Leo majira ya saa sita mchana Das wa Bunda akiwa na kamati yake na polisi kibao kwenda kwenye kijiji cha Nyatwali jirani kabisa na Ndabaka gate, aliwaita wanakjiji hao leo hii na kuwa na kikao nao na kuwajulisha kuwa eneo hilo lote linatakiwa na mwekezaji kwa hiyo wanakijiji wanatakiwa kuhama.
Wanakijiji walimuuliza DAS huyo kuwa waraka wa kuhamishwa wao uko wapi na DAS huyo kushidwa kuonyesha waraka ndio hapo wanakijiji walichukia saana kuona wanataka kufukuza kwa maneno tu, wakamzomea na kikao kuvunjika hapo hapo na Das kuondoka kwa aibu kubwa