Gerald Hando amuuliza Januari, Dkt. Kalemani aliweza vipi umeme haukukatika?

saidoo25

JF-Expert Member
Jul 4, 2022
602
1,407
MTANGAZAJI MAHIRI nchini Tanzania, Gerald Hando amemuuliza Januari Makamba kwanini alipoingia kwenye Wizara hiyo umeme ukaanza kukatika hovyo kwanini asimuulize Kalemani aliwezaje.

"Januari Makamba tumuulize swali moja dogo sana Kalemani amekaa miaka 6 umeme haujakatika yeye ameingia tu umeme umeanza kufanya vurugu nini shida, kwanini asimuulize Kalemani alifanyaje?" amehoji Hando

"Si chama kimoja wale si wabunge wale, si Serikali moja wale kwanini asimuulize Kalemani alifanya nini, Januari Makamba amuulize Dk Kalemani ulifanyaje uliwezaje, tumekaa six years hapa hatujaona situation kama hii make wamesingizia maji sasa maji mafuriko mabomba yanapasuka" amehoji Hando.


 
Watz tu watu wenye akili hafifu sana yani... tuna change position kululingana who interests you....

It's obvious Kaleman looks like he did a great job..Why now?
Watu wanakuja na character assassination chap na haraka...haha
 
Back
Top Bottom