Pareso: Simjui aliyependekeza niwe Mbunge

Sir robby

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
2,393
Reaction score
4,085
Hatimae Mmoja wa Wabunge Wasio na Chama Mdada Pareso amekiri kuwa Hamjui Aliyemteua kuwa Mbunge
Tafsiri yake ni kwamba

1. Hakuomba kuteuliwa na Chama chake
2. Hakuchukua Fomu na Kuijaza
3. Hakwenda Mahakamani kusaini mbele ya HAKIMU ila Akajikuta Yupo mbele ya SPIKA NDUGAI Kuapishwa.

Hiyo ndiyo KATIBA ya TANGANYIKA

Unakuwa Mbunge humjui Aliyekuteua.

20221109_095026.jpg
 
View attachment 2411169
5B4B1763-D44F-4156-A0B8-091BA84E761D.jpeg
 
Hatimae Mmoja wa Wabunge Wasio na Chama Mdada Pareso amekiri kuwa Hamjui Aliyemteua kuwa Mbunge
Tafsiri yake ni kwamba

1. Hakuomba kuteuliwa na Chama chake
2. Hakuchukua Fomu na Kuijaza
3. Hakwenda Mahakamani kusaini mbele ya HAKIMU ila Akajikuta Yupo mbele ya SPIKA NDUGAI Kuapishwa.

Hiyo ndiyo KATIBA ya TANGANYIKA

Unakuwa Mbunge humjui Aliyekuteua.

View attachment 2411169
Siku ya mwisho kila goti litapigwa
 
Yule dhalim wa kihutu aliivuruga sana nchi yetu, ashukuriwe Mungu kwa kumfyekelea mbali
 
Sijui na sitaki kujua ila yule Marehemu alikuwa moja ya binadamu wa ovyo kwenye nchi hii
Wale ni Wabunge halali hata viongozi wa Ufipa st wanaelewa

Ubunge ulianza ndio wakavuliwa uanachama

Chadema haijawahi kuwalalamikia mahakamani
 
Hatimae Mmoja wa Wabunge Wasio na Chama Mdada Pareso amekiri kuwa Hamjui Aliyemteua kuwa Mbunge
Tafsiri yake ni kwamba

1. Hakuomba kuteuliwa na Chama chake
2. Hakuchukua Fomu na Kuijaza
3. Hakwenda Mahakamani kusaini mbele ya HAKIMU ila Akajikuta Yupo mbele ya SPIKA NDUGAI Kuapishwa.

Hiyo ndiyo KATIBA ya TANGANYIKA

Unakuwa Mbunge humjui Aliyekuteua.

View attachment 2411169
Kwa maana nyingine hata fomu ya kutia nia kuomba hiyo nafasi hakujaza.
Tanzania nchi ya maajabu.
 
Sijui na sitaki kujua ila yule Marehemu alikuwa moja ya binadamu wa ovyo kwenye nchi hii
Mazuri yake mengi kuliko mabaya. Nina uhakika alikuwa na nia njema kuzuia mikutano na mambo mengine ya siasa. Japo ni ukiukwaji wa katibu. Lakini kilionekana alichofanya azuie. Maendeleo yalikuwa kwa kasi. Ona dar alivyoipendezesha kwa barabara na njia za juu. Hawa wa sasa wapo tu hakuna miundombinu ya kimaendeleo inayoendelea. Umeme ulikuwa haukatiki. Ona umeme kwa sasa tunaupata masaa ma3 Tu kwa siku tena usiku wa manane. Ona maji. Si bora yeye aliminya siasa lakini maendeleo yalikuwa yanakimbia. Hawa siasa wameminya. Tozo kibao. Kodi wanakusanya lakini hakuna wanachofanya. Wanajipigia tu
 
Hatimae Mmoja wa Wabunge Wasio na Chama Mdada Pareso amekiri kuwa Hamjui Aliyemteua kuwa Mbunge
Tafsiri yake ni kwamba

1. Hakuomba kuteuliwa na Chama chake
2. Hakuchukua Fomu na Kuijaza
3. Hakwenda Mahakamani kusaini mbele ya HAKIMU ila Akajikuta Yupo mbele ya SPIKA NDUGAI Kuapishwa.

Hiyo ndiyo KATIBA ya TANGANYIKA

Unakuwa Mbunge humjui Aliyekuteua.

View attachment 2411169
Hawa wanaojiita "guinness world records" wako na upendeleo sana, mbona kunamatukio hapa TZ yana stahili 100% kuingia huko.....
 
Hatimae Mmoja wa Wabunge Wasio na Chama Mdada Pareso amekiri kuwa Hamjui Aliyemteua kuwa Mbunge
Tafsiri yake ni kwamba

1. Hakuomba kuteuliwa na Chama chake
2. Hakuchukua Fomu na Kuijaza
3. Hakwenda Mahakamani kusaini mbele ya HAKIMU ila Akajikuta Yupo mbele ya SPIKA NDUGAI Kuapishwa.

Hiyo ndiyo KATIBA ya TANGANYIKA

Unakuwa Mbunge humjui Aliyekuteua.

View attachment 2411169

Ukishangaa ya ndege kuvutwa na kamba, bado utashangaa mbunge hajui nani kamteua kuwa mbunge.
 
Mazuri yake mengi kuliko mabaya. Nina uhakika alikuwa na nia njema kuzuia mikutano na mambo mengine ya siasa. Japo ni ukiukwaji wa katibu. Lakini kilionekana alichofanya azuie. Maendeleo yalikuwa kwa kasi. Ona dar alivyoipendezesha kwa barabara na njia za juu. Hawa wa sasa wapo tu hakuna miundombinu ya kimaendeleo inayoendelea. Umeme ulikuwa haukatiki. Ona umeme kwa sasa tunaupata masaa ma3 Tu kwa siku tena usiku wa manane. Ona maji. Si bora yeye aliminya siasa lakini maendeleo yalikuwa yanakimbia. Hawa siasa wameminya. Tozo kibao. Kodi wanakusanya lakini hakuna wanachofanya. Wanajipigia tu

Yule jamaa kosa lake aliwachukia Sana CHADEMA. Tatizo lilianzia Hapo ila mengine alijitahidi kwa uwezo wake. Baya moja hufuta mazuri yote.
 
Wale ni Wabunge halali hata viongozi wa Ufipa st wanaelewa

Ubunge ulianza ndio wakavuliwa uanachama

Chadema haijawahi kuwalalamikia mahakamani

Wale ni wabunge kwasababu spika asiyejitambua amewakumbatia.
 
Back
Top Bottom