Nimesoma mgombea urais wa JMT kupitia Chama cha SAU akisema akiwa Rais atamteua Dkt. Magufuli kuwa Waziri Mkuu.
Yaani huyu mgombea Urais hajui kuwa Waziri Mkuu ni lazima awe mbunge wa...
Wakati zimebaki siku mbili kupiga kura ninachukua fursa hii kuomba Watanzania wenzangu kujitokeza kwa wingi kwenda kutimiza wajibu wetu wa kitaifa. Tumesikia ajenda na ahadi za wagombea mbalimbali...
KWA VYOMBO VYA ULINZI
Askofu Mkuu Oscar Romero wa El-Salvador ana ujumbe kwa vyombo vya ulinzi tunapoelekea Uchaguzi Mkuu tarehe 28/10/2020. Baba Mtakatifu Papa Francis alimtangaza kuwa Mtakatifu...
CCM wamekuwa wakitumia kasoro ndogondogo miongoni mwa wapiga kura kama mtaji wa kisiasa.
Kwa miaka na chaguzi kadha, imekuwa ikiaminika kuwa vyama vya upinzani vinapendwa na kujaza vijana katika...
Kuna mambo inabidi ifike hatua muwe mnaongozwa na akili badala ya mapenzi ya vyama au mihemko isiyo na faida siasa sio Kama ushabiki wa mpira siasa inagusa maisha yetu.
Kuna mambo nimeona hapa...
Wakuu Habari zenu?
Kuna mwaka nilisimamia uchaguzi mkuu wa ngazi ya raisi, ubunge na udiwani mkoa fulani,nilichokiona nikaona vizuri chadema mkafanyia kazi kwenye mawakala wenu ni vitu vidogo ila...
Kwa wanao fuatilia sera za wagombea wa Urais hasa Lissu na Magufuli? Nani anajenga hoja za mashiko kuhusu Uchumi wa hii nchi?
Kiujumla tunataka kusogea mbele, tuone watu wanasafiri toka sehemu...
Na V. M
[emoji736]Hakika nimejionea Mwaka 2020- Kumeendelea kuwa na Ushiriki mzuri wa Wanawake katika mchakato Mzima wa Uchaguzi; [emoji994]
Nchini Tanzania kumekuwa na hamasa na muamko mkubwa...
Tunapenda kuufahamisha UMMA kuwa wasimamizi wa uchaguzi katika maeneo yafuatayo wamegoma kuwaapisha mawakala wetu:-
1) Bariadi
2) Bunda
3) Sinyanga Mjini
4) Morogoro Mjini
5) Chemba
6) Alumeru...
MGOMBEA Ubunge Kinondoni kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Saed Kubenea amesema anataraijia kushinda uchaguzi wa jimbo hilo kwa wastani wa asilimia 52.8 hadi 58.2.
Kubenea ametoa kauli hiyo leo...
Akiwa Wilayani Chemba-Dodoma, akielekea makao makuu ya nchi Dodoma, mgombea Urais wa CCM amesimama na kuhutubia hadhira ya wana-Chemba. Lakini katika jambo la kushangaza ambalo pengine NEC...
Barua hii inayosambazwa Whatsapp ni feki100%. Tunavyokaribia siku ya uchaguzi, kunajitokeza taarifa nyingi za uongo zinzosambazwa katika mitandao ya kijamii. Usidanganyike ukaingia kwenye mtego wa...
Wana JF wenzangu kilele cha kampeni kina hitimishwa kesho na siku ya kukata maneno ni Juma 5. Kama ulipanda viazi usitarajie kuna Choroko. Hii iwafikie wabunge WOTE na madiwani pamoja na Urais...
Baada ya kipindi cha kampeini kuisha yani kesho tarehe 27/10/2020 ni vyema sasa waandishi wa habari , wataalam wa mambo ya siasa , wadau wa maendeleo ni vyema sasa kuandaa kipindi maalum cha...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amesema mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli amemtuma aje amuombee kura kwenye...
Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt John Magufuli amesema kitendo cha Waziri Mkuu wa awamu ya tatu, Fredrick Tluway Sumaye na Mbunge mteule wa Jimbo la Babati Mjini Pauline Gekul...
Hali mbaya CCM Buganguzi, Mkuu wa wilaya apambana kurudisha Kata kutoka Chadema Agomewa. Nisehemu Alikozaliwa!
Wana JF,
Ukisikia derby kali ni kata ya Buganguzi iliyoseheni watu wanaojielewa...
Nianze kwa kuomba samahani kwa niliowakwaza kwa heading hapo juu!
I am a realist and I wish to remain so!
Upinzani haujafa kama JPM alivyotamaani ila umeumia!
Our house isn't in orderWe can't...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.