakati Trump alikuwa anaamini kwenye dialogue...
Nimejaribu kufatilia vyombo vya habari karibu vyote duniani vimeonyesha tukio hili la ajali na zoezi zima la ukoaji namna lilivyoendeshwa kijima.
Binafsi naona dunia na watalii kwa ujumla wameona...
Fitina zilizoiua Fast Jet sasa zimehamia kwa Precision Air. Precision Air wamepata vikwazo vingi pale uwanja wa Mwl. Julius Nyerere na kuamua kuhamishia Base ya KIA.
Mwalimu Nyerere alirithi karibia vitu vyote kutoka kwa mkoloni kwa njia ya kutaifisha ndio sababu viwanda na mashirika havikudumu na havipo tena.
Magufuli amejenga miundombinu itakayomtambulisha...
Karibu kila Rais kuanzia Mzee Mwinyi aliljikuta akilazimika kuzoea kufanya kazi huku akiisikia sauti ya mtangulizi wake ikiongelea namna anavyoendesha nchi. Huu umekuwa ni mtihani mzito wa...
Hakuna facts wala data zenye usahihi Kwa ninakiona.
From true data is when we can establish facts.
Yaaani Everyone is speaking of wrong figure or data. How can we establish facts?
Abiria mara...
Vyuma vya ATCL vinapasua anga la kimataifa hadi Uchina na America bila figisu wala " kambi popote"
Bunge limeomba sasa ATCL ikabidhiwe ndege hizi kutoka Wakala wa Ndege za Serikali kwa sababu...