Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Leo hii mgao wa umeme umekuwa kero kwa taifa letu kiasi cha kuporomosha uchumi wa wananchi lakini mnachukulia poa. Hiyo kampuni ya Mahindra group iliposaini mkataba wa bil 78 kuiboresha TANESCO...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Shaka anazungumza kwa uwazi kwamba Mwenyekiti wa CCM Taifa ameifungua nchi. Anazunguka duniani kuipaisha Tanzania. Ziara za Rais zimetuzawadia deni la Taifa kufikia Trillion 71+ mpaka sasa...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
James Mbatia amesema Precision Air ndio inaongoza kwa kubeba watalii wanaokuja nchini hivyo kitendo cha CNN, BBC, Al jazeera nk kutangaza negatively tukio la Ndege yetu kuvutwa kwa Kamba kutawatia...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wananchi wenzangu! Serikali ijiuzulu kwa kushindwa kutumia rasilimali mito, maziwa na bahari kukimesha tatizo la upatikanaji wa maji kwa wananchi. Dar es salaam sehemu zenye miundombinu...
3 Reactions
7 Replies
668 Views
Wakuu amani iwe nanyi. Baada ya kushuhudia mateso makuu ya kimwili na kiroho katika awamu ya Tano, naam amani imerejea rasmi maana naiona milango ya mafanikio ikifunguka mmoja baada ya mwingine...
3 Reactions
15 Replies
884 Views
Salaam, Kwa Pamoja Wakina Majaliwa wote tumewasikia na maelezo yao mmoja akiongelea kuhusu hali ilivyokuwa chini ya maji na Majaliwa Mwingine akielezea hali ya hewa ilivyokuwa mbaya. Tangu...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu tangu muungano wa Tanganyika na Zanzibar hawa ndugu zetu kutoka Zanzibar wamekuwa hawaridhishwi na huu muungano, inasemakena hadi Rais wa kwanza wa Zanzibar alishawahi sema muungano...
19 Reactions
232 Replies
14K Views
Hayo yamesemwa leo Bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Moses Nnauye (MB) wakati akichangia Mjadala wa Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa...
0 Reactions
7 Replies
920 Views
Kila mbunge wa CCM anayesimama bungeni analalamikia hali ngumu ya maisha Jimboni Kwake Hivi hawa Wabunge wanaishi majimboni kweli au wanaigiza? Kwanini wasiachie Sitting allowance zikasaidie...
1 Reactions
12 Replies
734 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa la Nishati Safi ya Kupikia, Leo Novemba 1, 2022 Prof. Anna Tibaijuka Mbunge mstaafu...
9 Reactions
55 Replies
6K Views
Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) karibuni linatarajia kuzindua safari mpya za kwenda Afrika Kusini, ambapo ndege ya kwanza kuruka kwenda jijini Johannesburg itaruka Julai mwaka huu. Mkurugenzi...
6 Reactions
41 Replies
5K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameshiriki akiwa Msemaji Mkuu katika uzinduzi wa ripoti ya ufuatiliaji wa mkataba wa Nairobi, Kuhusu mkutano wa...
0 Reactions
0 Replies
424 Views
Mkuu wa Wilaya ya Mlele mkoani Katavi, Filbarto Sanga, amesema kuwa mkulima yeyote atakayebainika kukabiliwa na njaa atapelekwa mahakamani kutokana na kushindwa kufuata maagizo ya kuhifadhi...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mary Schiavo ameshika nafasi mbalimbali Marekani ikiwemo mkurugenzi mkuu wa idara ya usafirishaji Marekani na kwasasa ni mchambuzi wa usafiri wa anga kwenye kituo cha CNN. Kuhusu ndege iliyopata...
23 Reactions
65 Replies
7K Views
Mufti mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zuber ametangaza Ijumaa ya tarehe 11/11/2022 Kuwa Siku ya Waislamu Wote kuombea Mvua ianze kuonyesha Source Star tv
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Kama ni msomaji wa jukwa la siasa unaweza shangazwa na wachangiaji wanaojiita wasomi wakipinga PhD’s za watu wasio wakubali. Issue za ovyo kwangu kwenye huu upingaji ni kuhusu hizi PhD za social...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Inaonekana ni yeye pekee haoni kuwa kuna hitilafu kubwa ya billing system ya simu za mkononi inayopelekea watumiaji kuibiwa wazi wazi. Kitendo cha spika kutoa ufafanuzi kuhusu wizi huo ndani ya...
2 Reactions
15 Replies
830 Views
Ikiwa leo ni siku nyingine ambayo kesi hiyo inaendelea Mahakamani , Msaliti atakayekuwa kikaangoni ni Jesica Kishoa , kutoka Iramba . Kama ilivyo desturi atahojiwa na Wakili Msomi Peter Kibatala...
8 Reactions
70 Replies
7K Views
kama kuna hazina kubwa katika nchi hii tuliyopewa na Mungu kutoka Kusini huko Ruangwa ni Kassim Majaliwa. Huyu ni mwanasiasa haswaa, mvumilivu na anaijua kazi yake. Wanasiasa wanajaribu...
12 Reactions
31 Replies
2K Views
Pamoja na Nia njema ya kuleta unafuu wa bei za mafuta/ petroli lakini njia ya kwenda Kukopa haifai. Tulikubaliana kama Taifa tutakopa kwa ajili ya miradi ila sio kwa ajili ya kula na mambo kama...
14 Reactions
85 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…