Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna wakati hawa wanaojiita viongozi wa Upinzani ni kama wanatumiwa na wapiga dili kwa namna moja au nyingine Kwa mfano, huu ni wakati muafaka wa Tundu Lisu kuanzisha mjadala wa uraia wa Watoto...
1 Reactions
12 Replies
929 Views
Walituaminisha wamekimbia nchi na kwenda kulelewa na wanaume wa kizungu kama wakimbizi kwa sababu hapa nchini walikuwa wanatishiwa maisha na mwendazake. Sasa hivi mwendazake hayupo je ni lini...
10 Reactions
95 Replies
7K Views
Waziri mkuu wa Tanzania Mh Kassim Majaliwa leo amewasili Chato kwenda kumsalimia mama wa hayati rais Magufuli ambaye ni mgonjwa kwa muda mrefu, pia Mh Majaliwa ataenda kuangalia kaburi la Hayati...
35 Reactions
243 Replies
24K Views
Amani iwe nanyi. Ikiwa leo tarehe 16/7/2020 Waziri wa zamani wa mambo ya nje Mh Bernard Membe anatangazwa rasmi kujiunga na chama cha ACT Wazalendo ambapo bila shaka atapewa ridhaa ya kuwania...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Spika wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania mh Job Ndugai wakati akihojiwa na kituo cha luninga kuhusu wabunge wa Chadema kukataa kuingia bungeni kwa madai ya kukwepa Corona amemshukia kama...
2 Reactions
36 Replies
5K Views
Tanzania ambayo ni nchi inayoongoza kwa kupambana na rushwa barani Afrika ,kupitia wizara ya mambo ya nje imelaani vikali mauaji yanayoendelea nchini Marekani ikiwemo ukiukaji mkubwa wa haki za...
5 Reactions
36 Replies
6K Views
Habari Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Kangi Lugola alishawahi kusema moja ya sababu ya kesi ya kupigwa risasi Lisu kukwama ni pamoja na shahidi namba moja wa tukio hilo ambaye ni dereva wa Lisu...
3 Reactions
80 Replies
8K Views
Nikiwa shuleni kwa muda mref sana sikuweza kupata rafiki wa kike katika shule yetu ya mchanganyiko. Rafiki zangu wote walikuwa na girl friends. Siku moja rafiki yangu mmoja akaniambia, ukitaka...
0 Reactions
0 Replies
535 Views
Hivi karibuni imezuka tabia ya kukwepa majukumu ambayo inapaswa kupingwa kwa hali na mali ndani ya nchi yetu. Vyama vya upinzani kila wanapopata matatizo kisingizio chao ni rais Magufuli,! Cuf...
10 Reactions
59 Replies
6K Views
Hili suala siyo kabisa, kwanza ni aibu kwa halmashauri na uongozi wa CCM na serikali kwa ujumla. Huwezi lazimisha mtu kuwa CCM, kila mtu ana itikadi yake ya kisiasa. Acheni ubaguzi, siyo kila...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Alisema TARURA, TANROAD na RUWASA ni vyema zikaanza utaratibu wa kufanya tathmini baada ya kumaliza taratibu za kutoa zabuni kwa makandarasi ili kupima mchakato ulivyokwenda na kuona kama kulikuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sasa tuamini la mbunge wa Jimbo gani Mtera au Geita Vijijini Ninachofahamu Wasukuma ni Watu Wasafi wanaopenda kuoga na kufua mara kwa mara tofauti na Wagogo Niishie hapo!
1 Reactions
1 Replies
321 Views
Mkoa wa Mbeya umatajwa kuwa na changamoto ya kufuta ujinga, ambapo wanafunzi 1,566 kati ya 56,763 wa darasa la nne wameripotiwa kutojua kusoma, kuandika na kuhesabu (KKK) katika shule za msingi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
aliteuliwa tar 26 februali na kutumbuliwa tar 31 march! kwani mama alimuondoa haraka sana je alikuwa kirusi? kwa nini hakumpa muda hata wa mwaka mmoja kuna mahali huenda hawakuwa sawa hata kabla...
0 Reactions
4 Replies
543 Views
Kidumu Chama changu cha Mapinduzi, zidumu fikra zilizosahihi za Mweyekiti zisizo sahihi tuzifute, wananchi nawasalimu sana. Tushirikishane hapa, kuna jambo linakwepwa sana na halisemwi, nalo ni...
3 Reactions
10 Replies
821 Views
Tanzania ni nchi ya pili barani Afrika kwa kuwa na Uhuru mkubwa wa kutoa maoni baada ya Africa kusini iko chini kidogo ya Uingereza|| Je! CHADEMA mnalijua hili?! " Hakuna kama Samia "...
17 Reactions
179 Replies
12K Views
Tundu Lissu amepewa passport mpya na Serikali ya Tanzania baada ya ile ya awali kupotea kwa kuibwa kule Ujerumani. Lissu amekabidhiwa passport yake leo na balozi wetu. Lissu amesema Rais Samia...
32 Reactions
138 Replies
12K Views
Tusiwe wanafiki, Elimu zetu mmiliki wake huwenda ni shetani! Na Kwa bahati mbaya shetani hana mazoea na watu eti waishi vizuri na Kwa raha! Serikali zetu endapo watu wake wangelikuwa na nia ya...
0 Reactions
1 Replies
565 Views
Makamu wa Rais wa Malawi Bw. Chilima amekamatwa na kushtakiwa kwa kupokea rushwa ya takribani USD 200,000/- kutoka kampuni ya ujenzi ili kupata tenda katika miradi ya serikali. Kwa Tanzania hii...
3 Reactions
7 Replies
705 Views
Ndugu zangu Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kuwa Mama Samia Ni Rais wa Ndoto ya watanzania ya muda mrefu, watanzania siku zote walihitaji kiongozi atakaye kuwa msikivu kwa matatizo na kero zao...
0 Reactions
30 Replies
1K Views
Back
Top Bottom