Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakati wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wakiendelea na pilikapilika zao za kila siku, hali ya ulinzi na usalama imeimarishwa katika maeneo mbalimbali, huku askari wa Jeshi la Polisi wakionekana...
2 Reactions
24 Replies
879 Views
Mmeruhusu Malori yanayomilikiwa kwa Ubia na viongozi wenu kupita kila njia bila utaratibu Habari ya kusingizia Mabasi ya abiria ya Shekilango ni UONGO wa wazi kabisa Hakuna gari inayopaki...
7 Reactions
25 Replies
389 Views
Zipo fununu kwamba kuna mpango wa kujenga barabara ya kibaguzi ya mabasi ya mwendokasi kutoka mjini kuelekea Mbagala , yanayotokea kwenye ruti ya Mbezi -Kimara - Kariakoo, ya wajawazito...
20 Reactions
132 Replies
16K Views
Serikali ya CCM inayojiita serikali sikivu ilivunja nyumba zetu, maduka yetu, hoteli zetu, bar zetu, makanisa yetu na misikiti yetu bila ya kutulipa fidia yoyote. Leo kwenye ardhi zetu...
9 Reactions
27 Replies
377 Views
Najua mpo mtakao sema aliyepo Ikulu vs aliyepo ukonga, Mimi Sina maana hiyo jamanI wenye smartphone nawaombeni mtafute maelezo ya wakili Madereka na KAULI za Katambi aise Ina umiza sana sana sana...
1 Reactions
1 Replies
91 Views
  • Featured
Leo bungeni Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katamb ameagiza Jeshi la Polisi kusitisha vibali vya mikutano ya siasa kwa kipindi kisichojulikana. Moto umekuwa mkali na uwanja umeinama kwa upande...
29 Reactions
372 Replies
7K Views
Wana jamvi naomba tumsikikize Mbunge wetu kupitia chama tawala. Inanipa shida kuamini kama anajua maana ya vijana au wazee. Kwangu mimi ningemshauri arudi darasani badala ya kurudi jimboni Kwale...
0 Reactions
3 Replies
134 Views
Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangala amesema anapenda kuona Haki ya msingi ya Kikatiba ya Kujieleza ikiheshimiwa Kigwangala amedai yeye binafsi ataipigania na kuitetea Haki ya msingi ya Mange...
17 Reactions
134 Replies
14K Views
Nafasi ya amani Afrika Chanzo cha picha,ABI Kwa mujibu wa Global Peace Index 2026, Tanzania ipo katika nafasi ya 17 barani Afrika kwa kiwango cha amani, huku ikiwa ya 98 duniani. Inazidiwa hadi...
6 Reactions
20 Replies
449 Views
Kama mnavyolalamika TLS kusema inatumiwa na chadema ndo ilivyo kwa miaka yote Chadema wanadai au kulalamika kwamba taasisi zote za serikali zimekuwa zikitumiwa na CCM au kupokea maagizo kutoka CCM...
6 Reactions
28 Replies
300 Views
Alichozungumza Mbunge kwa Podcast ya M&S Podcast ambapo amedokeza kuwa CHADEMA sio chama kikuu cha upinzani kwa sababu hawana mbunge yeyote bungeni kama ilivyokuwa zamani Nachukizwa...
7 Reactions
23 Replies
492 Views
Amos Makalla ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Mfadhili wa zamani wa bendi ya FM ACADEMIA ya Kinondoni, bila kufanya utafiti wowote ule leo ametoa amri ya kulazimisha mabasi yote ya...
73 Reactions
259 Replies
20K Views
Miongoni mwa mawaziri wote wa Baraza la Mawaziri la 2020-2025, Jerry William Silaa peke yake ndiye waziri aliyeanguka ubunge hivyo kupoteza sifa ya kuteueliwa kuwa waziri tena kwenye baraza...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Wananchi wa Tanzania wanaendelea kusambaza vipeperushi vya maandamano ya 7-7. Wanataka TUNDU LISSU aachiliwe huru. Wanadai Katiba Mpya Kutaka Mateka wote waachiliwe huru Na utawaka haramu...
30 Reactions
102 Replies
3K Views
  • Redirect
Wala hamna haja ya kusononeka, huyu Mhuni anayelindwa na Serikali atakamatwa na Wananchi na. kuhukumiwa na Umma Dawa ya moto ni moto
10 Reactions
– Replies
– Views
Vyuo vikuu barani Afrika vinazidi kutambulika katika jukwaa la kimataifa, kwa kuchochewa na matokeo yenye nguvu ya utafiti, ushirikiano wa kimataifa, na ushawishi unaokua wa kitaaluma. Kulingana...
0 Reactions
4 Replies
200 Views
  • Redirect
Mjadala mkali unaoendelea hivi sasa nchini Tanzania unamhusu kiongozi wa dini, Sheikh Said Mwaipopo, ambaye ananyoshewa vidole na wananchi wengi, wanaharakati, na wachambuzi wakiamini anatumika...
0 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Mambo mengi nchini hayaendi vizuri kabisa. Je, tatizo ni CCM au ni rais Samia?
0 Reactions
– Replies
– Views
Back
Top Bottom