Dr Hussein Mwinyi afuta Gwaride siku ya Mapinduzi ya Zanzibar

Dr Hussein Mwinyi afuta Gwaride siku ya Mapinduzi ya Zanzibar

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,405
Reaction score
289,556
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Zanzibar ambayo imetolewa leo , kwamba Rais wa Nchi hiyo amefuta Gwaride na kwamba hela ambayo ingetumika kwenye Gwaride hilo itaelekezwa kwenye sekta ya Elimu .

Toa maoni yako
 
Shida ya wazanzibari ni kuiga kila kitu kutoka Tanganyika... inashangaza sana ..na mengi wanaiga hayana hata maana...

Kuna ulazima Zainzibar Ijumaa kuwa siku ya kazi?kuna ulazima hata WA Zanzibar kuwa na masaa 40 ya kazi Kwa wiki?wakati hata European Union standard ni 35 Kwa wiki?


Kuna ulazima Zainzibar kuwa na mawaziri na manaibu waziri na mawizara Tele?....

Au kuwa na hata bodaboda mitaani?

Zanzibar siku wakijielewa watakuwa na maendeleo makubwa Sana Kwa wakati mfupi Sana
 
Amechelewa sana kutoa taarifa huyu rais. Mafunzo ya gwaride la halaiki yamefanyika, sare za halaiki zimeshaagizwa kule China na watu wa mapambo, muziki na MC washapewa advance tayari.
 
Magu alikuwa kichwa sana. Huu mtindo aliuanzisha yeye, sasa unaigwa na kila kiongozi.
 
Back
Top Bottom