Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesisitiza umuhimu wa kurasimisha taratibu za ushirikiano katika shughuli za uchimbaji wa madini kwa kutumia mikataba rasmi, akisema hatua hiyo itasaidia kuweka...
0 Reactions
2 Replies
47 Views
Serikali imetenga Shilingi bilioni 34 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa Makumbusho ya Marais nchini, unaotarajiwa kujengwa katika eneo la Mtumba, Dodoma. Mradi huo utatekelezwa kwenye eneo...
5 Reactions
92 Replies
6K Views
  • Redirect
13 Reactions
– Replies
– Views
Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamis Taletale ametimiza ahadi yake kwa Wananchi wa kata ya Ngerengare baada ya kufanikisha kupatiwa huduma ya maji baridi ambapo jumla ya matanki matatu...
1 Reactions
6 Replies
731 Views
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Simiyu Ester Midimu ametoa Baiskeli zaidi ya 400 na majiko ya Gesi zaidi ya 400 kwa viongozi wa Kata kupitia Umoja wa Wanawake (UWT) wa mkoa huo ili kuwawezesha...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
OFISI YA MBUNGE JIMBO LA MOROGORO MJINI. NEEMA KATA YA MAGADU. MHE. ABOOD AHAIDI TSH. MIL. 15,000,000/- ZAHANATI KATA MAGADU Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mhe. Abdulaziz. M.Abood leo tarehe...
0 Reactions
4 Replies
594 Views
Rais Magufuli muda huu anasema ameshazungumza na Mfalme wa Morocco akimuomba ajenge Msikiti Mkubwa kabisa Dar es salaam na amekubali ataujenga. Aidha Rais amesema kuwa Mfalme wa Morocco amekubali...
6 Reactions
733 Replies
81K Views
Ndugu zangu Watanzania, Hii haiwezekani na wala haikubaliki na wala haistahili kukubalika wala kuvumilika wala kufumbiwa macho wala kuacha ipite hivi hivi. Alichokifanya huyu Dada wa CHADEMA...
8 Reactions
157 Replies
2K Views
Kwa mtu yoyote makini, atagundua clip inayodaiwa ni ya Lameck akiwa faragha, ni clip ya kutengeneza na sababu ni hii: Mtu anaonekana kukoroma, ila ukiangalia vizuri, utagundua kifua hakipandi na...
22 Reactions
110 Replies
2K Views
Kama unajua tupeni maelezo
8 Reactions
31 Replies
527 Views
Ndugu zangu Watanzania, Sitaki kuongea chochote kile ila nakuachia Mwenyewe uangalie kwa Macho yako na ufanye tathmini. Ila Mimi Naona kuwa ukiachana na Umri Mkubwa alionao Dkt Slaa lakini...
8 Reactions
101 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Hili Ni Andiko nilikuwa nataka Kulitoa Wakati Ule Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Akiwa Makamu wa Rais . Nilitaka Kulitoa baada ya kuona kuna Mambo hayaendi sawa na kuna vitu...
3 Reactions
28 Replies
547 Views
================= (Full text from @EsirEid X-Twitter copy & paste) KWA NINI NAUNGA MKONO MARIDHIANO KATI YA SERIKALI NA CHADEMA? Wengine wanauliza: “Kwa nini unaunga mkono maridhiano? Mbona...
13 Reactions
30 Replies
547 Views
21 September 2026 Makao Makuu UN New York UNGA 81: Masuala muhimu ambayo ujumbe wa kiongozi wa Tanzania na viongozi wa dunia watashughulikia katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa 2026...
1 Reactions
13 Replies
339 Views
Waheshimiwa Majaji kama nilivyosema mwanzoni kifungu cha 39 kama kilivyotengeneza sura zake 10 nilizotaja. Hakijaweka sharti la matokeo ya hiyo nia. Kwahiyo huwezi kuipata kwenye section 39. Hayo...
12 Reactions
48 Replies
594 Views
CCM na madudu yake
16 Reactions
33 Replies
1K Views
Kesi ya 'uhaini' inayomkabili mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antipas Lissu imefikia pazuri. Kilichobaki sasa ni hukumu. Je, itakuwaje kama Lissu atapatikana na...
2 Reactions
31 Replies
477 Views
Bush lawyers tuna test mitambo Under Section 39 of the Tanzania Penal Code, treason includes actions carried out with the intent to intimidate, overawe, force, or constrain the Government of the...
5 Reactions
8 Replies
340 Views
Mie namfahamu akiwa kiongozi mkuu wa BAVICHA zaidi ya hapo simkumfuatilia kwa ukaribu Tena --- 3. Paschal Katambi Patrobas - Mbunge wa Shinyanga Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Elimu...
5 Reactions
49 Replies
3K Views
Wakati madereva kutoka Stendi ya Magufuli wakitoa kero zao mbele ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, wameeleza malalamiko yao kuhusu askari kuwakamata mara kwa mara bila kufuata...
10 Reactions
31 Replies
825 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…