Hivi kwanini cheo cha DC na DED vimeshuka thamani?

bongo man

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2016
Posts
1,055
Reaction score
2,382
habari za mchana,

Kichwa cha habari cha jieleza hapo juu, hivi kwanini vyeo hivi vimekuwa vya kawaida sanaa tofauti na zamani?

Zamani watu wenye vyao hivi walikuwa watu wanaoheshimika sanaa katika jamii, yaani DC akitoa order si kwa watumishi au wananchi lazima ifuatwe mara moja lakini siku hizi ni kinyume chake.

Leo nilikuwa nafuatilia kikao cha Waziri Mkuu huku Tandahamba, yanii DC anatoa maelekezo hakuna anaejali; si DED wala watumishi wa chini yake hadi Waziri Mkuu akalikeme hilo.

Pia kuna mahala nimeona wananchi kwenye mkutano wanampa maneno ya kashfa DED kiongozi hadi RC wake akaamua kuingilia kati ndo wananchi wakatulia, tatizo nini? Matukio ni mengi sanaa hiyo ni michache tu.

Mifumo imechoka au haifanyi kazi kabisa.

NJOO TUJADILI.
 
Kuna tuhuma nyingi kuwa wanashiriki kuwaibia Kura Wananchi wanapowapigia Kura wagombea wnaaowataka. Sijui kama hili lina ukweli lakini linasemwa semwa sana
 
habari za mchana,

Kichwa cha habari cha jieleza hapo juu, hivi kwanini vyeo hivi vimekuwa vya kawaida sanaa tofauti na zamani?

Zamani watu wenye vyao hivi walikuwa watu wanaoheshimika sanaa katika jamii, yaani DC akitoa order si kwa watumishi au wananchi lazima ifuatwe mara moja lakini siku hizi ni kinyume chake.

Leo nilikuwa nafuatilia kikao cha Waziri Mkuu huku Tandahamba, yanii DC anatoa maelekezo hakuna anaejali; si DED wala watumishi wa chini yake hadi Waziri Mkuu akalikeme hilo.

Pia kuna mahala nimeona wananchi kwenye mkutano wanampa maneno ya kashfa DED kiongozi hadi RC wake akaamua kuingilia kati ndo wananchi wakatulia, tatizo nini? Matukio ni mengi sanaa hiyo ni michache tu.

Mifumo imechoka au haifanyi kazi kabisa.

NJOO TUJADILI.
Ma DED, DC hawana mafunzo, hawana uzoefu na sasa imekuwa kama jalala la vijana.
 
habari za mchana,

Kichwa cha habari cha jieleza hapo juu, hivi kwanini vyeo hivi vimekuwa vya kawaida sanaa tofauti na zamani?

Zamani watu wenye vyao hivi walikuwa watu wanaoheshimika sanaa katika jamii, yaani DC akitoa order si kwa watumishi au wananchi lazima ifuatwe mara moja lakini siku hizi ni kinyume chake.

Leo nilikuwa nafuatilia kikao cha Waziri Mkuu huku Tandahamba, yanii DC anatoa maelekezo hakuna anaejali; si DED wala watumishi wa chini yake hadi Waziri Mkuu akalikeme hilo.

Pia kuna mahala nimeona wananchi kwenye mkutano wanampa maneno ya kashfa DED kiongozi hadi RC wake akaamua kuingilia kati ndo wananchi wakatulia, tatizo nini? Matukio ni mengi sanaa hiyo ni michache tu.

Mifumo imechoka au haifanyi kazi kabisa.

NJOO TUJADILI.

Walipoanza kuwapa makada wa CCM na walioshindwa uchaguzi Kama fadhila
 
Sio kwamba wewe ndio umeshuka thamani?[emoji23]
Mambo yanabadilika sana woga kwa wananchi unazidi kuondoka
 
habari za mchana,

Kichwa cha habari cha jieleza hapo juu, hivi kwanini vyeo hivi vimekuwa vya kawaida sanaa tofauti na zamani?

Zamani watu wenye vyao hivi walikuwa watu wanaoheshimika sanaa katika jamii, yaani DC akitoa order si kwa watumishi au wananchi lazima ifuatwe mara moja lakini siku hizi ni kinyume chake.

Leo nilikuwa nafuatilia kikao cha Waziri Mkuu huku Tandahamba, yanii DC anatoa maelekezo hakuna anaejali; si DED wala watumishi wa chini yake hadi Waziri Mkuu akalikeme hilo.

Pia kuna mahala nimeona wananchi kwenye mkutano wanampa maneno ya kashfa DED kiongozi hadi RC wake akaamua kuingilia kati ndo wananchi wakatulia, tatizo nini? Matukio ni mengi sanaa hiyo ni michache tu.

Mifumo imechoka au haifanyi kazi kabisa.

NJOO TUJADILI.
Unasema U-DED NA DC, wewe na kizazi chenu kama baba zenu mnawaita DINGI ni kipi kimebaki na hadhi nchi hii.
 
Back
Top Bottom