Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mood usiufute uzi huu huku please! Leo tuache siasa kidogo tuyajenge. Bila sheria madhubuti, imara na nyumbulishi kizazi chetu kitakufa njaa, mazingira yataharibika sana na kila sehemu itakuwa ni...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
CCM ni chama kikubwa hivyo namuomba Mungu wa mbinguni 2023 akipe uvumilivu wa kujibu Hoja zenye kuleta matumaini CCM ndio Serikali hivyo tuwe tunawapa Elimu ya Siasa Wapinzani badala ya...
0 Reactions
13 Replies
657 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tukio la kushuhudia ufungaji wa lango la handaki mchepuko (diversion tunnel) ili kuruhusu maji...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Heri ya kumbukumbu njema ya Uhuru wa Tanganyika na baadae Tanganyika iliungana na Zanzibar mnamo mwaka 1964 na kuzaliwa Tanzania,Bendera ya Tanganyika ilivyoanza kupepea mwaka 1961 tulishuhudia...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakati sisi tumenunua 'midosho' ya reli ya kisasa (SGR) ,cheki treni waliyozindua wachina. Ni Kama wanasema "Wakati mmenunua 'midosho' kwa Bei ya kupigwa kwa nini msingetuambia tuwauzie zetu Kali...
3 Reactions
32 Replies
5K Views
Kumekuwa na michango mbalimbali ya vijana kushangaa ilikuaje Mwl. Nyerere alimwamini Balozi Dr. Agustine Mahiga kuwa Director wa TISS akiwa na miaka 35 tu. Ikumbukwe, kwa mujibu wa wasifu wake...
48 Reactions
61 Replies
13K Views
chanzo: gazeti la MTANZANIA Mfanyabiashara awanasa wabunge *Awaandalia semina, awapa posho ya kujikimu *Awandaa wapinge ugawaji vitalu vya uwindaji *Matokeo ya kazi kuanza kusikika bungeni leo...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Kuna hiki kinachoitwa ungamo. Kwamba mtuhumiwa wa wizi, ugaidi, mauaji nk; kwamba kwa hiari yake aliungama. Kutokea hapo mtu au watu wakahukumiwa kunyongwa au hata kufungwa. Kesi hii: Maelezo...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Nataka kulisafisha hili jiji ndani ya siku 90 tu litakuwa kama paris, !nataka niwaonyeshe watu kwamba hii dar usafi ni lazima sio hiyari na katika hili nikipata nitaanza na mbagala kisha...
10 Reactions
18 Replies
1K Views
Katika hotuba yake ndefu ya kumkaribisha raisi kwenye sherehe ya kujaza maji bwawa la Nyerere, waziri wa nishati alilalamika sana mbele ya raisi kwamba amekuwa akitukanwa sana kutokana na...
7 Reactions
29 Replies
3K Views
Ndugu wadau, mimi nilikuwa mfuatiliaji sana wa Siasa za CHADEMA lakini ninachokiona sasa ni kama hawa ndugu zangu wameshindwa Siasa kabisa. Mtawala amewazuia kufanya mikutano ya hadhara kinyume...
9 Reactions
53 Replies
2K Views
Diwani wa kata ya Amburen wilaya ya Arumeru mkoani Arusha,Faraja Meliaki(CCM) anashikiliwa na jeshi la polisi katika kituo cha Usa river kwa kosa la kumpiga na kumvunja mguu mwananchi wake,Erasto...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa sasa Mabadiliko ya Siasa za Dunia yanaletwa na wanawake Duniani kote, wanaume tumejikita Kwenye Siasa za ujanja ujanja. BAWACHA, UWT na hata kundi la Halima Mdee na wenzake watakuwa Chachu ya...
0 Reactions
6 Replies
689 Views
Mapema baada ya kuchuguliwa Rais Wa DRC Felix Tshisheked alipata kutiliwa mashaka kuwa bi serikali gani angeiunda hii kutokana na chama chake kutopata wabunge wa kutosha ili kuunda baraza la...
1 Reactions
2 Replies
755 Views
Huwa narudia kusema na nitasema hadi siku nakufa, Tanzania Raia walilishwa Limbwata na kama sio Limbwata basi kuna haja ya kupima Genetic zetu, kuna mahali tuna shida make sio kwa huu Uoga. Na...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Kuna vitu naamini vinafanyika nyakati hizi na visingengeweza fanywa Magu akiwa Rais na moja wapo ni hili la kuchepusha maji ya mtu Ruaha mkuu, kuchepusha maji ni kuhatarisha usalama wa nchi...
8 Reactions
54 Replies
3K Views
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza rasmi mpango wake wa kuisuka upya Serikali yake baada ya kubaini baadhi ya watu hawaendani na kasi wanayoitaka wananchi katika kujiletea maendeleo. Kama...
11 Reactions
74 Replies
5K Views
Mwendazake huku kanda ya ziwa wanamuona mungu hata ukiwaeleza ukweli. Alitugawa sana, maskini wanatuchukia walinitamkia angekuwa mwendazake tungekuwa sawa nika muuliza "wewe unafanya kazi kwangu...
9 Reactions
83 Replies
4K Views
CCM ni chama kikongwe kwa vyama vya ukombozi kusini mwa jangwa la sahara na Afrika kwa ujumla. Kilipaswa kuwa mfano bora kwa vyama vingine vya siasa kutokana na kuishi kwingi na kuona mengi...
13 Reactions
45 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…