Tetesi: Moto unalipuka Dodoma, Mzee mpiga debe atolewe🤐

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
5,528
8,974
Jamani jamani nimeinyaka nimeinyaka jamani Busara ni muhimu jamani humo ndani ya cc kimenukishwa na Mzee wa Msoga kama vile kanusa kama nabii akasema jamani jamani.

Ni hivi wenye nguvu ndani ya chama wanataka haki itendeke come juwa come rain wanataka kujua ni jambo gani Hayati JPM na Mzee Mkapa walifanya wakastahili kubezwa na kurushiwa vijembe after all good things they done for this nation?

Watu wameenda mbali na kubadilisha picha na sasa watu wanaangaliana red eyes kuwa hawa wazee kulikuwa na plot to assassinate plz do not quote me.

Mmmmmmmmmmmm ile kauli ya Mzee wa makatibu wema hawafi ndio imeamsha hisia Kali ndani ya chama na let pray some thing bad is near to come.

Tetesi zisizo Rasmi jamani narudia kama nabii wa Taifa nilioko nyuma ya computer...... Wanasema wanasema eti ....…........ Liwe ............ Meza ipinduliwe.........,......... Sio zam yao............... Why....................... Yaaniiiiiiiiiii hali tete..,........ Ndio maana kumbe aina fulan ya watu ........... Hawaguswi ....,...........🤐🤐🤐🪑🪑🪑😭😭😭 Jamani naomba ulinzi🤭

Update
Nadhani mwenye macho haambiwi tazama wake wa wastaafu wameamua kama mbwai na iwe pwai wema wanaishi wabaya wanakufa.... Jamani jamani tulieni tulie hamtoamini leo 22.12.2022 wametuma watoto hawajatokea.... Uzinduzi wa bwawa la Nyerere.... God nifundishe kunyamaza.... Mungu nifundishe kunyamaza.
 

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
219,167
508,300
giphy.gif
 

Tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
51,173
88,639
Kwa CCM mwenyekiti ndio Kila kitu maadam wamempa kura za "kishindo" hakuna anayeweza mchallenge. So hizo ni kelele tu ila 2025 hamna atakayeweza chukua fomu so kwa huko kwenu mgombea ni Samia Hadi 2030 na hamna la kufanya

Exactly. Hawa wananogesha genge tu, anayeweza kutoa amri kwa vyombo vya dola ndio mwenye maamuzi ndani ya CCM.
 
22 Reactions
Reply
Top Bottom