Nukuu muhimu ya Januari Makamba kwa watanzania 2022

Mtumishiwetu

Senior Member
Jul 13, 2022
187
332
NUKUU MUHIMU YA JANUARY MAKAMBA KWA WATANZANIA

Mh Rais kazi hii uliyotupa ya kusimamia mradi huu na sekta nzima ya nishati sisi tunaimudu, tunaiweza mipango tunayo mikakati tunayo namna ya kutafuta fedha kukusaidia tunayo na nataka nikuhakikishie wengine sisi ni washindani dhidi ya matatizo na changamoto, pale palipo na changamoto ndio tunahamasika, palipo na ugumu ndio tunahamasika palipo na maneno ndio tunahamasika kwa hiyo nataka nikuhakikishie Mh Rais kwamba tuko vizuri na tutahakikisha kwamba tunafika pale mwisho lakini kwa imani na ridhaa yako Mh Rais” Januari Makamba, 22 Disemba 2022
 
Porojo tu maneno mengi vitendo 0
 
Mtu analia lia kwa mteule wake asitolewe hapo aendelee kulamba asali vizuri we unasema ni nukuu ya Makamba kwa wadanganyika?!.
 
NUKUU MUHIMU YA JANUARY MAKAMBA KWA WATANZANIA

Mh Rais kazi hii uliyotupa ya kusimamia mradi huu na sekta nzima ya nishati sisi tunaimudu, tunaiweza mipango tunayo mikakati tunayo namna ya kutafuta fedha kukusaidia tunayo na nataka nikuhakikishie wengine sisi ni washindani dhidi ya matatizo na changamoto, pale palipo na changamoto ndio tunahamasika, palipo na ugumu ndio tunahamasika palipo na maneno ndio tunahamasika kwa hiyo nataka nikuhakikishie Mh Rais kwamba tuko vizuri na tutahakikisha kwamba tunafika pale mwisho lakini kwa imani na ridhaa yako Mh Rais” Januari Makamba, 22 Disemba 2022
Kazi nzuri huwa zina jionyesha zenyewe.

Kama unaimudu kaziyako watu wataona wenyewetu,hunahaja ya kujielezea elezea jinsi unavyo iweza kaziyako.
 
NUKUU MUHIMU YA JANUARY MAKAMBA KWA WATANZANIA

Mh Rais kazi hii uliyotupa ya kusimamia mradi huu na sekta nzima ya nishati sisi tunaimudu, tunaiweza mipango tunayo mikakati tunayo namna ya kutafuta fedha kukusaidia tunayo na nataka nikuhakikishie wengine sisi ni washindani dhidi ya matatizo na changamoto, pale palipo na changamoto ndio tunahamasika, palipo na ugumu ndio tunahamasika palipo na maneno ndio tunahamasika kwa hiyo nataka nikuhakikishie Mh Rais kwamba tuko vizuri na tutahakikisha kwamba tunafika pale mwisho lakini kwa imani na ridhaa yako Mh Rais” Januari Makamba, 22 Disemba 2022
 
Nasubiri picha yake akiangalia bao halisi la mkono wa Kura za Watanzania ifikapo 2025.

Nitasubiri atasema nini.

Amani
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom