Sir robby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,400
- 4,073
Ni hayo tu Watanzania wenzangu. Nimekata tamaa kabisa na hii katiba kwani haiwezekani nchi huru yenye Miaka 60 Ya Uhuru AMANI na UTULIVU.
Haina VITA kama CONGO ina RASLIMALI za Kutosha karibu kila Mkoa lakini Bado Wananchi wake ni maskini wa kutupwa.
Tanzania ilikuwa nchi ya Uchumi wa kati leo imekuwa nchi maskini duniani. Miaka 60 bado Tunahangaika na Madawati, Madawa, Matundu ya Vyoo, Ajira, Uokoaji, Demokrasia, Tozo, Bei za Bidhaa, Madeni ya Nje, Maji, Mgao wa umeme.
Nina Amini Katiba hii ukiipeleka MAREKANI au CHINA ikatumike pamoja na maendeleo ya nchi hizo yataporomoka na kuwa Kama Tanzania.
Watanzania tunatakiwa tupiganie upatikanaji wa katiba mpya