Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naomba niwape ushauri wale wote wafanyabiashara hasa ambao wana biashara mpya kuhusu maswala ya kodi. Watu wengi wameshangaa kuona Diamond wa wasafi media ana lalamikia TRA hili ni swala la...
14 Reactions
19 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Hakika Rais Samia Ni zawadi kwetu watanzania tunayopaswa kujivunia na kuitunza Sana,Rais Samia Ni kiongozi Aliyejitoa na kujitolea kututumikia watanzania, Amedhamiria kuibadilisha na...
3 Reactions
87 Replies
3K Views
Wanabodi, Ijumaa ndio hii imeanza, hivyo tuswich kwenye the weekend mood, tusijadili mambo mazito mazito siku za weekend, tujadili vitu light, with a light touch, tuenjoy week end yetu vizuri...
32 Reactions
246 Replies
27K Views
Nimejikuta tu nikiyaamini zaidi Maridhiano ya CHADEMA na CCM kuliko Kikosi Kazi cha Prof. Mkandalla na Zitto Kabwe. Nadhani Wajumbe wa Maridhiano wanaonekana kuwa Watu makini zaidi tofauti na...
2 Reactions
6 Replies
754 Views
Kwa mwenye kujua, hivi watu wanaofanya hii kazi ya kikatili wanakuwa na sifa gani za kupewa hii kazi ndani ya Kitengo? Kama ni vibarua, Je, hununuliwa vitu kama bangi waweze kuifanya hiyo kazi...
35 Reactions
139 Replies
12K Views
Kuacha Legacy huwa ni kazi pevu sana, ni viongozi wachache sana hata huko Marekani walio fanikiwa kuacha Legacy, Maraidi wengi Wa Marekani wameondoka bila legacy wote hao wakina Clinton na...
23 Reactions
95 Replies
4K Views
Klabu hizi kubwa yaani Simba na Yanga zimejaa vitimbwi na wale wengi wenye shughuli muhimu ziliyumbishwa na kuleta tija ndogo. Sasa hivi kuna sakata la mchezaji Fei Toto kujiondoa Yanga, taarifa...
5 Reactions
51 Replies
4K Views
Tukiwa tunauaga mwaka 2022 na kuukaribisha 2023 nachukua fursa hii Kumpongeza sana Rais Samia kwa kuiendeleza Miradi mikubwa ya kimkakati iliyoachwa na hayati Magufuli. Niseme tu 2023 nitakwenda...
0 Reactions
2 Replies
649 Views
Nimeona na kusikia kwenye taarifa ya habari ya UTV kuwa Mkutano wa Ushauri wa Mkoa wa Kagera umeridhia kuondolewa kwa vizuizi kadhaa vya barabarani. Naomba kujuzwa ni vizuizi gani...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
ASANTE SAMIA 2022. Kwa kipindi cha miaka miwili ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu ikiwa hii ni term yake ya pili, nichukue fursa hii kumpongeza kwa haya aliyoyakamilisha ndani ya Mwaka huu wa 2022...
10 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari ndugu Wana jukwaa. Mwaka 2022 unamalizika kwa kishindo na Mafanikio makubwa kwa Rais DK.Samia kutokana na Nchi kupata Mafanikio makubwa kwenye nyanja zote za Uchumi.. Hata hivyo...
4 Reactions
91 Replies
3K Views
habari za mchana, Kichwa cha habari cha jieleza hapo juu, hivi kwanini vyeo hivi vimekuwa vya kawaida sanaa tofauti na zamani? Zamani watu wenye vyao hivi walikuwa watu wanaoheshimika sanaa...
3 Reactions
70 Replies
4K Views
MTANGAZAJI MAHIRI nchini Tanzania, Gerald Hando amemuuliza Januari Makamba kwanini alipoingia kwenye Wizara hiyo umeme ukaanza kukatika hovyo kwanini asimuulize Kalemani aliwezaje. "Januari...
48 Reactions
225 Replies
17K Views
Watanzania wengi hawaelewi kwamba suala la kutekeleza miradi mikubwa nchini kwa kutumia fedha yetu ya ndani sio suala la kujivunia wala kujisifia hata kidogo. limetuletea maumivu makali katika...
9 Reactions
75 Replies
6K Views
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Zanzibar ambayo imetolewa leo , kwamba Rais wa Nchi hiyo amefuta Gwaride na kwamba hela ambayo ingetumika kwenye Gwaride hilo itaelekezwa kwenye sekta ya Elimu . Toa...
0 Reactions
10 Replies
922 Views
MWANAHABARI nguli na anayeheshimika nchini Tanzania, Pascal Mayala amelitupia lawama Bunge la Tanzania kwa kupitisha baadhi ya mambo ambayo kuna wakati yanampa huzuni na hasira kubwa. "Kuna...
2 Reactions
4 Replies
904 Views
Michael Mwita Kada maarufu wa chama cha mapinduzi mkoani Kilimanjaro ambaye amewahi kushika nafasibalibali kama katibu mwenezi wa wilaya hiyo, Diwani wa kata ya Kaloleni ,manispaa ya Moshi pamoja...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Serikali inabidi ikae chini na kulijadili suala la ulipaji kodi kwa kina zaidi maana kama TRA wamefeli kwa upande wao. Unakwenda dukani Kariakoo wengi ndo tunanunua bidhaa zetu kule mfano...
33 Reactions
148 Replies
8K Views
Katika kufuatilia siasa za kimataifa nimeona baadhi ya mataifa makubwa kama vile China, Russia, nk,Lakini pia nchi za Africa kama Uganda, Cameroon, South Africa, nk wameongea/wanatarajia kuongea...
1 Reactions
17 Replies
780 Views
Nasema ahsante sana kwa wale walionipigia kura Katika Jukwaa hili la Siasa. Kiukweli nimeshika namba 3 na napenda kumpongeza Kamanda Ethryocyte aliyeshika namba 1 na Kada mwenzangu wa Kawe Pascal...
5 Reactions
3 Replies
468 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…