Mzee wangu, kuomba radhi unapokuwa umeteleza kidogo ni uungwana. Toka hadharani uombe radhi wewe mwenyewe kwa kinywa chako kabla mambo hayajaharibika kabisa.
Kuuambia umma kwamba Viongozi wazuri...
Ni Jambo jema kuona CCM inaamini Katika Mungu mmoja Nafsi Tatu
Mungu ni Mwema wakati Wote
Basi, Àkubarikini Mungu Mwenyezi Baba na Mwana na Roho Mtakatifu
Nawatakia Sabato yenye Baraka
Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa kuwa wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara.
Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764...
Waziri Mkuu Mizengo Pinda apangua hoja KM wa CCM kuwa yeye ni mzigo!.
Upanguzi huo umefanyika bungeni leo asubuhi wakati wa kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu, ambapo aliulizwa...
Mzee Makamba amesema Baada ya Shekifu kustaafu Tanga sasa imepata Nahodha mpya wa kukuingiza chama ambaye ni Mganga wa Kienyeji bwana Rajabu
Mzee Makamba amesema Wana Imani na Nahodha mpya wa...
Nilishauri haya mwaka jana lakini naona kama Raisi anachukulia ukarimu wa Mbowe vibaya na kumweka kwenye wakati mgumu kwa kukaa mwaka mzima bila kuanza mchakato wa katiba. Jaji Mutungi hakuna mtu...
Ni Katika mazungumzo kuhusiana na Siku ya Uhuru wa Tanganyika
Baadhi ya Watu wanadai CCM ya 2025 itakuwa mpya kabisa na mlango umeshafunguliwa na Bashungwa aliyeshika namba 2 kwenye Nec...
Leo nimeona mahojiano yenye ya mwandishi Livingstone Ruhere na Jenerali Tumaniel Kiwelu kwenye gazeti la Raia Mwema la jana ambae anaweza kuileta hapa naomba afanye hivyo kwa faida ya wana JF na...
Hiki chama unafiki,hira,chuki na Majungu ndio mpango mzima
Fikira Ndugai alivyopewa za uso,japo aliomba na msamaha lakini alikutana na mashambulizi makali ya chawa wa rais Samia.
Bashiru Ali nae...
Habari za mapumziko wana jamvi
Mapema wiki hii palitokea wizi wa silaha za moto kwenye ofisi za PCCB Huko Handeni Tanga. Kama kawaida jambo limepita na hakuna kilichotokea. kwa mujibu wa gazeti...
1. Kikwete
2. Kinana
3. Makamba
4. Rostam Aziz
5. Na Mzee wangu naye nashukuru sasa amerudi amekuwa Mnec.
Hawa ndio wanaweka Rais wanayeona anafaa. Hawa ndiyo wenye mapenzi na hii nchi na...
Wadau nawasalimu,
Pamoja na Rais kusema Mzee Makamba ulimi uliteleza binafsi siamini hivyo, kwani huyu Mzee kabla ya kuyazungumza hayo ndani ya kikao alipokuwa nje ya ukumbi aliropoka mambo mengi...
Nimefanya research karibia wote vijana wanakimbizana kuchukua kadi za ccm halafu tunasema mabadiliko yanaanza na vijana. Huu upuuzi chanzo chake nini ebu tujadili mbona hii nchi kama imelaanika...
Ni mjinga tu atakayesikitika kuondokewa na Dr Mollel, Bulaya, Mwita Waitara, Patrobas Katambi, Cecil Mwambe nk nk hapo Chadema.
Ni mjinga tu atakayesikitika Dr Bashiru kumrejesha CCM mzee Lowassa...
Kaomba radhi i kupitia mtandao wa twitter akimjibu mdau mmoja aliemuhoji kuhusu kauli aliyowahi kuitoa kuwa atamuua mtu yoyote atakaeua twiga.
Tweet yake ya kuomba radhi hii hapa chini...
Leo watoto walitakiwa waone kwenye luninga historia ya taifa lao.
Lakini wewe na January mmekata umeme.
Kwa nini msituonee huruma japo hata kwa leo tu siku ya uhuru.
Watu wapo nyumbani...
Ukisikia mtu kupagawa ndio huku sasa!
Walamba asali wamechachamaa baada ya jina pendwa la January makamba na Nape Nnauye walamba asali wakuu na walamba asali kwa ujumla kupigwa chini!
Kwa Yale...
Tanganyika ipo wapi?
Kuna umuhimu wa kusherekea uhuru wa nchi ambayo haipo kiuhalisia?
Jambo la hekima tusherekee vinavyohusiana na Tanzania, vingine hivi vidogo vidogo ama ambavyo havipo vibaki...
Wengine jana wanesema watu wazuri hawafi, na wengine wamekuja na bango la aina hii.
Sisi wengine kazi yetu ni kuonya na kushauri ni kisha kuhesabu siku tu.
Kuna mtu alifananishwa na Mungu...
Leo ikiwa tunasherekea miaka 61 ya uhuru tunajivuni uhuru uliodumu kwa miaka 61 bila kuupoteza Tanzania ni nchi inayoongoza kwa kuwa na amani upendo na ushilikiano ukilinganisha na nchi zingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.