Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari wadau, heri ya mwaka mpya. Nakimbuka mwaka 2021 alipoingia Madarakani Rais Dk.Samia ,Nchi ilikumbwa na ukame mkubwa Hadi mwaka 2022 kilikopelekea gharama kubwa za chakula, tatizo la...
7 Reactions
44 Replies
2K Views
Wale mnaopiga kelele kulalamikia usiri wa mazungumzo ya maridhiano kati ya Mbowe na Kinana tuambieni. Ni wapi ulishawahi kuona umma ukitaarifiwa kinachozungumzwa kwenye meza ya maridhiano...
3 Reactions
8 Replies
711 Views
Mkoa mzima wa Singida tangu asubuhi ya leo umegubikwa na vigelele na vifijo. Kijani na njano vikiwa rangi Tawala kila kona. Barabara zimefungwa kwa bashasha na nderemo za vijana wenye sura...
5 Reactions
47 Replies
5K Views
Kumekuchaa! Heri ya Mwaka Mpya 2023. Siku zinazidi kusonga mbele huku joto la kisiasa likizidi kupaa. Za chini chini zinasema hivi kuna makundi matatu yanayoenda kutifuana huko mbele 2025. A...
8 Reactions
34 Replies
2K Views
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema katika awamu ya 5 chini ya Hayati Dk John Pombe Magufuli waliamua liwalo na liwe ila Bwawa la Nyerere lijengwe licha ya hujuma kubwa zilizofanyika na baadhi ya...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Mwaka 2022 umeisha, tulitegemea utoa Salam za Mwaka Mpya kwa wapenzi na mashabiki wako. Ila umekuwa kimya kama haupo kwenye sayari yetu. Nakuombea kwa Mungu upate nauli urudi Tanzania ushikamane...
7 Reactions
45 Replies
2K Views
" ....kama unakopesheka Kopa hiyo ni advantage ambayo wengine hawana itumie kujiletea Maendeleo ya haraka" haya ni maneno ya Profesa Arora aliyekuwa mhadhiri wa Chuo cha Fedha ( IFM) Hata Shujaa...
10 Reactions
36 Replies
2K Views
Wadau nawasalimu. Ukiwa Kiongozi kitu pekee unachopaswa kuwafanyia Watu wako ni kile ambacho walikitafuta kwa muda mrefu kupitia Viongozi mbalimbali lakini walishindwa kukipata.Kwa Mfano RAIS...
11 Reactions
51 Replies
3K Views
  • Closed
Heri ya Mwaka Mpya wana JF nyote. Nimekutana na picha ikimuonesha mwenyekiti wa CHADEMA bw. Freeman Mbowe akizungumza na Rais Samia lakini baada ya kuiangalia sana nimeona kwenye mandhari ya...
10 Reactions
31 Replies
3K Views
Kuna wakati ilitafsiriwa kuwa mikopo ni pesa zetu wenyewe za ndani kwa sababu tutalipa, Ilikuwa ni jambo lisilotakiwa kusema tunajenga miradi kwa mikopo! Kutokubaliana na mikopo limeendelea kuwa...
8 Reactions
40 Replies
2K Views
Tanzania tuna kila kitu, kuanzia watu wenye bidii, akili, ujuzi na nidhamu mpaka ardhi na mali asilia za pekee. Tukiwa hapa nyumbani Tanzania, Watanzania wanaonekana ni watu goi goi, wapiga...
10 Reactions
20 Replies
983 Views
Wanabodi, Wanabodi, kila nipatapo fursa huwa ninawaletea makala ndefu za Kwa Maslahi ya Taifa, hivyo leo nimepata fursa tena naendelea na zile makala zangu za kuhamasisha uzalendo kwa jina la...
22 Reactions
156 Replies
13K Views
Wadau hamjamboni nyote na kheri ya mwaka mpya Nafurahia kuwajulisha tumepokea salaam za upendo za mwaka mpya 2023 kutokea Kwa Mwenyekiti wetu wa CCM TAIFA Mhesh Samia Suluhu Hassan Salaam hizi...
0 Reactions
5 Replies
842 Views
Rais Samia pamoja na marais waliomtangulia: Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete MIAKA 10 ijayo, hadi kufikia mwaka 2033, Tanzania itakuwepo. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan hatakuwa madarakani, huku...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi Mradi wa BRT una msimamizi kweli? Vipande vya Magomeni - Ilala Boma. Ilala Boma - Chang'ombe. Chang'ombe - Mgulani. TRL - Badari. Bandari - Uhasibu. Uhasibu - Kwa Aziz Aly. Kwa Aziz Aly -...
0 Reactions
8 Replies
980 Views
Habari wana jf. Leo nataka niseme kuwa huyu bwana anaitwa bongozozo kuna jambo analifanya na linaonekana na mwelekeo mzuri. Katika video zake nyingi kila anapopata nafasi nzuri huwa anaitangaza...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Pole Diamond, tutarudi hapa kukuanika upinzani wako kwa awamu ya 6
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Yaani Chadema Bora muwaue kuliko team Magu warudi madarakani, na Bora CCM asili muwaue kuliko wakubali team MAGU warudi madarakani. Hard cards to play
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Kudos wanajamvi. Legendary wa mziki na Mbunge wa Zamani wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi "Sugu" amewataka watu maarufu na Wananchi kwa ujumla kulipa Kodi. Sugu amenukukiwa akisema watu waache...
44 Reactions
116 Replies
8K Views
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba huko Mkoani Kilimanjaro , Jimbo la Hai kwenye Kijiji ambacho anatokea Mh Mbowe , leo kumefanyika hafla ndogo ya kuuaga mwaka 2022 na kuukaribisha mwaka 2023 , ambako...
24 Reactions
123 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…