Waziri wa fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Wazazi nchini kote kuwasaidia Watoto wao waweze Kujiajiri.
Hii inatokana na uchumi wa Tanzania kushindwa kutoa ajira kwa Wahitimu Wote.
Chanzo...
Mbowe yuko vizuri kwenye mambo mengi sana lakini suala la Katiba tunampa jukumu asiloliweza
Angalia tu Katiba ya Chama chake ina ubora gani? Imejaa ubinafsi
Angalia alivyoshughulikia suala la...
Baadhi ya nukuu za Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye akizungumza kwenye kipindi cha Joto Kali la Asubuhi TVE na EFM Radio leo Oktoba 17, 2022.
Kuhusu kutishiwa...
Nikitafakari sana namuonea huruma sana rais Samia, kazingirwa na genge baya sana, akiamini ni wema kumbe wana yao moyoni, hasa kujilimbikizia mali za umma.
Kati ya hawa makatibu wawili, Bashiru...
1. Lissu na Lema wameendelea kulelewa na wazungu maana yake walisingizia kwamba wamekimbia sababu ya Magufuli.
2. Igizo la Corona limeisha kama alivyotabiri Magufuli
3. Ndege tulizoambiwa na...
Wamepangua kesi zote za Sabaya bila mbeleko ya Dpp wala mashinikizo ya mabeberu kama ilivyokuwa kwa kesi ya gaidi.
Ingekuwa mawakili wa Sabaya ndiyo wenye akili lakini mawakili wa Chadema...
Akiongozwa na Dkt.Magufuli,Makamu wa Rais Dk.Mohamed Bilal amefungua mzani mpya kabisa na wa kisasa ambapo gari lisilozidisha litapima kwa sekunde thelathini badala ya dakika mbili.
Mzani huu ni...
Baada ya kimya kirefu hatimaye leo aliyekuwa anawania kupitishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika ngazi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof. Mark Mwandosya amebainisha wazi kuwa...
Ndugu zangu wafanyabiashara mbalimbali wameipongeza Serikali Ya Rais Samia kwa kuwasaidia kufanya Biashara kwa Amani na utulivu kwa kuzingatia Sheria kanuni na Taratibu,wafanya Biashara...
Nani atachukua hatua za kwenda mahakamani kupinga uteuzi wa Bashiru kwamba umekiuka Katiba?
Kama kweli Katiba imevunjwa basi ni Mahakama pekee ndiyo yenye uwezo wa kutafsiri sheria za nchi hii...
Kwanini nguvu kubwa inatumika kutulazimisha tuvunje kanuni na katiba Kwa kututisha? awamu ya tano inamalizika 2025 ndipo tuanze awamu ya SITA.
Kanuni za kawaida za chama ni kuchukua fomu ama...
Waziri wa Uchukuzi Prof Mbarawa amewataka Wananchi kutochanganya Treni hii ya Tanzania na zile za high speed zenye vichwa vilivyochongoka.
Prof Mbarawa amesema picha zinazorushwa mitandaoni na...
Sijawahi Kujutia Kukuunga mkono katika Uongozi wako na kila Siku nitasema bila uwoga wala aibu kuwa kama kuna Rais ambaye Watanzania wa wakati huu tulikuwa tunamuhitaji ili ' atunyooshe ' na...
“Kuhusu hoja ya deni la Taifa Nafikiri kama watanzania tuanze kuwaza tofauti juu ya dhana ya mkopo Kwanza tukubaliane mkopo ni maendeleo sio Kwa sababu nyinginezo kama kusema hata nchi tajiri...
Kuna hoja huwa inakuja mara kwa mara kwamba "fulani ni mzee sasa anafaa apumzike siasa". hivi kwa Tanzania mtu akifikisha miaka mingapi ndipo ahesabiwe kwamba umri wake haufai kugombea nafasi za...
Tayari serikali imeshatoa taarifa ya uchunguzi wa ajali ya ndege iliyopata ajali wakati inatua uwanja wa Bukoba.
Taarifa hiyo ya uchunguzi inakiri wazi uzembe wa kitengo cha dharura na uokozi...
Salam za upendo kwa Watanzania wote wakati tunasheherekea Noel kuadhimishia miaka zaidi ya 200o ya kuzaliwa Yesu Kristo ambae ni Bwana na Mwokozi wa maisha ya wanadamu.
Mwaka 1997 Rais Mkapa...
Moja ya majukumu ya bunge ni kuhakikisha Katiba inaheshimiwa na kulindwa
Ilikuwaje Bunge lilikaa kimya Katiba ikivunjwa?
KUB je?
Na Mahakama?
Mlale unono
Ameandika Zitto katika ukurasa wake wa Twitter
Nimefarijika kuwa leo tarehe 05/12/2022 Mahakama Kuu katika shauri la Zitto Zuberi Kabwe vs. Mwanasheria Mkuu na wenzie na 8/2020 mbele ya jopo la...