Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna taarifa kuwa Anna Maulidah Valerian Komu, ambaye alikuwa ni mmoja kati ya walalamikaji katika shauri la mgawanyo wa rasilimali za CHADEMA, amefariki dunia. Mazishi yatakuwa kesho. Mama huyu...
13 Reactions
95 Replies
2K Views
Arusha, asanteni sana. Baada ya muda mrefu bila kukutana, leo mmekuwa mashuhuda wa upendo wa demokrasia na haki katika nchi yetu. Pamoja na hofu iliyojengwa juu ya maumivu makali, mateso na...
15 Reactions
21 Replies
518 Views
Naona Didier Drogba ameshajipatia ajira mpya kutoka Tanzania vile atakavyokula kodi za wananchi kwa ulaini kabisa! Ila ajiandae kwa masimango kutoka kwa Watanzania wenye hasira kali na kodi zao...
1 Reactions
6 Replies
332 Views
Rais Samia akiongea katika Kongamano la Biashara baina ya Tanzania na Kenya, tarehe 04 Mei, 2026, JNICC Dar es Salaam, amesema Gen Z wanaojifanya wa East Africa tusiwavumilie kuharibu demokrasia yetu
9 Reactions
163 Replies
4K Views
Kenya sio Tanzania demokrasia yao ni kubwa kuliko yetu na freedom of expression iko juu sana, nafikiri Ruto alikuwa anamkubalia tu kwa vile ni mgeni wake. Wakenya hasa Gen Z wa Kenya ni next...
22 Reactions
48 Replies
1K Views
My Take Nakubaliana kabisa na huu utafiti na ndio sababu Wanaume Wengi wa Tanzania wameishia kuwa walevi,kulelewa na hao wanawake na kupoteza uelekeo na Heshima ya uanaume. Hongera sana wanawake...
3 Reactions
17 Replies
239 Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesema wakati maandamano yakiendelea Oktoba 29, Boni Yai pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Amani...
6 Reactions
8 Replies
468 Views
  • Featured
Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi akizungumza na waandishi wa habari - makao Makuu Dodoma amesema kuna watu wanatumia video za matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Waswahili wana msemo wao kwamba usione vyaelea ujue vimeundwa Ukweli ni kwamba nakereka sana kuona uongozi wa nchi yetu uko bize kupiga picha na Drogba raia wa ivory. Ni lini na sisi...
4 Reactions
6 Replies
199 Views
Huu ni wendawazimu....umawezaje kuendelea kuwa mkuu wa Muhimili usioweza kujisimamia mbele ya mhimili mwingine? Kesi ya Lissu ni mfano halisi wa kushindwa kwako kama Jaji Mkuu wa Tanzania...
40 Reactions
84 Replies
2K Views
Serikali ya Marekani imemzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingi nchini humo kutokana na kuhusika kwake kwenye uvunjifu wa Haki za Binadamu unaohusisha kunyima haki ya kuishi...
136 Reactions
2K Replies
220K Views
Samia Suluhu ni dikteta mbaya sana mwenye damu za watu mikononi mwake, tunafurahi kwamba Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) inaendelea kumbana taratibu
28 Reactions
58 Replies
1K Views
Hili linalojadiliwa na vyombo vya habari vya nje mfano hii FM Radio 47 linatufedhehesha sana. Tuna kundi kubwa sana la wabunge "machawa" na hawaelewi lugha zinazoruhusiwa bungeni mfano English...
7 Reactions
22 Replies
571 Views
Katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Tabata Magengeni, ilifanyika ibada ya kuuaga mwili wa marehemu James Rogers Temba, ambao ulipatikana ukielea katika Mto Msimbazi...
2 Reactions
8 Replies
392 Views
“Tunajiita tuna uhuru wa habari, lakini tuna tatizo linaloitwa ‘media oga’, yaani media zetu ni waoga. Ni waoga kutangaza jambo wanapohisi kwamba serikali haitafurahia. Kwa maana hiyo, karibu...
5 Reactions
3 Replies
278 Views
Kipindi Makonda akiwa Rc Arusha alitoa ushauri kwa polisi wa usalama barabarani kupunguza usumbufu kwa wenye vyombo vya moto Kitendo kilicho saidia hata kupunguza foleni barabarani. Nita jaribu...
6 Reactions
21 Replies
504 Views
Wakati akiendelea kutoa tathmini yake kuhusu yaliyotokea Oktoba 29, Mwandishi wa Habari mkongwe Pascal Mayalla amesema kuwa katika tangazo la katazo la kutoka nje, lilipaswa kuwaeleza Watanzania...
6 Reactions
8 Replies
356 Views
Vita ya marekani na Irani imepelekea bei za mafuta kupanda duniani, Kupanda kwa mafuta kumesabisha kupanda kwa nauli kwenye kila aina ya usafirishaji kitu ambacho kimesababisha ukali wa maisha...
4 Reactions
18 Replies
356 Views
Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini, Aeshi Hilaly, akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Ofisi ya Bunge kwa mwaka wa fedha 2026/27, amelitaka Bunge kukataa...
13 Reactions
58 Replies
2K Views
Back
Top Bottom