Shughuli za kimuungano zinapofanyika Zanzibar zisimamiwe na Viongozi wa Muungano siyo Zanzibar

Shughuli za Kimuungano zinapofanyika Zanzibar haimaanishi shughuli hizo zisimamiwe na viongozi toka Zanzibar.

Mambo ya Muungano yanasimamiwa na serikali ya Muungano na siyo Serikali ya Zanzibar.

Mambo yote ya Muungano yana mawaziri wake wa kuyasimamia.
Ndugu mleta mada labda kwanza punguza jazba halafu jibu mwenyewe kwani hao ambao huwa wanashuhulikia hayo masuali ya muungano huko zanzibar wao sio watanzania? Au watanzania ni wadanganyika peke yao? Kwani katika serikali ya tanzania hakutakiwi kuwepo wazanzibari? Au ndio tena mnataka sababu nyengine ya kujipeleka zanzibar kwa excuse ya shuhuli za serikali ya tanzania ili mijilimbikizie posho zaidi? Ningelikushauri basi upeleke ombi lako iundwe kikosi kazi kuangalia suali hili, maana kila kukicha hii imekuwa ndio fashion yenu ya kula pesa za serikali kirahisi!!!!!!
 
Shughuli za Kimuungano zinapofanyika Zanzibar haimaanishi shughuli hizo zisimamiwe na viongozi toka Zanzibar.

Mambo ya Muungano yanasimamiwa na serikali ya Muungano na siyo Serikali ya Zanzibar.

Mambo yote ya Muungano yana mawaziri wake wa kuyasimamia.
Zanzibar Kuna watu 1,800,000 na bara kuna watu 60,000,000 .
Huu muungano uko sawa kweli?
 
Sasa wanaoitwa mawaziri kule Zanzibar ni gelesha!?
Ndugu sikulaumu wewe na wala watanganyika wengine wote wanaloshindwa kulifahamu hili. Suali hili laiti mgelikalia kiti mgelikubaliana nasi kuwa muungano huu kuna haja ya kuangaliwa upya au uvunjwe kabisa. Mawaziri wa visiwani ni mawaziri wa serikali ya Zanzibar. Majukumu yao ni ya zanzibar na sio ya Tanzania na wanachaguliwa na raisi wa zanzibar na sio raisi wa tanzania. Ili mtu awe waziri wa tanzania ni lazima achaguliwe na raisi wa tanzania na kwa ajili ya masuali ya tanzania. Hata hivyo kuna mawaziri ambao huchaguliwa na raisi wa tanzania lakini madaraka yao huwa mwisho chumbe hayaihusu zanzibar.
 
Shughuli za Kimuungano zinapofanyika Zanzibar haimaanishi shughuli hizo zisimamiwe na viongozi toka Zanzibar.

Mambo ya Muungano yanasimamiwa na serikali ya Muungano na siyo Serikali ya Zanzibar.

Mambo yote ya Muungano yana mawaziri wake wa kuyasimamia.
Mkuu Allen Kilewella , naunga mkono hoja, issue sio zisimamiwe na nani, kwasababu hata Wazanzibari ni Watanzania, kinachotakiwa ni shughuli yoyote ya muungano ikifanyika Zanzibar, itumike protokali ya JMT na sio ya ZNZ!.
Halafu shughuli za Zanzibar ambazo sio za muungano ndio watumie protokali yao.
P
 
Why Tunazunguka zunguka na manung'uniko..kila siku?

Si tuseme Tu huu Muungano uvunjwe?

Manake wazanzibari Wengi hawataki hata huu Muungano..tunawalazimisha tu
 
Shughuli za Kimuungano zinapofanyika Zanzibar haimaanishi shughuli hizo zisimamiwe na viongozi toka Zanzibar.

Mambo ya Muungano yanasimamiwa na serikali ya Muungano na siyo Serikali ya Zanzibar.

Mambo yote ya Muungano yana mawaziri wake wa kuyasimamia.
Kuna nini?
 
Mkuu Allen Kilewella , naunga mkono hoja, issue sio zisimamiwe na nani, kwasababu hata Wazanzibari ni Watanzania, kinachotakiwa ni shughuli yoyote ya muungano ikifanyika Zanzibar, itumike protokali ya JMT na sio ya ZNZ!.
Halafu shughuli za Zanzibar ambazo sio za muungano ndio watumie protokali yao.
P
ndugu Pascal nataka kukuuliza suali wewe maana nimeona mara nyingi kuwa unasema unafanya kazi za uwana habari. Hivi umeshawahi kufika zanzibar? Kama ni ndiyo umeona mabango mangapi katika majumba na maofisi ya serikali yenye maneno serikali ya jamhuri wa muungano wa tanzania badala ya serikali ya mapinduzi zanzibar? Kama mwanahari nadhani utakuwa ushanifahamu ninachojaribu kusema hapa.
 
Back
Top Bottom